Baba na mama Ariel!

 Hii couple naipenda hila sijuwagi Sir name yao ?? Ni wale wenye watoto wazuriiii ??   Sijui ni Mkony au? Ila najua mtoto wao mmoja anaitwa Ariel, hivyo nimewaita baba na mama Ariel ??  wamefanana eeh? Utasema mtu na dada take, so lovely! .......Jamani Poleni sana kwa kuuguza mtoto. Mungu awe nanyi wakati wote wote na namtakia uponyaji wa haraka baby girl!

Leave a Reply