alphaigogo.com
Baba Keagan: Lakini yote ni MUNGU anawapima imani ili aweze kuonesha UKUU WAKE - alphaigogo.com
Regrann from @paulmakonda - Mara nyingine unapopewa mtihani haupimwi wewe ila wale wanaokuzunguka, kupitia mtihani wako watatokea watabiri, wazungumzaji na watu wa kila aina hadi watakaojivisha U-Mungu kiasi cha kufikia kukufukuru mara nyingine, lakini yote ni MUNGU anawapima imani ili aweze kuonesha UKUU WAKE, na anawakusanya kwa wingi ili atakapotenda NENO LAKE lisambae, hivyo sio kila mtihani ni wa
Alpha Igogo