Baba na mama wawili katika ubora wao!

“Nilikupenda, nakupenda na nitazidi kukupenda……Mpaka kifo”…….hayo ni maneno yake mke mwema ambayo aliambatanisha na hii picha!

Alpha Igogo-blogger

Jamani, mama wawili alisha semaga na bado anasema ni mpaka KIFO! Kwa mahaba hayo, nini tena Mungu akupe! Tulia mama tulele #Bilionea  wetu, aje aone watoto wake wakiingia college na hata kuwa na miji yao ati!!………Kila siku baba na mama wawili wanazidi kunoga! Kupendana raha sana! Nimesema Kupendana siyo kupenda! Kupenda mtu asiye thamini penzi lenu ni Majanga! Utateseka mpaka basi! Lakini mkipendana kwa dhati kama Dr Mengi na Jackie wake aaah! Mbona raha sana dunia yote unaona ipo kwenye kiganja cha mkono wako ??   Wenyewe wako zao vacation na watoto wao huko Britain! I’m jealous kwakweli, can’t wait kwenda vacation na Muhaya wangu na mimi nikaige mapozi haya ?? ……..nimependa sanaaaaaa!

Leave a Reply