Category Archives: Alpha being Alpha!

Nitarejea…….!

Hello wapendwa wasomaji wangu, natumaini wote hamjambo. Mie mzima wa afya hofu na mashaka ni nyie mlio mbali na upeo wa macho yangu 🙂 🙂 🙂 ……..wapendwa nime wamiss sana ila naomba mnivumilie tu simnajua nipo Bongoland na mambo ni mengi lakini soon tutarudi katika hali yetu ya kawaida na kwa nguvu mpya!…..Hata hivyo nawashukuru sana Halotel kwa  internet  ya uhakika! Nawasii wote tumieni mtandao wa Halotel kwa mawasiliano yenye viwango vya kimataifa!……..Nitarejea….!

Huwezi kumjua mtu kwa kuongea na wambea na wapika majungu!

fb_img_1481684952956Hakuna kitu naheshimu kama mtu kuniuliza kitu mimi mwenyewe haswa pale linapo nihusu! Sasa uwamuzi wa mtu kuamini ninacho kwambia hiyo ni juu yako mwenyewe! Pia uwamuzi wa wewe kutokubadilisha story hiyo ni juu yako mwenyewe!! Mimi nitakupa jibu lile ambalo unahitaji kujua!……..Naona kuna watu wanapenda kujua mtu kwa majungu then wakija kugundua kuwa walicho aminishwa siyo kweli wanashindwa ku-swallow their ego nakukubali kuwa walikosea!……Yani kama unaswali uliza siyo unaanza umbea au majungu! Kwa mfano, wewe leo hii utoke ukamuulize babydad (mfano tu 😎) juu  yangu mie unafikiri atakwambia nini?! Unless yupo 100% happy na maisha yake basi atasema ukweli lakini kama sivyo tegemea negativite tu!….. Mfano mwingine, wapika majungu wakazusha natafuta “Manager” na huyo Manager ndio atakuwa mume wangu 😅😅😅😅 what a JOKE! Unabaki unajiuliza nani nilimwambia hilo swala? Yani nikaona watu wanatafuta kila aina ya attention kwangu ili nimchague kuwa “Manager” wangu!! Jamani, ngoja niseme leo SIJAWAHI KUMWAMBIA MTU YOYOTE YULE DUNIANI KUWA NATAFUTA MANAGER!! Never!! Nakama ningekuwa nataka Manager basi ninao ndugu ambao wako very qualified wangeweza fanya kazi hiyo na siyo mume wala mpenzi wangu!!……Kamwe haito tokea kuwa mume wangu au mpenzi wangu kuwa Manager wangu katika mambo yangu hata siku moja! He will always be my number one Adviser and Consultant but never my Manager! Nami nitafanya the same to him!  I will do everything to make sure anafanikiwa kwa mambo apendayo but I will never step in his spotlight! Mume wangu atakuwa muwe wangu na rafiki yangu mkuu and nothing more! Tusipende kukariri mambo, just so and so has done that haimaanishi na mimi Alpha has to do that!! We will be business partners but only one person will be the front-runner! Tutakutana kwenye board meetings n.k but not in the same office everyday!! Nope! Learned it very well from my parents! Kwanza wanaonijua vizuri huwa sipendi kabisa mambo ya ku-copy na ku-paste!! Na ndio maaana kuna watu hawalali thinking what is Alpha up to?! Reason behind hawajawahi kuona mtu ana blog kwa style yangu na wamekuwa so threatened with me! Nami nacheka tu because it wasn’t meant to make sense to you, its my thing for God’s sake, relax!! And No, I don’t have to do things according to your schedule!! Get a life please!!……..Anyway, siku zote kuwa unique usipende kuiga iga! Napia jifunze kumuliza muhusika vitu vinavyo muhusu huyo mtu ili umjue from one-one experience! Hepuka umbea na majungu!!

When it comes down to it, the only knowledge that really matters is……..!

fb_img_1477414420906fb_img_1475550022100

Take ownership of whatever you do bad or good!

fb_img_1442267857804fb_img_1477778697518Learn to take ownership of whatever you do bad or good, own it!……. Every genius learned from his / her mistakes! Every Saint has a past and every sinner has a future!

Don’t fight the process!

screenshot_2016-10-25-12-06-55-1fb_img_1475439167019Let them fall! Let them go away! Let God control and lead the process and He will let you enjoy your journey and destiny!

Sending my greetings to all lazy men out there!

2016-10-22-23-12-14It’s EASY  to HATE and it’s DIFFICULT to LOVE! All good things are hard and difficult to achieve!!

Not everyone deserves a seat at the table of your life!

fb_img_1475244630612 fb_img_1472404812209Amen!……. #FBF #2007 #KalamazooMichigan

Don’t ever, ever, ever give up! #UsikateTamaa

img_20160921_075301Kaza kamba! Usikate tamaa kwasababu maisha yako ni duni kwani kuna sababu kwanini maisha yako ni duni ! Mungu peke yake ndiyo anajua sababu! Wewe anza safari ya kufikia ndoto zako hivyo hivyo mdogo mdogo  utafika tu na Mungu atakufunulia sababu ya kwanini ulipitia hayo maisha!……. Hata Rome haikujengwa kwa siku moja! Ilichorwa kwanza kabla ya kujengwa! Na naamini huo mchoro wa ramani yake kuna mahali walikosea wakafuta na kuanza upya!! #Usikate Tamaa

Never be ashamed of what you’ve been through!

img_20160919_170016screenshot_2016-09-19-16-54-55-1-1

Follow the trail of your dreams!

img_20160916_124121

My attitude today: Let no body treat you like an emergency survival kit!

2016-07-01 14.44.41

My attitude today: Taking ownership of my life!

2016-07-01 14.50.48

My attitude today: This is my life. My only, one-time chance to be me!

IMG_20160630_074954I’m lucky enough to be different, I don’t have any desire for change! There are lots of individuals that I admire and respect, but no one second had wished to be them! I’M THE ROLE MODEL OF MY OWN LIFE!

My attitude today: Fool me once; shame on you! Fool me twice; shame on me!

2016-06-27 18.01.27

My attitude today: Respect is Eternal, Attention is Temporary!

2016-06-27 09.15.37

My attitude today: You know the truth by the way it feels!

2016-06-24 09.28.14

My attitude today: Be honest to yourself!

2016-06-23 00.02.58

My attitude today: I’m a limited edition, no one can ever replace me!

2016-06-20 12.56.31

My attitude today: Define your own beauty!

2016-06-16 09.39.32

My attitude today: all women be like

2016-06-05 20.16.46