Birthday wishes

Leo ilikuwa ni siku ya kuzaliwa our Iron Lady, nikisema kuwa she is the  pillar of our family itakuwa nimemkosea heshima sanaaaaaa! She's one of the Very few pillars tulio jaliwa nao na Mwenyezi Mungu  katika ukoo wa Chief Sarungi Igogo!
Janeth alipokuwa amekwenda kumpa mama salamu zake za shukran ya siku ya kuzaliwa kwake katika office za HoleyPharm, Upanga, Dar es salaam
 Nguzo imara ambayo tunamuomba Mungu amzidishie maisha marefu yenye afya njema sana kwani tuna muhitaji kuliko maelezo! Hii nguzo ikitetereka basi jua ukoo huu utaanguka na kugawanyika vipande vidogo vidogo ambavyo kuungwa kwake will be Another Miracle! Eeh Mwenyezi Mungu tunakuomba usikie sala na dua zetu katika jina lake Yesu! ? ........Happy birthday Nyawiti we love you!

Leave a Reply