Asante sana Malia Obama!…….Ujumbe huu uwafikie TZ wote duniani!

screenshot_2016-09-25-14-12-20-1fb_img_1472436063790Ujumbe mfupi lakini mzito sana! Yani huu ujumbe unawahusu sana Watanzania! Kuanzia viongozi na raiya wake! Siasa siyo chuki! Siasa siyo uwadui kama Watanzania wanavyo fanya! Haya “dongo” hilo walitupiwa Republicans too bad limewapata na Watanzania!

Leave a Reply