Baba Shubi kesho atanguruma live!

Jamani najua nipo break lakini hili tangazo pamoja na hukumu ya Lulu imenibidi leo ni blog 😆😆 wapenda “ubuyu” utatujua tu 🙈🙈 ……Jamani kesho msikose kusiliza asubuhi na mapema saa za Afrika Mashariki baba Shubi atanguruma Live bila chenga kwenye Clouds 360! Mie nitamsikiliza jioni ya huku Texas, Marekani hivyo kama kuna cha kusema nitasema siku ya JumaTano! …….#Usikose

Leave a Reply