All posts by Alpha Igogo

Maisha……!

Kuna dada alikaa miaka kumi na zaidi akimsubiria mwanaume ambaye alimuahidi kua atamuoa. Dada wa watu akajitunza na kumcha Mungu kwa bidii akimsubiria mchumba wake. Wanaume wengi walimtaka wengine kwa nia njema kabisa ya kutaka kufunga naye pingu za maisha  lakini aliwakataa wote.

Baada ya miaka kama kumi na mbili hivi yule mchumba akarudi Tanzania, akafuata taratibu zote za kimila na kidini na kufunga naye ndoa. Miaka mitatu ndani ya ndoa mwanamke akaanza kuugua alipokwenda kupima damu akifikiria ni marelia sugu akaambiwa ameathirika na HIV! Dada yule hakuamini, akaenda   hospitali kadhaa kupima na vipimo vyote vilisema hivyo!!  Ikabidi amuulize mumewe kulikoni? Baada ya mazungumzo mazito mume akakubali kuwa hakuwa muaminifu na nikweli yeye ndio ameleta ugonjwa huo na amekuwa akitumia dawa takribani mwaka mmoja!!

Dada yule alipatwa na mshtuko mkubwa sana. Hivyo baada ya mwaka mmoja akafariki akaacha mtoto wake wakiume bila mama. Yule baba yeye bado yupo anakula maisha Bongoland kwasababu anatumia dawa!!

Nachosema ni hivi there's a lot of fish in the ocean why going for Jellyfish?? Unamsubiria mtu zaidi ya miaka kumi only to end up with HIV+?? No! kama hawezi kubadili mipango yake kwa ajili yako sasa kwanini wewe unasimamisha na kubadilisha mipango yake kwaajili yake?!! Kuna vitu vya kusubiria lakini siyo mwanaume ambaye hajakuoa! Live your life now!

*** Hii story imetokana na kisa cha kweli kabisa siyo yakutunga. Picha yangu haina huusiano wowote na story***

Familia katika kusaidiana….!

 Ukweli hata kama familia mnapendana kiasi gani lakini kama hamshirikiani katika maswala ya kujiinua kiuchumi, kiroho, au katika maendeleo yoyote yale basi upendo wenu ni BATILI! Yani ni upendo wa "kichina" 
  Sijasema kuwa familia itakuwa haijakamilika (perfect) hapana! Hapa duniani hakuna familia ambayo imekamilika! Kila familia ina matatizo yake, jinsi mnavyo kabiliana kutatua hayo matatizo ndio inawafanya mjulikane nyie ni familia ya watu gani. Njia mtakayo tumia kutatua matatizo yenu inawezekana iwe njia ambayo wengine wataona ni sahihi au sio sahihi lakini kama kuna upendo wa kweli basi hayo yatabaki kuwa maoni yao kwani kwenu nyinyi wahusika kila kitu kitaonekana sahihi! 

Pichani ni familia ya mzee O.O Igogo katika moja ya business dinner iliyofanyika jana Dar, Tz

Hongera sana Magreth Rhoda Nyasungu!

Napenda kuchukua fursa hii kumpongeza mdogo wangu pamoja na shemeji yangu kwa maamuzi waliyochukua ya kujulisha koo mbili kuwa wanataka tuungane na tuwe wamoja. Hongera sana mdogo wangu kwa kuvishwa rasmi pete ya uchumba na kututambulisha shemeji / mkwe wetu rasmi.  Mungu akulinde na akutangulie mpaka siku ile tutakapo shuhudia ukila kiapo kitakatifu mbele za Mungu.  Ubarikiwe sana, we love you so much. To my handsome brother inlaw pongezi nyingi kwako kwa kufuata taratibu za kimila za kabila la Waluo na Wachagga katika kumposa binti yetu / mdogo wetu Magreth. Wewe sasa ni mmoja wa familia ya Igogo kwani posa na mahali umesha kabidhi, hivyo na penda kusema karibu sana ujaluoni, na karibu sana katika familia yetu..... nimekubatiza jina la "shemeji mzungu" kwani hiyo rangi adimu kwetu 😍😍 Kwa faida ya wasomaji wangu ambao ni wageni humu; Magreth ni mdogo wangu tumbo mmoja, yeye ndio mtoto wa mwisho kwa mama yetu. Jina lake ni Magreth alipewa jina la mke wa family friends wetu ambao wana asili ya kijerumani (Germany). Sasa basi kwakuwa wajina wake ana asili ya watu weupe ndio akapewa nick name (jina la utani) ya lugha ya kiluo "Nyasungu" tafsiri yake ni mtu mweupe au mzungu. Hiyo "Nyasungu" kwasababu ni mwanamke angekuwa mwanaume angeitwa "Jasungu"! Wanawake katika mila za Mluo akitaka kutambulishwa kwa kutumia ubini wake au mahala alipozaliwa au asili yake lazima uwanze na "Nya" na kwa wanaume ni "Ja". Kwa mfano binti kutoka Kenya tutamuita 'Nyakenya' na mwanaume 'Jakenya'. Hilo jina la Rhoda ni jina alipewa ukubwani akiwa primary  school.  Ni jina la marehemu bibi yetu mzaa baba. Yani jinsi alivyokuwa akikuwa ndivyo kila mtu alikua akishangaa jinsi anavyofanana na bibi yani mpaka kucha za miguu. Wakati ule bibi alikuwa bado yupo hai hivyo hata yeye akawa anashangaa jinsi wanavyo fanana. Basi baba akawa anasema japo nimekupa jina la rafiki yetu Magreth itabidi nikubatize jina jipya la mama yangu. Basi toka wakati huo mpaka leo watu wengi wameshazoea kumuita Rhoda unless wale aliosomanao, wafanyakazi wenzake au wanao sali wote ndio wanamuita Magreth.

Mama mzaa  chema na binti yake Kutoka kushoto ni mama mdogo (Mrs Igogo-Junior), anyefuata ni Mrs Igogo -Senior, na kulia ni dada yetu Mrs Margreth Olambo Mabada Mama mzaa chema na wadogo zake Baba mzazi, baba mzaa chema  Sir O.O Igogo  Baba mdogo wa bwana harusi mtarajiwa kafunga safari kutoka Moshi kuja kushuhudia kijana wake akiposa. Ubarikiwe sana  baba. Mashangazi kutoka upande wa bwana harusi mtarajiwa   babu na wajukuu zakeNdugu wa bibi harusi mtarajiwa
Kwa mara nyingine tena, hongera sana Magreth Rhoda Nyasungu 🙏🏾

The three pillars to the well being of Mr. Otieno Igogo

The three pillars to the well being of Mr. Otieno Igogo and all of you who are direct and indirect benefitting from the sources of Mzee Igogo Otieno. 1. Min Gwethrhoda (mama Gwethrhoda / Blessing) 2. Min Vetto 3. Nyategi (Nyategi means a girl / lady born from Utegi village) /Mrs Mabada . I salute them all.
Hao wamama watatu ni Mashujaa wa karne, wanaishi maisha ya kimbingu kwa kusema ukweli siku zote za maisha yao, wanaheshimu na kuitukuza Sabato ya Bwana kila wiki na miaka yote, wachapakazi wasio mfano maofisini na nyumbani, wanapenda kusaidia watu wote kiushauri na mali, pasipo mipaka wala tabaka, Naye Mwenyezi Mungu kawapa kipawa cha hekima, busara na Upendo wa pekee kwa Mzee mwasisi wa familia yao. Nawaheshimu na kuwathamini kupindukia. Asemavyo Mzee OOI.

Hollietheblogger: RESILIENCE‼️

Regrann from @hollietheblogger - We have all gossiped too much this week, so let’s talk about something different 🤷‍♀️ RESILIENCE‼️ Resilience is the capacity to recover quickly from difficulties. Is sort of the ability to spring back from any challenge and difficulties and soldier on like nothing happened‼️Like for me, given the dynamic nature of events in a healthcare sector, resilience is a must have characteristic. One minute you are fighting to resuscitate a patient, the other you are signing an end of life form and the next examining a new patient with all smiles like nothing has happened. Over a period of time, You tend to block these events and just put yourself in a moment every time everyday. Resilience can be emotionally draining so it requires tremendous emotional stamina. Most people give up easily because they have traded resilience with fear. They choose the easy way out and opt for easier choices instead of immersing themselves in this complex journey and wait to enjoy their complete un-breakable success. For example you want to loose weight and get in shape but you do not want to exercise or give up your old lifestyle. So you will try exercising for a week and get drained or bored and decide to resort to other short cuts to achieve your objective. The truth is that you might just get thinner but not fitter which is your main health benefit goal. So overall you fail to achieve the COMPLETE OUTCOME. For you to enjoy your FULL benefits of success you must be willing to sacrifice and invest your everything in any project or goal you choose. You must be resilient in all circumstances no matter the weather so that when you build that house you have a solid foundation or business without any loopholes. See your Boss Lady is so resilient that when you think she’s broken she springs back tougher and stronger✌🏾 So ladies watch and learn 💯#issabossladiesmovement #brandzari💯🗣🗣💰 - #regrann

RoryaPixelsPro, RoryaTv, RoryaFinestMedia ndio mambo yote!

The most precious jewels you’ll ever have around your neck are the arms of your children. Maggie Igogo Best Moments Captured By #RoryaPixelsPro.

We Decorate Your Memories! Book Your Session Today!!

#RoryaPixelsPro | #RoryaTv | #RoryaFinestMedia

Mr and Mrs Sande Wedding

New couple in town 😍 Kwanza nianze kwa kuwapongeza maharusi Ken and Christine kwa kuachana na maisha ya u-bachelor na kuamua kufunga ndoa takatifu siku ya JumaMosi tarehe 11 mwezi wa 08 mwaka 2018.   Ndoa hii takatifu ilifungwa kwenye Chaple ya Sterling Banquet Hall lililopo Houston, Texas. Ambapo ilifuatiwa na sherehe nzuri sana kwenye ukumbi huo huo. Tunawaombea neema nyingi kwenye ndoa yao, Mungu akawe kiongozi wao siku zote, ndoa yao ikajae amani na furaha nyingi sana. Wakabarikie na uzao wa tumbo lao hata kizazi cha tatu na cha nne. AMEN Kwafaida ya wasomaji wangu, bwana harusi ni rafiki yangu wa miaka mingi tuliishi wote Kalamazoo, Michigan, huwa napenda kuwaita “my Kalamazoo family members” kwani tuliishi kwa amani na upendo. Kwasasa yeye anaishi Dallas, Texas na mimi naishi Houston, Texas.  Bibi harusi yeye alikuwa akiishi Spring, Texas lakini sasa amekuwa mwana Dallas, Texas kwani huko ndiko makazi yake mapya. Gosh! Ain’t they pretty 😍 Wasimamizi wa kiume na bibi harusi katika pozi. Kutoka kushoto ni Sammy: yeye alikuwa ndio Bestman. Nirafiki wa bwana harusi wa miaka mingi sana toka Kalamazoo, Michigan na sasa wanaishi wote Dallas, Texas.

Anayefuata anaitwa Gittu: Yeye pia ni mmoja wa “Kalamazoo family members”. Nirafiki wa bwana harusi wa miaka mingi toka Kalamazoo na sasa wanaishi wote Dallas, Texas.

Na huyo gentleman wa mwisho anaitwa Charles Nyakure kutoka Dallas, Texas ni rafiki mwema wa bwana harusi. Naye tumemu adopte kuwa mmoja wa “Kalamazoo family members”  😍😍 Mmenionaa 😍😍 mimi hapa upande wa kushoto, mwanangu upande wa kulia pamoja na Mr and Mrs Sande Dada wa bwana harusi all the way from Nairobi, Kenya akiwa na bestman-Sammy Wazazi! Kutoka kushoto ni baba mzazi wa bibi harusi. Anayefuata ni dada wa bwana harusi. Mwenye nguo ya blue ni mama mzazi wa bibi harusi, na wa mwisho ni baba mzazi wa bwana harusi. Wote wamekuja rasmi kutoka Nairobi, Kenya kwaajili ya kushuhudia tukio hili takatifu.    Picha zote kwa hisani ya Charles 👆…… Thank you so much Charles be blessed!

R.I.P Kofi Annan

Another Africa greatest is gone! R.I.P Kofi Annan Africa will always remember you, your legacy shall forever live!……. Hivi mnajua hakuna kituo chochote cha TV hapa Marekani ambacho kimeongelea kifo cha kiongozi huyu mashuhuri aliyewahi kupewa  tuzo za Nobel Peace Prize? Halafu utakuta baadhi ya Waafrika haswa Watanzania wanavyo washobokea Wamarekani wakati wenyewe kama hawafaidiki na kitu hata siku moja hawakiongelei!!

Ingekuwa ni vita au vurugu mahala fulani huko African ungeona ambavyo kila kituo kinaonyesha kwasababu tu wanataka kuonekana wao ni bora kuliko wengine!! Napoa hapo wanajua ni sehemu ya kuuza silaha zao kama bunduki  hivyo ni lazima wamfanyie promo ya nguvu ili wauza silaha wapeleka huko!! Siku tutaacha kushabikia hawa wazungu na kujenga vyaketu ndipo tutaheshimika mbele zao!!

Anyway, may Kofi Annan soul’s R.I.P 🙏🏽

It’s only in TZ that 98% if it’s local celebrity is on instagram begging from the local struggling businesses for advertisements…..!

Regrann from @hollietheblogger - I salute educated and dignified Tanzanians💯💯💯. My sisters and brothers you have broken the norm and crushed this stereotype & you deserve praise 🤙🏾You know them days Tanzanian Education was one of the most sought after in East Africa. Many former African leaders either studied in Tanzania or Uganda. It was prestigious to be a TZ alumni 👩‍🎓. However, given the current events I just want to believe that standards must have dropped drastically or this extreme rate of unemployment has discouraged many and forced young people on streets. It’s only in TZ that 98% if it’s local celebrity is on instagram begging from the local struggling businesses for advertisements🙈. Only in TZ that women mock and publicly diss another woman’s child bearing struggles or inability to have children..cheii🤦🏾‍♂️ Only in TZ that women are defined by marriage and you see them fighting over men publicly, breaking families to please society and be rendered tough by other fellow women🤷‍♀️ It’s only in TZ that men are allowed to publicly abuse and re-abuse women emotionally and sexually and the society doesn’t rebuke such unacceptable behaviour because it’s complacent to this culture. It’s only in TZ that mother in-law and an unacknowledged prospective daughter in law would publicly insult and mock each other and drag their dirty linen in public without any shame. It’s only in TZ the so called local celebrities will fight for cheap stolen designs publicly and proudly expose screen shots of their discussions for the world to see in the name of levelling up or protecting their brands🙈🙈What went wrong in/with TZ 🇹🇿? Anyone with a different experience or views of this new TZ and it’s current generation? 😱I hope people like @jokatemwegelo, a stream of new and young leaders will start working towards restoring youth confidence, sorting unemployment and setting systems and measures to protect daughters and girls of Tanzania’s next generation. #goodday👌 - #regrann

hollietheblogger: So many people ask me If I get paid to promote

Regrann from @hollietheblogger - So many people ask me If I get paid to promote @zarithebosslady the answer is NO. But let me tell you what I gain and why I waste my time..it’s her rare STORY‼️ Rare because, she chose HER and HER KIDS above EVERYTHING something many women have no courage to do‼️ My benefits might NOT be in monetary terms but it’s in a sense of hope and reassurance. Reassurance that in future our daughters will NEVER have to sit silent in abusive relationships just because the society expect them to. But because of Zari’s and many other women’s experiences they will have the strength to reclaim CONTROL and emancipate themselves‼️ Just like you, in Zari I see my mother, my sisters, my aunties & best friends. Women who have been cheated on, abused and emotionally & physically trampled on. Women whose happiness have been snatched by another woman. Homes and children left fatherless, loveless, poor and homeless just because of men’s selfishness. Despite all these evil, society and some ignorant women still believe it’s ok for a man to disrespect a woman‼️ Religion & culture teach us that women are beneath men & aren’t allowed to be their own person. When a woman rises up to be her own voice there is so much noise surrounding her strength. Therefore if someone say that DP actions were innocent & didn’t mean any harm, I say that is nonsense. 

Zari the real Bosslady
DP knew and still knows what he does. His actions were & are still emotionally abusive and were/are meant to break ZARI and leave her dependent and powerless just as he’s done to all his exes. DP has broken them all emotionally and left them powerless and dependent on him‼️If Zari had hold on to this nonsense this guy would have continued to demean her publicly to show her she’s worthless. These actions would have created fear and decreased her self esteem making her dependent on him‼️💯 So don’t expect the dirty ***  to move on or find happiness anywhere else because she’s EMOTIONALLY broken and will sit in that rented flat as a side fuck for the rest of her life👌Compared to Zari who had a loving upbringing, these two are both as bad as each other because they both had a fucked up-bringing #revisitthispostinfuture #goodmorning - #regrann

Siku zote katika maisha yangu nilipenda sana kuitwa mama lakini ….

Regrann from @open_kitchen2014 – Siku zote katika maisha yangu nilipenda sana kuitwa mama lakini kwa sababu ya uzito wangu ambao ulikuwa unanipa complications katika uzazi ilinichukua muda mrefu sana kufanikiwa mwaka 2010 nilibahatika kwa mara 2 kupata ujauzito baada ya hormone treatment za kufa mtu nilipigana na kubeba mimba mpaka almost 7 months lakini kwa bahati mbaya my pressure haikuwa controlled vizuri mtoto akafia tumboni nilikaa labour masaa 12 sitokaaa kuyasahau mpaka nikafanikiwa kujifungua and she was a girl almost 1.5kg tukamzika next to my mum .  Baada ya mwezi nikapata bahati ya kwenda shanghai china kulikuwa a world expo kupitia Tan trade nikafunga mzigo wangu wa vinyago maana ilibidi nifanye mchaka mchaka nikapakia mzigo kwenye container pamoja na wenzangu na hapo sijapona vizuri ila Mungu ni mwema alinipa nguvu za ziada mwezi unaofuata nikapanga safari na kuondoka hakuna siku niliwahi kumwona mume wangu analia kama hiyo siku ananipeleka airport alilia sana kwa uchungu na kunionenea huruma kwamba sijapona vizuri then naenda kuhangaika nguvu zenyewe bado hazijarudi vizuri alinibembeleza sana nikamwambia bora niende nikapigane nifanye kazi kuliko kukaa kitandani na mawazo mimi naamini kila jambo Mungu anapanga kwa muda wake i am strong mentally na nitaweza tu wewe kuwa na amani.

Tulikuwa wafanya biashara wengi kidogo kama 10 hivi tulifika na kupokelewa vizuri na watu wa ubalozi wetu so ikabidi tu share apartment mimi akaniomba dada mmoja ni share nae alikuwa na mtoto wa kiume alikuwa kama na miaka 10 plus or 8 yrs hiyo apartment ilikuwa single room so mimi nikachukua bed wao wakasema watachukua sitting room because kuna more space na kuna sofa bed kubwa basi next day tukaanza kukimbizana kupanga mizigo kwenye banda letu kwakweli ilikuwaa kazi ngumu sana kwasababu mzigo ulikuwa umeshushwa almost 2km away ndio store ilipo vinyago ni vizito sana so inabidi uvitoe store uje kuvipanga kwenye banda na ukifika lazima uvipige kiwi yaani tulikuwa hoi na huwezi kuleta vyote maana nafasi ndogo so inabidi ulete kidogo kidogo na hapo sina nguvu za kutosha but najipa moyo i can do this ukizingatia hakuna kukaaa ukimaliza kupiga kiwi kupanga unasimama uuze bidhaa zako yaani ikifika jioni miguu yote imevimba unchoka hata kuongea huwezi.

Yule dada aliyeomba kukaa na mimi akawa so rude kwangu ghafla mara kanuna mara hataki mtoto wake akuongeleshe watu tunakaa same room tunfanya biashara same banda dah nikasema huu ni mtihani but mtoto was so kind akawa tukikutana nje ananiambia Aunty its ok my mum is like that msamehe tu he was a good boy mimi nikaamua kumpotezea na kuishi kivyangu nikiingia room kwangu kimya naoga nalala .

Nikiamka naenda store najazia mzigo kwenye stand yangu napiga kazi na hapo mchina hajui kiswahili wala kingereza biashara tunafanya kwa calculator yaani we acha tu unaongea mpaka unapasuka untoa mifano yote maana wote tunauza same product sasa wewe hapo inabidi uwe mjanja mteja akipenda kinyago chako usimwachie ukimwachia tu imekula kwako  Aiseee nilipigana for 4 weeks none stop 7 days a week 12 hrs kila siku on my feet Mungu ni mwema niliuza mzigo wangu wote sikubakiza hata kitu kimoja nilimshukuru sana Mungu maana kuna wamasai wakubwa wananishinda urefu nilisema hawa kweli nitawauza but i had faith mteja alikuja akanipa bingo ndefu dah i was so happy nilipomaliza tu mzigo nikafunga sanduku langu huyooo nikarudi zangu dar mifuko imejaaaa nilikuwa nimechoka sana but i did it niliinvest kama dola 10,000 usd kila kitu mzigo plus all expenses nikapata kama 35,000 usd in 30 days i was so happy nilijiona mimi ni mshindi mkubwa sana i did not give up kabisa mazingira ya kazi na kuishi yalikuwa magumu but i stayed focus .

Miezi miwili baada ya kurudi nikajikuta nina mimba tena nikaanza hormone treatment pressure ikawa controlled then Mungu akanipa zawadi ya Baby Iman so leo nataka wewe usikate tamaaa no matter what NEVER GIVE UP BELEIVE IN YOURSELF AND BELEIVE IN GODS TIMING .

kila kitu Mungu anapanga kwa muda wake mitihani inakuja kila siku we need to stay focused

Watu tumetoka mbali sana kwenye haya maisha ya kupambana but Mimi sijawahi kukata tamaa💞 – #regrann

Makabidhiano ya Hati Miliki ya Ardhi ya Shamba na Kiwanda cha Udafco Ltd

Makabidhiano ya Hati Miliki ya Ardhi ya Shamba na Kiwanda cha Udafco Ltd, kwa Mh. Lameck Airo, MP. Toka kwa Bw. Otieno Igogo wa Udafco ili Mh. akaiwasilishe kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara. Iliyofanyika leo tarehe 15.08.018 ofisini kwa Msajili wa Hazina. 

True Situation Analysis of Life: There’s no permanent champion, but current champion

             True Situation Analysis of Life.

Mapigano Peter and his wife

After Secondary School..

All your classmates have gone in different directions in the world.

Some have completed universities and are now:

 • Doctors,
 • Engineers,
 • Teachers,
 • Pilots,
 • Lawyers,
 • Administrators, etc.
 • Some are married,
 • Some have given birth,
 • Some are still searching and waiting on the Lord.
 • Some are dead, don’t forget that too.
 • And others are on the sick bed,
 • Some are running their higher degrees: Masters, PHD, etc.
 • Some haven’t even gained admission into the tertiary institution and may NEVER be able to.
 • Some own companies,
 • Some are now Directors and major shareholders in global companies.

But how do you feel

When you meet your classmates, and it seems like he/she has accomplished their dreams and you’re not yet close to yours? So many thoughts run through your mind, right?

First, you think God has not been fair to you. How about the ones you meet on the street wearing dirty cloths and still struggling for survival ?  Do you get the same thoughts running through your mind? I guess, NO. Don’t forget too that some are already dead.

Somehow it feels natural to have that feeling of jealous for those mates who seem better off, but it is really unnecessary. There is no room for regrets,

We are all different and our paths to greatness are also not the same in distance. Some might have arrived earlier before you and some after you, but whatever level you find yourself in life,

Please keep trying to break limitations and move further. Celebrate the success of others, its an indication that yours too shall surely come.

Zari the real Bosslady

Your friend buys a car now, be happy with him/ her. Remember when you’ll buy yours,  theirs might not be the latest again. There’s no permanent champion, but current champion.

Life is not about competition, do not be in a race with anyone; remember, we may seem to be reading the same book but different chapters at different times.

Don’t let the passion in you kill the desire in you, keep it burning. What you’re passing through today; Write it down because one day the world would be ready to read it, they’ll become part of your success story.

There’s no height you cannot attain, believe in yourself, define your goals, recognize distractions and don’t stop striving. Spend time teaching yourself, because those things that mainly take people to the top are the things they devoted their time to develop.

Don’t be intimidated by your friend’s success, the sky is wide enough for birds to fly without touching one another. Value every little thing that God brings into our life, love God and obey Him. For with God, all things are possible.

The Ambassador of Bryan Foundation-Zari in doing charity work in Uganda

*Now to those who are on top Never forget to give a helping hand to those who are down.Because Life is full of uncertainties; the one you pull up today, may be the one to hold your hands and prevent you from falling tomorrow*

A piece of advice there, food for thought

Share this to all your friends and let them realize that God has a purpose in their lives.

May God bless you.”

***Written by Mipigano Peter***

“A husband job is to provide for his wife and family”!

#RepostSave @cheyennebbostock with @repostsaveappI want my wife to be a wife, a mother, a friend, confidant, and much more! She will have everything she needs and more! If she wants to work, it will be her choice, but it will never be for the money. Only for sport. 😎 #MarriageGoals

I dare you to share this post. TAG A FRIEND. ✋🏾

R.I.P the King of Comedy!

R.I.P the King of comedy, the Legend mzee Majuto! You have fought a good fight your legacy will forever live in Tanzania entertainment industry! You will be dearly missed with not only Tanzanians but many around East Africa and Africa in general! Rest in Eternal peace mzee wetu . Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe milele zote 🙏🏾

The FEAFFA board of directors meeting

The founder President of the Federation of Eastern Africa Freight Forwarders Associations( FEAFFA.) Mr. Igogo Otieno, addressing a meeting the Board of Directors in Nairobi, today 3rd August 018, at the Boma Hotel.

Hongera sana Mh. Jokate Mwegelo

#RepostSave @jokatemwegelo with @repostsaveapp  Amini Mungu ni mwingi wa rehema kamwe hamtupi amtumainiye yeye!! Ahsante Mungu Wangu.

Labda ni-share kitu kidogo, kuna muda mwaka jana mwishoni nilikuwa so down nilitamani kukata tamaa na kila kitu kwenye maisha nilikuwa pia sijaelewa vizuri hatma yangu kwenye siasa. Nilikuwa kwenye mkutano mkuu wa chama kuna mdada mmoja kutoka Arusha akanikimbilia na kunikumbatia kwa nguvu sana alikuwa na mama mmoja hivi walikuwa wamekuja kupiga picha namimi. Huyo dada mdogo hivi akasema ananipenda sana sana na mimi ndio nilimfanya aingie kwenye siasa na akagombea nafasi kupitia mkoa wa Arusha akashinda!! Nikabaki natabasamu. Ikanipa nguvu kubwa ya kupiga moyo konde na kusonga mbele. Nilifurahi kuona kuna mdada nimeweza kumhamasisha na kumpa ujasiri wa kugombea. Unaweza ukawa unapitia mitihani migumu sana kwenye maisha yako lakini inakubidi usikate tamaa saa zingine kwasababu tu ya wale wanaokutegemea, wanaokuangalia na kuvutiwa nawe na kujifunza kupitia maisha yako. Lakini zaidi kwasababu safari ya mafanikio ina milima na mabonde, inabidi upambane na kiukweli hakuna mafanikio yasiokuwa na changamoto. Na kuna muda changamoto ndio haswa zinatengeneza “character” zetu. .

Kikubwa zaidi wakati wa changamoto tukumbuke kuwa wanyenyekevu, wenye kujishusha na kumuomba Mungu aendelee kutupa imani, hekima na busara ya kusubiri wakati wake. Tukumbuke Mungu hamtupi mja wake. Nawatakia Jumapili Njema. Nawapenda Sana. Ahsanteni 🙏🏽”

Ninafuraha sanaaaa! Hongera sana mdogo wangu Muheshimiwa Jokate Mwigelo kwakuteuliwa kua  Mkuu wa Mkoa wa Kisarawe. Mwenyezi Mungu akuzidishie mibaraka yake, ukaongoze kwa hekima, na busara kwa faida ya wana Kisarawe na taifa la Tanzania kwa ujumla, zaidi ya yote utukufu wa Mungu ukapate onekana mbele za watu. Hongera sana tena sana! #WanawakeTunaweza

U.S.A_2018: Blessing katika ubora wake

Hongera sana Mh. Jerry Muro

"Namshukuru Mungu kwa Kunipa Kibali cha Kumsaidia kazi Mhe, Rais, Dkt. John Pombe Magufuli katika Nafasi Ya Ukuu wa Wilaya ya Arumeru, Nakushuru Mhe, Rais, Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Viongozi wote Waandamizi wa Serikali kwa kunipa Jukumu Hili la kuwatumikia wananchi wa Meru.#WakatiWetu #MeruYetu #TanzaniaYetu"
Naomba kutoa pongezi zangu za dhati kabisa kwa Mkuu wa wilaya mpya wa Arumeru Mh. Jerry Muro. Nakuombea uongozi bora wenye haki na tija kwa maendeleo ya wilaya ya Arumeru na taifa kwa ujumla!. Hongera sana!

Happy birthday to my mama!

   
   Shout-out this this beautiful lady, humble soul, prayer worrier, woman who gave birth to me! Today is her birthday, namuombea mibaraka mingi zaidi ya hapa, Mungu azidi kumbariki, naomba uzingatie kuwa nimesema "naomba Mungu azidi kumbariki" kwa I naamini kuwa ameshabarikia kitambo ila naomba Mungu amzidishie isipungue hata moja! Namuombea afya njema na furaha tele. Happy birthday mama, I love you!