My 2017 best song: Zezeta

Najua kuna nyimbo nyingi sana ambazo ni nzuri zilizo imbwa na wanamuziki mbali mbali lakini  #Zezeta bado umekamata macho na masikio yangu! Huu wimbo  gives me life kwakweli!  Maneno yake yamepangiliwa vizuri, yanaeleweka, ujumbe unaleta maana, sauti na mdundo ni babkubwa! Video ndio usiseme!! Ipo kwenye ubora wakimataifa. Very clear, haina giza giza wala chenga, wachezaji wamevaa vizuri, na rangi za nguo zao ni rangi zilizo tulia hazichoshi macho! Hivyo natangaza rasmi kuwa huu ndio my 2017 best song ??

Leave a Reply