The best Ads katika social media

Katika moja ya matangazo niliyo ya penda kwenye Instagram basi na hili ni moja wapo! Lakwanza kabisa nilile la Diamond na Tiffah halafu boyfriend wa Tiffah akaja mchafu na vifuko vya “rambo” halafu Diamond akamfukiza (tazama hapo ??)……..nayapenda kwasababu kwanza yameweza kubeba ujumbe uliokamilika yani; (1) Aina ya bidhaa inayotangazwa (2) Faida ya matumizi yake / sababu gani ununue (3) Mahali bidhaa inapatikana (4) Jinsi ya kuwapata kama unashida (5) Yanavuta hisia na kumpa mteja hamasa ya kutumia (6) Siyo over exaggerated~~~~~~~~Sijasema haya tu ndio mazuri hapana, najua yapo mengi lakini kwasasa haya ndio niliyo ona!ooh! Hata lile ameigiza Diamond na Zari nalo ni zuri sana!

Hili ? ni la best yangu embu mwende mkamuunge mkono na please m-follow kwa Instagram yake jina la Masaki Computer & Printing Services

Our teams doing what they do best: we can do bulk printing, photocopy in color and black and white, all size up to A3. Call us for more details: 0764 504411

Leave a Reply