Category Archives: Beauty and fashion

The C.E.O herself! #Molocaho

Nani Kama Jacqueline!! The C.E.O of Molocaho furniture katika ubora wake!ย  Nampendaje sasa!! Mzuri wa sura, shepu, mpaka roho! Kuna wanawake wengine japo ni wazuri wanavutia lakini usiombe ukae nao karibu utajuta!! Wana roho mbaya mfano hakuna, hawapendi kuona wengine wanafuraha kwani maisha yao ni vilio kila siku!! Halafu maendelo ya wengine ni chungu kwao kumeza kama mwarobaini!! ……Ubarikiwe sana Mrs Billionaire ๐Ÿ˜˜๐Ÿ’žย 

Mr and Mrs Kimesera katika ubora wao!

Awiiiihh! Wamenoga eeh!! Wow! Super cute, couple yangu ya ukweli hii! Yani wanavutia na kuwapa moyo wengine kuwa True Love still exists ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Kama wewe ni mgeni basi naomba ujua kuwa hi couple ndio ilikwa my 2016 Hottest And Best Couple Of The Year (SomaHapa). Nawapenda sana ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜………Baadaye kuna post inakuja ya kuipongeza LB kwa award waliyo pata. Sasa hivi nipo busy kidogo hivyo naishia hapa!

Winny Edwin Kihore: Living in love

ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  LIVING IN LOVE
 I once heard about a husband and wife who were so upset after a big argument that they refused to speak to each other. That night, not wanting to be first to break the awkward silence, the man left a note on his wife's side of the bed that read, "wake me up at 6 o'clock in the morning ". Theย next morning, by the time the husband woke up, it was already 8 o'clock. Furious, he roared, "where is she?" and was about to chew out his wife when he found a note on his side of the bed : "lt's six o'clock; wake up."ย If we're going to live in love, we have to learn to forgive one another. The Bible says, "Do not let the sun go down on your anger, but instead, forgive. And above all things, put on love. " EPHESIANS 3:17- That we would be "rooted and established in love so that we would have power together with all the saints " when we choose to walk in love, we have the power of God in our lives, as well as healthier relationships. We should always look for the best in each other. That's one of the things l love my husband Edwin Kihore. I used to think that he didn't see the things that l did wrong. Then l realized: it's not that he doesn't see them ; he choose not to focus on them. Let 's learn to walk in love and see the best in everyone. A house divided will fall. That's why it's so important to keep peace in your home. Be the first to apologize. Be quick to forgive. You need to remind yourself that God has put that person in your life, and He's got good things in store. If you will do your part by being kind, respecting one another, treating each other the way you want to be treated, God will do his part, and you can live in love!

Okay!! Major General, what is real going on?!

First of all, I love your conservative-modesty look! Umependeza sana but nywele not feeling it lol!……… Secondly, what is really going on Major General!?! So many rumors are going on, from “it might be over” to ” DNA has proven the baby boy is not his”!! As your fans we really deserve to know the truth, only from your mouth! And some of us don’t do “snapchat” thus better be an interview or. Live Instagram video ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Please, we need to hear from you!

Jacqueline Mengi: Apendwae akajua haachi kujishauwa!

If the only prayer you said in your whole life was “thank you” that would suffice. Meister Eckhart

Nimekwenda kwenye Instagram page ya Jacqueline Mengi nikakuta ame post msemo huu “Apendwae akajua haachi kujishaua”!………… Kwakweli hata mimi nakubaliana na huo msemo! Raha sana kupendwa na mtu anayekupenda kwa right reasons and in a right way!! Kuna watu wanaweza kukupenda in a wrong way kama Bobby ย Brown na Whitney Houston! Bobby Brown alikiri kuwa alimpenda Whitney Houston but he didn’t love her in a right way!! Sikiliza sehemu ya hiyo interview hapa ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Hapo ni vile mtu anakupenda lakini anashindwa kukukataza au kukuzuia kwenda kwenye njia mbaya badala yake na yeye ana support njia zako mbovu in the name of “LOVE” halafau wote mnaangamia. Sasa kwa hawa aliye salimika ni Bobby peke yake Whitney na binti ya ke BobbiChristina wakafariki kwa drugs….. Mtu anyekupenda katika njia sahihi na kwa sababu zilizo sahii siku zote ata wish to see the best of you! Mtu huyo atapigana mchana na usiku kuwakikisha hauingii gizani na kupotea. ………Hivyo ukimpata mtu wa namna hiyo huna budi kushukuru Mungu na kama binadamu basi kujishaua lazima!…….. Wewe jishaue tu Mrs Billionaire, acha wenye wivu wajinyonge tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kama hawana kamba tutawanunulia waseme tu ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ

“good things come to those who hustle” ~~~~~ Major General

ย “Last thursday of the month, not sure what motivation is needed but I know i gotta put the past behind me and focus on the future…. good things come to those who hustle #WorkMode”~~~~Zari. a.k.aย  Major General

Mmesikia? “Mke mzuri halindwi”!!

Wahenga waliyaona na kushuhudia kuwa ni ukweli haiwezekani, ndio maana wakatoa “angalizo” au muongozo ili vijana wanaokuja wajifunze bila kufanya makosa!……….Sasa Wahenga walitoa angalizo kuwa “mke mzuri halindwi”!! Mke nzuri anahitaji MATUNZO NA HESHIMA basi wala huangaiki naye anatulia ndani ya nyumba anapendeza kama waridi!! Sasa wewe unadai unamke mzuri halafu amani rohoni hauna umekuwa FBI wa penzi lako mwenyewe? Inahusu!?! Mke nzuri muwekee mazingira mazuri ya kuishi kama haya ya Jacqueline, kiyoyozi masaa 24, maji safi ya kunywa na kuoga unafikiri atatoka? Aende wapi?! Sasa wewe mke mzuri halafu unampangia chumba uwanja wa fisi karibu na “corner bar” utafikiri alikwambia yeye Bar Maid ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ halafu wewe ndio mkali mtu asipite karibu yenu ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆย ย Jamani mke anahitaji matunzo nyie wanaume! Mke anahitaji heshima, sio kumchanganyia wanawake kila asubuhi!! Yani hata heshima kwa wanawake wenzake hapati kwasababu ya mumewe!! Embu muige mfano hapa!! Hata kama hauna hela ya kumjengea nyumba kama hii jaribu kumuonyesha thamani yake kwa kumuwekea mazingira fulani mazuri! Kha!……( tuache matani Jacqueline mzuri eeh)ย ย That Foyer is one to die for kwakweli! Your house is beautiful! Safi sana!——–‘ Btw! Jacqueline, kwanini usinunue Miss Tanzania? Naamini wewe unaweza ukayapeleka na kuyapa hadhi yanayostahili kwani uwezo wa kupata sponsors wa uwakika unao! Embu tafakari Miss wetu! Ongea na Dr. Mwakyembe na Lundenga uyachukue mpendwa! ๐Ÿ˜˜๐Ÿ™

The Queen herself!…….. Ujumaa njema/ weekend njema wapendwa!

@aminadesign @laviemakeup…. Was great working with you, awaiting this project

Nawatakieni Ijumaa njema na weekend mjema. Embu tufunge wiki na hizi picha za Queen, the one and only one BossLady! Pendeza sana โคโค…………Sorround yourself with love, wenye roho za kwanini kaeni nao mbali lakini msiwasahau kuwaombea!ย  Continue reading The Queen herself!…….. Ujumaa njema/ weekend njema wapendwa!

Martin Tiho ashirikiana na Jokate kuanzisha “Sauti Ya Watu Wenye Ulemavu”!

Mr. Martin Tiho na Jokate Mwegelo

“Nikiwa na rafiki yangu Martin Tiho niliyekutana nae kwa mara ya kwanza miezi miwili nilipofanya ziara katika ofisi za New Habari Sinza jijini Dar es Salaam, alikuwa anasambaza CD za filamu aliyoigiza na kutengeneza mwenyewe. Tukabadilishana mawasiliano baada ya kununua CD yake na kuahidi kushirikiana nae. Ameanzisha kampeni yake ya “Sauti Ya Watu Wenye Ulemavu.” Na hivi karibuni tutawaletea tshirt kama njia moja wapo ya wewe kuchangia katika project yake. Nilimwalika aje tupige picha za pamoja. Picha hizi zitakuwa kwenye tshirt zake. Karibuni. Usengwile.” Jokate Mwegelo

Yessss! Jojo is back!

Proudly made in Bongo Land @mac_couture ๐Ÿ’™โค๏ธ. I love the clarity of this pic shot by the kid @m.a.k.u.n.g.u and of course the flawless hair and make up by Dada Deee @americannailstz
Miss Jojo. Dress By @mac_couture Image Shot By @m.a.k.u.n.g.u ๐Ÿ’™โค๏ธ๐Ÿ’–๐Ÿ’›
I missed y’all walahy. So I’m happy I’m kinda back, ๐Ÿคธ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ. That billion ๐Ÿ’ฐ smile shot by the baddest @m.a.k.u.n.g.u
Huwa napenda ku-support vipaji vipya kwenye tasnia hii ya ubunifu wa mitindo Tanzania. Leo nawaletea huyu @mac_couture nguo anashona mwenyewe. Beautifully and wonderfully made in Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ’™๐Ÿคธ๐Ÿฝโ€โ™‚๏ธ

I’m super happy my beautiful, smart, elegant, kind, loving, and “environmental friendly” babysister is back just like the way I wished!! ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ Yes! Such an environmental friendly lady; wanawake wengine ni hatari kwa mazingira yetu tunayo ishi!! Maongezi yao yamejaa chuki na uchochezi tuuu! Kazi yao is to pollute hali ya hewa ili kila mtu awe miserable kama wao! Wanawake kama Jojo ni wanawake adimu sana siku hizi! Woman with class!…….so happy! Welcome back baby girl you look AMAZING! Gorgeous is understatement kwakweli……….. We love you Jojo!๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜ ๐Ÿ™๐Ÿ™

 

Vazi la Michelle Obama laleta tafran’ kwa Facebook!

Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Marekani kabla ya Donald Trump, Malia Obama asubuhi ya leo alipost picha ya mama yake akiwa vacation kwenye visiwa fulani huku akiwa amevalia vazi la ufukweni. Mama Obama alionekana kama alikuwa anapanda kwenye boat ambapo upepo ulipuliza na kuacha sehemu kubwa ya mapaja yake wazi. Kuna watu ambao hawakupendezwa na hiyo picha kuonyeshwa kwenye public, kuna wengine hawakupendezwa kwa jinsi alivyo vaa mbele ya macho ya watu wengi wameona kama hastahili kuvaa hivyo kwani ni mtu ambaye anaheshimika sana na alikuwa First Lady wa Marekani. Mmmh! Embu wee tizama picha halafu useme jinsi uonavyo; mimi sijaona ubaya wa hiyo picha kwani vazi lilikuwa sahihi na alipokuwa.ย Nilisha sema huko nyuma (SomaHapa) picha kama hiyo kuwekwa kwa public ni maamuzi binafsi na ujasiri wake. …… Maoni ya watu yapo kwa lugha ya English kama uwelewi basi tafuta mtu akutafsirie!

Baadhi ya maoni:ย 

Hii picha imenikosha moyo wangu!

Kwamnao nijua lazima mtajua jinsi gani huwa naishukuru hii familia. Yani nimekuwa nikitumia picha zao sana mpaka mwenyewe nikaona aibu ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ Ndio maana siku hizi nawaweka mara moja moja ili niwape brake kidogo lakini hii picha imenikuna sanaaaa ikabidi niwaweke tu! What a lovely family! Symbol of UNITE as a family! Yani wanasonga mbele wote hawaachani juma. Sijui mama tu ndio awe "super star" hapana! Wanavutana mmoja baada ya mwingine kila mtu kwa karama yake! And please, let us give Mali a credit! Jamani wanaume wangapi wa Kitanzania ambao wangeweza kuzungukwa na team kama hii with their full energy na kumudu?! Kwakweli anastahili pongezi sana! He is one of the very few best father! Mungu azidi mbariki. Na hii familia izidi barikiwa zaidi ya hapa. โค it! Mfano mzuri sana huu wa what should family be! "The Grand Opening of Linda Bezuidenhout Couture Boutique at Phipps Plaza. The navy blue dresses are LB Couture, the Cream dress dressed by Linda's 3rd born Maryam and the Red dressed, dressed by the last born Marlinda are designed by Maryam. Linda's third born has been designing from a very early age she started with doll clothes @fashionadoz." ~~~~ Ms LB

Mother and daughter moment!

Nimependa sana hii picha ya Mwamvita Makamba na mama yake! Wamependeza sana. Ilikuwa ni sherehe ya mdogo wake Mwamvita ina itwa “bag” party mie ndo nimeona leo mwe kama kawaida yangu kama kitu nilikuwa sijui basi nawaeleza tu ukweli! Watu walipendeza sana. Nimeipenda!

The shade of Blue by Wema Sepetu!

What a beauty! Wema mdogo wangu wewe ni mrembo mno! Mungu took some extra time just for you! Naamini mama Sepetu kila mara akuonapo ย machoni pake lazima atakuwa anasema " Alhamdulillah" na tabasamu laini moyoni ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ You are so beautiful my dear and Yes! BLUE is your color! Inakupendeza sana na kukupa nuru nzuri mno! I just love it on you! "Rolls-Royce or Bentley don't have to run commercials because they know the values of their product & ย that value brings customers to them. When you know your value you don't have to beg for anybody to spend time with you or even love you. ย Everybody can't AFFORD or even HANDLE ย luxury.......or ย your trials ..........The diamond cannot be polished without friction, nor the man perfected without trials" >>>>>>>>>> Bishop Larry Boyd Stay strong our sweetheart. God will surely grant you all the good things that your heart desires! ๐Ÿ™ย  ๐Ÿ’–

“Mungu ni mwema”-Mrs Mengi!

Yes my dear, Mungu ni mwema wakati wote! Wakati wote Mungu ni mwema! Enjoy your life Mrs Mengi, and say hello to my Billionaire friend ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ We love you mama na baba wawili ๐Ÿ˜ " when you have something good you don't play with it. You don't take chances with it. You don't take risk with it. When you have something good you give every single thing you can because when you take care of something good that something good takes care of you" ใ€‹ใ€‹ใ€‹ใ€‹Michael Baisden

Baba na mama Cookie katika ubora wao!

Mwawaona eeh! Baba na mama yake Cookie, Mr and Mrs Mose Iyobo wa ukweli wametokelezea kweli kweli! Hii couple ni ya ukweli ni nzuri sana, mfano mzuri wa kuigwa kwa vijana wa taifa hili la leo!......Mbarikiwe sana!ย ๐Ÿ’–๐Ÿ’–