alphaigogo.com
The best movie Director! - alphaigogo.com
Regrann from @wemasepetu - Rafiki, Ndugu, Mshauri, Muongozaji... Bila wewe safari yangu itakuwa ngumu sana... Mungu akuweke kwa ajili yangu... Hakika najiona mwenye bahati sana... Ntakuthamini na kukupenda mpaka mwisho... @neema_ndepanya @neema_ndepanya @neema_ndepanya @neema_ndepanya - #regrann Nimefurahia sana kuona mdogo wangu tuliye kuwa naye mtaa mmoja akifanya mambo mazuri hata kuwezesha wengine kufanikiwa katika ndoto zao na
Alpha Igogo