“BlackLoveDoc”

Wapendwa kama mjuavyo mimi ni TV addict but stupidity never entertained me!! Yani huwa na penda show zenye kunielimisha kimwili na kiroho, pia za kunifurahisha lakini siyo show zenye mambo ambayo hayana mana. Sasa mwezi uliopita kwenye OWN channel Oprah akatangaza hii show mpya inaitwa “BlackLoveDoc” ambapo wapenzi/ wanandoa wenye asili ya watu weusi (blacks couple) wanaelezea their love story, parenthood, na challenge walizopitia na how they overcome them. Inahusisha celebrities na watu wakawaida.  Yani I literally said to myself, huyu Oprah is reading my mind or what? Kwasababu hiyo ndio nilianzia hapa kwa blog yangu na kila mwaka on Valentine’s day huwa nataja couple of the year!………. Anyway, show ni nzuri sanaaaa! Nimeipenda mno,

Wenye mapenzi ya kweli utawaona tu toka mwanzo, wewe saa kumi asubuhi mtu anapiga simu Kwasababu kasikia kuna Earthquake? Ndugu zangu mliopigwa na Hurricane Harvey mlipokea hata text za pole ??  wahenga walisema kuwa uyaone ??

Show inapatikana kwa YouTube unaweza angalia katika muda wako. 

Leave a Reply