alphaigogo.com
Augustine Mkude: Kile kipindi kigumu Cha maisha kilinijenga nifanye kazi zaidi na zaidi ili nisirudi nyuma - alphaigogo.com
https://youtu.be/CtBN8WzOCws Sikiliza historia ya maisha ya mtanzania Augustine Mkude ambaye anaishi hapa Marekani katika jiji la Houston, Texas Kama anavyojielezea kupitia show ya The Untold inayo ongozwa na mtangazaji mkongwe wa kimataifa Sunday Shomari! https://youtu.be/VLTvs06Yk58 Familia nyingi za kiafrika hulazimisha mambo yawe jinsi familia inataka bila kujua kila mtu Mungu amemuandikia safari yake kwa njia yake ya kipekee! Kitendo cha familia ya Augustine
Alpha Igogo