alphaigogo.com
“BlackLoveDoc” - alphaigogo.com
https://youtu.be/NaJtPq36b6c Wapendwa kama mjuavyo mimi ni TV addict but stupidity never entertained me!! Yani huwa na penda show zenye kunielimisha kimwili na kiroho, pia za kunifurahisha lakini siyo show zenye mambo ambayo hayana mana. Sasa mwezi uliopita kwenye OWN channel Oprah akatangaza hii show mpya inaitwa
Alpha Igogo