Category Archives: Alpha being Alpha!

Usiumize kichwa chako na mipango ya mtu! Fanya yako!

Nafikiri kuna ugonjwa mpya wa umeingia ย nashindwa kuelewa niupe jina gani. Sijui ndio ugonjwa wa “kuwashwa washwa” in Dr. Magufuli’s voice ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ baadhi ya watu wanapenda kufatilia mambo ya watu mpaka huruma! Sikujua mambo yangu yanaumiza watu kichwa namna hiyo! Am I such a big deal?! Sikujua asanteni, na hapo ni haka ka blog tu watu hamlali ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ ee Mungu endelea kumimina hizo baraka zako, mtumishi wako nipo teyari kuzipokea Baba, mimina Baba ๐Ÿ™๐Ÿ™ ย Eti mtu unaangaika kutaka kujua kwanini amehamia Houston? Jamani kwani kuna dhambi gani mie kuhamia Houston!! Oh, nasikia unataka kuhamia? Nihamie wapi tena??? Mie hapa ndio Kigoma mwisho wa reli!! Yani mnakera nyie watu!! ย …….watu wangejua kuna raha sana kufanya yako wasinge angaika na maisha ya mtu! Wewe mbaba / mama mzima mwanaume loser fulani anakutumia kufatilia mambo ya Alpha halafu na wewe unajiona mjanja eti unakubali ๐Ÿ™‰๐Ÿ™‰ hivi unalipwa kiasi gani? Maisha yangu yanakuvutia eeh!? Basi wewe endelea kutembelea hii blog majibu yako yote utayapata hapa wala usiumize kichwa kumuuliza mtu! ……..Embu acha kuumiza kichwa na mipango ya maisha ya mtu mwingine fanya yako! ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ 

“I’m Charles McCater. I’m going to die Charles McCater”

“I’m Charles McCarter. I’m going to die Charles McCarter. I don’t even know why you’re here. Call Brenda and get my kids. where are my kids?! I asked you to do one little thing and you can’t even do that after 18 years get out……”

Kuna watu hata uwe mwema kwao kiasi gani they will never ever appreciate you or respect what you did / doing to them! …..Sasa ndio kama huyu “Charles McCarter” mtu ambaye ameokoa maisha yake tena wakati akiwa na kila sababu ya kumuacha afe yeye ndio kwanza anamdharau na kumuongezea hasira!! ……..Eti “I’m Charles McCarter. I’m going to die Charles McCarter”!! Jamani, lazima tukubali kuwa kuna watu hawawezi kubadilika isipokuwa kwa uwezo wa roho mtakatifu pake yake!! Na wengine hawawezi badilika kwani roho wa Mungu alisha hama ndani yao! Watu wa namna hii hata kama unawaombea waombee tu lakini kaanao mbali kwani wanaweza wakakufanya ufanye maamuzi ya hasira bila kutegemea kama huyo mama!! …….huu usemi wa Maya Angelou “when people show you who they are believe them” kwakweli nimejikuta siku hizi nautumia sana katika kuangalia ni watu wa namna gani I want around me! Mtu akisha kuonyesha dalili zote za kuwa yeye labda ni mchonganishi, mmbea, tapeli, tafadhali wala usisite kuamini kuwa she / he is less than what yourย  instinct is telling you!! Some people are “Charles McCarter” and they will die “Charles McCarter”! Just leave them alone!ย ย ***Picha yangu haina huusiano wowote na story nimeitumia tu****

Hello there…….!

Alpha Igogo- blogger

Hello wapendwa! Natumaini wote wazima wa afya njema. Ni muda sasa tangu niiweke sura yangu humu, imebidi leo “nijirushe” ย bila kupenda maana wengine hamkawii kusahau sura yangu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Nawageni ndio wanazidi kuongezeka siku hadi siku, karibuni sana! ……Mimi naitwa Alpha Igogo ndio mmiliki wa hii blog! Wenyewe na lugha zao wanasema “Owner and C.E.O” aha! Mie niite Alpha inatosha kabisa! C.E.O bila pesa hainogi hata kidogo ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†ย Huyu mrembo niliyepiganae picha ni binti yangu, mwanangu wa pekee kwasasa! Nimesema “kwasasa” lakini pia usisahu nimesema wa “pekee” hivyo hakuna ajuaye ya kesho huwenda hayo maneno yote yakabadilika au yakabaki jinsi yalivyo! Well, I’m a woman I am allowed to change my mind (in Wendy Williams voice) ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ ……..though niko very curious kuona kama nikizaa na “Mzungu” mtoto wangu atafananaje ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Yani niliwaza tu, je atatokea mweusi kama mimi au atakuwa wa light chocolate? Au atakuwa mzungu kama baba yake? Nywele zake je zitakuwa kama mzungu au kipili pili kama zangu? Atachukua shepu ya “Kibantu” au atakuwa kama mzungu? Honestly, nipo so curious ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Nilimwambia mwanangu hili wazo langu, akasema “something must be seriously wrong with your brain” ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ …….Je! watakajua kama nikiongeza mtoto mwingine atakuwa na baba mzungu au muafrica?! Basi endelea kutembelea blog hii bila kuchoka na jibu lako utalipata hapa hapa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ย Haya jamani kibonge mie, nawatakieni siku njema. Tuonane wakati mwingine!

“I realized that they don’t know what grace is, they can’t identify serenity,”

"It's definitely difficult being a woman and growing up a girl. When you're graceful, people say you lack personality; when you're serene, people say you're boring; when you're confident, people say you're arrogant; when you're feminine, people say you're too girly; and when you climb trees, people say you're too much of a tomboy! As a woman, you really need to develop a very strong sense of self and the earlier you can do that, the better! You have to be all the things that you are, without allowing other people's ignorance change you! I realized that they don't know what grace is, they can't identify serenity, they have inferiority complexes, they are incapable of being feminine, and they don't know how to climb trees!" ~~~~~~~~~ C. JoyBell C.

Hakuna dhambi kuwa wa tofauti na wengine. Dhambi nikulazimisha kuwa kama wengine!

Hakuna dhambi kuwa wa tofauti na wengine. Dhambi nikulazimisha kuwa kama wengine! Kuna watu ambao maisha yao binafsi yanawapita au wanajikuta kwenye matatizo kila siku iyendayo kwa Mungu kisa na mkasa ni kulazimisha kukubalika kuwa mmoja wa “nyumbu” wa kundi fulani!ย Nimewaita “Nyumbu” kwasababu Nyumbu ndio wanatabia ya kufata mkumbo wa wengine ili akubalike! Trying so hard to “fit in”! Na saa nyingine hata kama una fit-in kwenye group fulani haimaanishi kuwa hapo ni mahali pako stahiki! Kuna watu wanashindwa kupata mibaraka yao mikubwa ambayo Mungu amewaandalia kwasababu ya kulazimisha kuwa kwenye group fulani!

Mibaraka ya Mungu ni mitakatifu hawezi kupa kama hauko teyari! Hivyo nilazima uwe umeandaa sehemu au umejiandaa kwa kujisafisha / fanya matengenezo ya njia zako ndipo anakumiminia!

Vijana wengi wa kike hata wanawake wazima wasiku hizi wanapenda sana maisha ya kuiga na kufata mkumbo kwasababu hawajui thamani yakuwa mtu ‘Huru’! Mtu mwenye mtazamo na maamuzi yako binafsi ambayo hayavunji sheria wala kuingilia haki na uhuru wa mtu mwingine! Why trying so hard to fit in when you were born to stand out! #BeYou


Kama picha zinavyo onekana, mimi naamini ni mtu huru! Basi weekend hii na week hii yote nimejisikia na nimeamua ku-rock mabutu hair style! Kwani kuna dhambi gani mtu kusuka mabutu? Yani kuna joto kiasi kwamba sitaki kusuka rasta, na mawigi yananiwasha kwa hili joto! ย Nasema hivi, hakuna dhambi kuwa wa tofauti, dhambi nikulazimisha kufanana na kila mtu! In a world full of Kardashians be Princess Diana!………..Btw, Sijajichubua, ni makeup na reflection ya miyonzi ya jua! #AlphaBeingAlphaย Hii picha โ˜ nilipiga Summer 2015, one week baada ya kuhamia Texas! Hapa sikupaka makeup ๐Ÿ˜

 

“Save your sorry”!

Embu tuongee kidogo wapendwa, hivi nawewe umechoka na hawa watu ambao wanakutenda tena kwa makusudi halafu akitegemea kuwa atakuja kukuomba msamaha and everything will go back to normal ๐Ÿ™‰๐Ÿ™‰ Najua hakuna mkamilifu lakini kuna vitu fulani mtu akikutamkia au kukutendea kama ni mtu unaye jithamini lazima useme No! You have crossed the line, "save your sorry" to someone else! Kama Janet Jackson kwenye hii movie ย ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… ย (tazama clip ๐Ÿ‘‡)........... Yani mimi sijui nimekuaje siku hizi nafikiri watu wamechukua upendo na ukarimu wangu kama udhaifu hivyo kwa muda mrefu I put up with a lot of crap! But ma'am! Some must happened with my 40th birthday, I have ZERO tolerance with Unkind people, ungrateful people, wale watu ambao unakwenda above and beyond for them only to be " verbally and emotionally abuse"??? Boy!! Save your sorry! Sio at this age! Kama ni ย teenager unaweza sema you are in that age trying to figure out who you are but at this age! Nope! Wewe na your sorry Okwende huko (in Luo accent) ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… I will forgive you  but our friendship will never be the same again!

 

 

Make no mistake about it…..!

"Don't give anybody privileges and rights without responsibilities. The mind cannot handle being afforded privilege without purpose. Make no mistake about it, whatever is earned cannot be mistaken for free, cheap or easy. Giving a grown person free privileges is like giving a baby a razorblade. Just because somebody wants to hold you does not mean that they can handle the responsibilities that come with you."~~~Bishop Larry Boyd

Ladies!~~~~not everyone is able to go where you are going……!

"LADIES!...... not everyone is able to go where you are going & there's no reason to hold on to someone that don't want to be held. Sometimes you have to cut the ropes & sail on to deeper waters... alone! And those who are not with you will just have to paddle back to shore!" ~~~~Bishop Larry Boyd

Happy 40th birthday to me!

Asante Mungu kwa mwaka mpya! Hakika nimeona pendo lako! Jina lako libarikiwe milele! Asante sana wazazi wangu kwa kunileta katika dunia hii! Namshukuru sana mama yangu kwa kunizaa lakini pia namshukuru sana baba yangu kwa kuacha wanawake wote na kumchagua mama yangu maana kama isingekuwa hivyo nisinge kuita wewe mama! Asante sana family yangu (kaka, dada, wadogo, na wengine wote) kwa uwepo wenu kwangu ndio nguzo yangu imara nasimamia, kivuli changu wakati wa jua kali, na kimilio langu wakati wa shida!……..Asante sana mwanangu najivunia sana wewe kuwa mtoto wangu na niheshima ya pekee kutoka kwa Mungu kunipa wewe katika maisha yangu! Nakupenda sana!
Happy 40th birthday to me! #LetLoveLeads #LifeBeginsAt40 ๐ŸŽˆ๐ŸŽˆ๐Ÿด๐ŸŽ‚๐Ÿจโค๐Ÿ˜

Let me be……….!

Life is too short let Alpha be Alpha! Yani mimi kama I could have things my ways nafikiri ningekuwa na cheka tu kama #Zezeta …….Mpendwa, Usipoteze muda wako kusikitika kwanini yamekukuta yalio kukuta! Wewe sema kama yasingenikuta mimi nani mwingine anayestahili? ย Mshukuru Mungu kaamua kukutumia wewe kama chombo cha kufikisha ujumbe wake kwa watu / duniani! Mungu anajua you are strong enough to handle the stormy weather ndio maana akakupitisha njia hiyo! Maybe alijua kama kila kitu kingekuwa rahisi kwako basi usingejua kusema Asante Mungu! ย Yani Mungu asingekua na nafasi katika maisha yako! Shukuru, na furahia maisha yako hata kama kuna magumu gani unapitia. Kama unataka kulia nenda sehemu ambayo upo mwenye iwe chumbani au chooni wewe nenda kajifungie ulie wee tena lia sana kwa nguvu zote kwani kulia ni dawa ya kuondoa sumu ya hasira mwilini! Ila baada ya kulia hakikisha unafuta machozi yako na kuendelea na maisha yako kwani siku zetu hapa duniani zimehesabiwa na hazipo nyingi sana! Muulize Mungu, haya, katika hili unataka nijifunze nini ambacho sikuweza kujifunza mara ya kwanza! Maana wengine huwa tuna miss the core of the lesson na kwakuwa Mungu anatupenda sana basi naye hutupatia mapigo / maonyo hata mara tatu au zaidi mpaka pale tutakapo elewa somo! Basi muulize akufungulie ili usipate pigo lingine tena………..Life is too short let me be who I’m! Alpha is all about love and love is her religion! Love me or hate me I care less about you as my birthday is just around the corner and “Life” begins at 40!……Love you!

My weight loss journey……….!

Wapendwa wasomaji wangu, msifikirie nime bwaga “manyanga” hapana! Niliumia mguu, hivyo kwa muda wa wiki nzima nimeshindwa fanya mazoezi lakini kesho ratiba inaendelea kama kawaida!…….. hata hivyo sikuacha kuzingatia nini ninakula, hivyo mlo ulio kamilika ulikuwa unazingatiwa ๐Ÿ˜ย Haya safari inaendelea!

Niliwahi kusema hivi………!

“Ok! Lemme today address this issue to my fellow friends who think someone is less of LADY/WOMAN unless you wear something under size 10 or you have to look a certain way.ย First of all, we all are human being regardless of how we look-created by one person we call Him God, and to Him we all shall return one day.

Second, woman is woman whether she is fat or skinny, rich or poor, famous or not famous, tall or short, hair or hairless, black or white. We are all women and no one is obligated to be or do anything other than what they choose to be!!ย Third, to those people who constantly telling me “umenenepa sana, unabidi upungue” well, we all have had different life experiences and our bodies react differently, that doesn’t make any of us less woman. I do understand about health issue but who told you I’m not healthy anyway?! And where is written that skinny people are the most healthiest people in this planet?! Btw being healthy isn’t something I owe anyone except myself!! I don’t have to adhere to anyone’s specifications to be a valid woman that God has created me!! So please, save those comments “unabidi upungue” to your mama!! Yes, I said to “your mama” as I’m someone’s MAMA, she loves me, respects and adores me the way I am!!!ย Finally, if it’s true “we are what we eat” then I think some people need to eat BIBLE to Detoxify their evil ugly hearts!! #KeepingItReal”ย ******This is a Repost from my Facebook 2014**** ujumbe wangu kwa wanawake wote kuwa you are beautiful they way you are!! Don’t let idiots make you feel like you’re less of woman just simply you can’t wear size 8!! Confidence is the best outfit, keep it on everyday, and real beauty comes from within sio kwenye size ya nguo yako!! Umeshawahi ona mtu anavaa size 4 lakini anaroho ya kishetani!! Yani sura yake na matendo yake represent nothing but a devil?! I mean, am just saying!!……Wataalamu wanasema kuwa “big girls they always got big hearts”!!

Love conquers all!

Huwezi kumuonyesha KIPOFU NJIA ย kwa kumtembeza gizani kwani yeye ni kipofu na haoni kama yupo gizani!! Huwezi kumfundisha mtu ambaye ni “bully” kuacha ku-bully watu just by doing the same thing wakati hicho ndicho anachokijua na ku- experience in his / her whole life!! Love! Love! Love! Kama Yesu alivyo tupenda sisi nasi tupendane vivyo hivyo!! Love conquers all!…………Kwa msionifahamu mimi naitwa Alpha Igogo na Upendo ndio Dini yangu! Nasema hivi My name is Alpha Igogo and Love is my Religion! Mbarikiwe wote.

Shukuru na furahia maisha wakati bado una pumzi ya uhai!

Wapendwa wasomaji wangu, maisha ni mafupi sana, mshukuru Mungu kwa pumzi ya uhai anayokupa kila siku! Na sio hivyo tu, Shukuru hata kwa vile unavyoviona ni vidogo kwani hivyo ndivyo vitakavyo kukamilisha wewe! Kama huwezi kushukuru hata kwa hivi vidogo Mungu anavyokujalia basi amini usiamini hautoweza barikiwa zaidi ya hapo!Kwamfano, mimi nilipokuwa under age ๐Ÿ˜œ, nilikuwa naomba Mungu anijalie niwe na uwezo wa kuwa nakuja Marekani mara kwa mara! Lakini tazama Mungu alivyo mwema, mimi sio tu ninauwezo wa kuja Marekani kama nitakavyo bali naishi Marekani! Kana kwamba hiyo haitoshi Mungu amenibariki zaidi ya mimi nilivyokuwa nikiomba, mtoto wangu amekulia hapa, amesoma hapa, na anaishi hapa! Kila ninapokuwa barabarani huku mwanangu ndiye anayeniendesha huwa na-smile in my heart nakusema ASANTE MUNGU! Najua siendeshi gari la kifahari sana kama wengine lakini namshukuru Mungu kwa kunitimizia ndoto zangu above and beyond my imagination!

Mimi na mdogo wangu Magreth, tukifurahia kufika kijijini kwetu Utegi salama! February 2017

Kuna watu wapo hapa hawajaona wazazi wao miaka chungu mzima! Wengine mpaka wazazi wao wanafariki lakini hawawezi hata kutoka kwenda kuwazika wazazi wao au ndugu zao! Sasa kwanini mimi nisimshukuru Mungu na kufurahia maisha wakati ninakila sababu!! Vile vile ย namshukuru hata kwa zile ndoto ambazo ameona zisitimie kwa wakati huu kwani yeye ndio mpangaji wa vyote najua atanitimizia tu! Natamani kuwa bilionea, najua hii ndoto itatimia tu kwa uwezo wake๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Nakama haitotimia bado maisha yatasonga na nitamshukuru kwa yote! Furahia maisha katika hali uliuonayo sasa kwani maisha ni mafupi sana usipo furahia sasa utafurahia lini?! …….Nawatakieni weekend njema kwenu wote! Hapa U.S.A hii weekend ni ndefu kidogo sababu Monday ni public holiday, nawatakieni happy memorial! Ngoja nifurahie maisha by sorrounding myself with LOVE! Eeh, niwape umbea? Muhaya kakasirika, mmh! Wivu ukizidi nao ni shidaaaa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… but still ย nashukuru kwa yote ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ ย Mbarikiwe wote!

“Your life is your right. Never give the control of your life to anyone in life”

Some people are already troubled, looking for who to trouble. A person who is always looking for people’s trouble everywhere is internally troubled. The dream of a sadist is for everybody to be miserable in life. A negative person is always looking for who to fight, they always find fault in everything you do and then make you feel like you’re the bad person. A sadist always look for a place to transfer or dump his/her frustration. Never allow anyone to make you feel guilty for their own misfortunes. You may not have control over what people bring to you, but always be in control of what you take from them. Never allow anyone to take your happiness from you. Once they manage to frustrate you, they already have the power to control your emotions. Whoever controls your emotions, controls your sadness and joy. Your life is your right. Never give the control of your life to anyone in life. #akininspiration

My weight loss journey…….!

Hello my people! Sijasahau nilikuwa kwanza nafurahia the moment by myself kabla ya ku-share nanyi ๐Ÿ˜ Mwili umeanza kuitikia wito; 5 pounds down ๐Ÿ’ช๐Ÿ’ชย  Nariganje sasa! Utafikiri nineshusha 20 pounds ๐Ÿ™ˆ Haki vile najisikia raha sana acheni tu nifurahie hata kwa hizo pounds 5 zilizo toka kwani safari ya miles maelfu miamoja zote huwanzia na ziro, moja, kabla ya kufika huko juu! Kitu muhimu ni kuthubutu, na namshukuru Mungu kwa kunipa nguvu ya kuthubutu!ย 

Yani hapo nikifanikiwa kuliondoa hilo tumbo aaaaaah! Mbona itakuwa shida aaaaaahย ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†ย  Sasa siri yangu mpya, ili kuondoa hicho kitambi nimenunua ย hii ย โ˜”Simply fit board” ngoja niitumie wiki hii yote nione kama itanisaidia zaidi. Yenyewe nitakuwa natumia ndani muda wowote…….. Haya muwe na JumaPili njema!

“Ninagonjeka”

Leo ninamaumivu makali sana ya muscles za mgongo. Hasubuhi ya leo nilipokuwa nafanya mazoezi ya tumbo nafikiri nili pull muscles in a wrong way basi nimekuwa kama mtu niliyepigwa na electric shock jinsi maumivu yalivyokuwa makali! Nimetumia pain killers wapi! Basi jioni hii baada ya mwanangu kutoka kazini kanikuta kwenye maumivu makali mno siwezi hata kukaa wima ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญย akaenda ninunulia dawa ya kuchua na pain patches za kuweka. Yani wakati ananichua nilikuwa nalia kama mtoto lakini hata akuacha ndio alizidi kunichua ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆย  ย  kwakweli maumivu niliyonayo ni makali sana niombeeni ili niweze endelea na mazoezi kama kawaida ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Nikija pima uzito week hii niwe na jibu tofauti na lawiki iliyopita ๐Ÿ™‰๐Ÿ™‰ย  hilo belt navaa ili inisaidie hata kusimama ni backpain belt………….gosh! Where is my Muhaya ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ I need some intensive massage therapy on my back please you know you are my hiller and my “stabilizer” in times like this ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… njoo Muhaya wangu you know you are the only ‘brand’ am addicted to hata shemeji yangu Ruge anajua ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ Achana na hao wapika majungu na wafiti kwani hawatuwezi sisi “Taifa Kubwa” hata wifi yangu Saida Karoli anajua hilo kuwa hawatuwezi!! Mzee wa “Upako” kasema ย watashindana lakini hawata shinda ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… tunemetoka mbali sisi na tutaendelea kuwepo hata dunia ipite ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ Njoo Muhaya wangu twende zetu in that ‘supreme land’ where the magic tricks happenย ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ uwiwii!!! Kupendwa na mwanamke wa Kijaluo raha eeh Siunaona the stone rejected by builders has become the ย cornerstone ย ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ…….Niombeeni nipone haraka ย ๐Ÿ™

My weight loss journey…..!

Kama nilivyo waambia wiki iliyopita kuwa nitakuwa napima uzito wangu naku-share nanyi kila week. Basi leo nimepima na matokea ni kwamba bado sijaanza kupungua uzito. Labda kuanzia next week ndio nitaanza kuona matokeo. Bado nipo na weight ya LB225 ambazo ni karibia na Kg 92 hivi! Well the journey continues this is going to be my life style now. Guys, huwezi amini najisikia mwepesi, nguvu nyingi mno na very focus. Plus najisikia raha sana kwenda gym kila siku na mwanangu such a bonding moment as mwanangu kazi yake ipo very demanding hivyo muda huu wa gym ndio tuna spend sana pamoja. Sasa hivi katika list ya nyimbo zangu za mazoezi nimemuongeza #Darassa ย Pale mwanzon pale kabla mazoezi hayajakolea namsikiliza yeye then zoezi likikolea na baki na Harmonize #IYOLA……..ok tukutane tena wiki ijayo. LOVE and PEACE!

Kusoma post ya nyuma bonyeza ๐Ÿ‘‰ ย MyWeightLossJourney

 

 

 

“You can never be faster than destiny.”

You can never be faster than destiny:Until its GOD’S time, it can never be your turn. When GOD is ready, everything and everybody will be forced to be ready. They will have no option than to work in your favor. Your helpers will have no rest until they locate you. Protocols will be broken for you to be promoted, elevated and celebrated. You will be unstoppable. (Collected)
#Akininspirational

My weight loss journey has begun!

Well, well! My long overdue goal / journey sasa nimelivalia “njuga”! Jana tarehe 2, May, 2017 ndio nilianza rasmi. Nafikiri ni fair nikisema kuwa kilicho kuwa haswa kinanizuia kurudi katika uzito wangu wa miaka ya nyuma ni nilikuwa na a lot of personal issues going on ambazo zilikuwa zinaniongezea a lot of stress in my life! Yes, mie ukiniona naongezeka is more of stress issues na siyo vyakula kama baadhi ya watu wanavyo fikiria. But, I thank God now I’m in a very-very better place na naamini this time everything will be under control!!

ย Malengo yangu ni ya mwaka mzima; hivyo nafuata taratibu za kiafya za kupunguza uzito wa mwili. Situmii dawa wala supplementary diet medicine ya aina yoyote! Ni mazoezi na kuzingatia nini nakula na portion gani.ย Mimi napenda sana smoothie๐Ÿ˜ hivyo ili kuhakikisha napata virutubisho vyote vinavyo hitajika mwilini basi natengeneza smoothie za green (kama mixture ya mastafeli (sour sop), spinach / kale green, jinger kidogo, na organic unsweeten coconut milk au cashew nut milk) zingine ni kuongeza damu na calcium mwilini kama mixture ya beets roots, carrots, na a little bit of mandarins orange!……Btw, mimi napenda kutengeneza smoothie angalau za siku mbili hivi na huwa nakunywa na mwanangu. So msifikirie kuwa hilo jagi lote ni langu kwa siku moja ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… hapana! Plus bado nakula chakula mchana hizo ni morning starters na usiku tu!ย Well, kama nimeamua ku-share nanyi my weight loss journey basi sioni sababu ya kuwaficha my current weight! Kama mzani inavyo someka hapo juu kwa sasa nina pound 225 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kulingana na urefu ย na umri wangu natakiwa niwe na pound 140! Hivyo natakiwa kuondoa takribani pounds 80 ๐Ÿ™Š๐Ÿ™Š Je nitaweza? Naamini nitaweza! Nimejiwekea malengo ya mwaka mzima! Nitafanya juhudi zote nifikie malengo, but kama sito fika siyo mwisho wa maisha! Maisha yataendele kama kawaida! Kikubwa ni kuendelea na program yangu bila kuchoka! ย Nitakuwa napima uzito kila wiki na ku-share nanyi hapa kwa blog hii! Kama nikipungua wiki hiyo basi nitamshukuru Mungu! Nakama sijapungua basi napo namshukuru Mungu and the journey continues!………Naomba ieleweke siko hapa kushindana na mtu yoyote yule!! I do me and you do you end of story!! Nafanya mambo au vitu kwa style yangu mimi na uwezo wangu mimi! Ukiwa inspired basi ni ruhusa kuniiga but am not going to sit here telling you what you should do with your body or life! And I expect you to do the same to me! Fanya yako!

Harmonize! Harmonize! Thank you So Much For This song! Yani huu wimbo keeps me moving like crazy!! Ukinikuta kwenye treadmill navyo cheza mwe! Yani nasikia mafuta ya tumbo yanakatika ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… such a nice song kwa mazoezi!…….Myweight loss journey has begun ๐Ÿ’ช๐Ÿ’ชMengine namwachia Mungu ๐Ÿ™๐Ÿ™