alphaigogo.com
Tangazo: Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano - alphaigogo.com
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MAMLAKA YA MAWASILIANO MAELEZO YA KAIMU MKURUGENZI MKUU, MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA, ENG. JAMES KILABA KUHUSU UAMUZI KUHUSU UKIUKWAJI WA MASHARTI YA USAJILI WA NAMBA/LAINI ZA SIMU ZA MKONONI Ndugu Waandishi wa Habari, Tumewaita hapa leo ili kutoa uamuzi kuhusu mashauri ya ukiukwaji wa masharti ya usajili wa namba/laini za simu za mkononi uliofanywa na makampuni ya simu za
Alpha Igogo