Category Archives: Family first

Watoto wa mwenye haki! Zaburi 37:25-26

Zaburi 37: 25-26 :-

“25 Nilikuwa kijana na sasa ni mzee;

kamwe sijaona mwadilifu ameachwa na Mungu,

au watoto wake wakiombaomba chakula.

26 Daima huwapa wengine kwa furaha na kukopesha,

na watoto wake ni baraka.”


Psalms 37: 25 -26 :-

“25  I have been young, and now am old,

yet I have not seen the righteous forsaken

or his children begging for bread.

26  He is ever lending generously,

and his children become a blessing.”

Daughter on duty ……!

As you all know, I’m  a daughter, sister, mother, aunty, friend, mbeba mabox 🤣🤣 (I love saying mbeba mabox 🙈) God servant n.k For that at this moment I am a daughter on duty 😍😍 taking care of my family! Familia kwanza mambo mengine baadaye.  Mama yangu na mdogo wangu wamekuja kututembelea, sitakuwa na muda wa kusaka vitu vya kuwaletea kwa sasa zaidi ya kupost our moments together. …..But msisahau kesho nawaletea ile couple yetu ya nguvu 😍😍

Family moment: Lyimo’s, Rweikiza’s, and Adhero’s

Familia tatu kwa pamoja wakifurahia siku kuu! Aliye kati kati ndio kiungo kikuu cha hizi familia tatu! Huyo ni shemeji mkubwa kutoka familia  ya Lyimo. Na kulia ni Dennis Rweikiza ambaye amemuoa dada wa Jackson Lyimo. Mnakumbuka niliwapaga story yangu na Dennis  Rweikiza? Soma 👉👉 (MrAndMrsRweikiza). Na upande wa kushoto ni John Adhero ambaye pia amemuoa mdogo wake Jackson Lyimo. Na hao ni watoto wao!

Hata kama utakuwa na marafiki milioni moja lakini familia bado ni muhimu zaidi ya vyote!  Everyone needs a family! Marafiki wanakuja na kuondoka lakini family will always be there! Udugu haufutiki hata kwa bleach isipokuwa KIFO! Blood is thicker than water! Hata kama mtakuwa na mahusiano mabaya but that "bloodely thing" will always find a way kuwaweka pamoja! 

Marafiki ambao watakuwepo na wewe siku zote, wakati wa raha na shida, wakati unapitia misuko suko ya maisha na kila mtu anakuona haufai mbele ya macho yao, wakati wengine wanakukimbia lakini hao wachache au mmoja atakaa na kusimama na wewe mpaka mwisho basi naomba ujue huyo SI RAFIKI BALI NI NDUGU YAKO! Tofauti ya rafiki mwema na ndugu ni kwamba ndugu anaweza asiwe nawe wakati wote lakini ndio hivyo huwezi kumkana!! Ile damu iliyowaunganisha ndio itasimama siku zote! Lakini rafiki mwema lazima aonyeshe kuwa yeye ni rafiki mwema ili muwe na kitu kilicho waunganisha!! Ndugu yako anaweza asiwe rafiki yako lakini bado atabaki kuwa ndugu yako! Ili udugu ukolee na upendeze zaidi lazima kuwe na urafiki kama mnavyoona hizi familia tatu! Wameweza kuacha kazi zao na kukaa pamoja wakati huu wa siku kuu! Kama wangekuwa hawana urafiki hata kama ni ndugu usingeona haya yakitokea! Upendo hupo ndani yao, na Mungu ni pendo! Familia zilizo jaliwa kumjua na kumwamini Mungu utaziona tu! Kwenye Mungu kuna upendo, kwenye Mungu siku zote ni furaha na amani tele hata sura zao zitaonyesha zinakuwa na mvuto wa "Kimungu Mungu" tu 😍😍......Pichani ni Jackson Lyimo na wadogo zake. Anita Lyimo Rweikiza upande wa kulia na Linda Lyimo Adhero upande kushoto What a family reunion!! Mtu kati hapo ndio wifi mkubwa mke wa Jackson Lyimo pamoja na wadogo zake Lyimo! ....wazurije sasa 😍😍👌👌 .....Jamani nawatakieni kheri na baraka zote za kufunga mwaka 2017 ziambatane nanyi pia mwaka 2018! Mzidi kubarikiwa zaidi ya hapo na upendo wenu udumu siku zote!

Merry Christmas from Lyimo and Adhero families!

Family over everything! Familia ya Lyimo kutoka  Ohio state (upande wa kulia) wakiwa ndani ya Kansas State ambapo wamekwenda kufurahi pamoja na ndugu zao wakati huu wa Christmas! Kushoto ni familia ya John Adhero na wanawe. Mke wa John ni dada mdogo (tumbo moja) wa Jackson Lyimo. Hivyo hapo ni ugeni mzito haswa kwani shemeji mkubwa na mkewe wako ndani ya mji wa Adhero 👌👌 ........Btw, John Adhero is my cousin 🤣🤣  mtaalamu wa kujipendekeza simnanijua? Sasa nisipo jipendekeza kwa ndugu zangu nitajipendekeza kwa nani tena?!! 🙈🙈 honestly, he's my cousin, baba yake ni kaka wa ukoo na mama yangu mzazi 😍😍  So beautiful! Merry Christmas to you the Adheros and Lyimos family!

Merry Christmas from my cousin Gloria and her family!

Wamenoga eeh! So beautiful, they look so much blessed 😍😍 Merry Christmas from Gloria and her family Ndugu zangu wazurijee sasa 😍😍 Asante Mungu wazuri wasura mpaka roho 🙏❤

Happy Holidays from Mwajuma and her family!

Awwih! Mahaba haya si muchezo ati 😍 Mwajuma na mapigo ya moyo wake 🤣 bwana mie jina la shemeji silijui 🙈 Ila Mwajuma ni dada yangu, tumekuwa wote mtaa mmoja, nyumba zetu zinapakana ukuta hadi leo hii ninapo ongea. Yani nivile tu tumekuwa na maisha yakatupeleka sehemu tofauti. Yeye anaishi UK na familia yake nami niko U.S.A. Tumeishi sisi kama ndugu na majirani zetu hadi raha. Watoto wa KekoJuu siye wazazi wetu walikuwa waungwana sanaaa! Ndio maana mpaka leo sisi tunapendana.....Happy holidays Mwajuma and your family 😘❤  

Merry Christmas from the Nyalandu!

@Regranned from @farajanyalandu – Merry Christmas to you and yours! #LetLoveLead

Merry Christmas from Open_Kitchen2014 and family!

Merry Christmas from Open_Kitchen2014 and her family!

Merry Christmas from Mashimis’ family!

Season to reconnect, recharge, and celebrate with family and friends! Here is the Mashimis’ family from Atlanta, Georgia. Merry Christmas to you!

It’s all about family moments: merry Christmas from Mbwanas’ family

  @Regranned from @meckmbwana - Wishing you Merry Christmas from our home to yours. May you be blessed with love, joy and peace. 🎄🎉

Its all about family moments: Merry Christmas from Mndalilas’ family!

Stephen Mndalila and his beloved wife and son all the way from Indiana. ……Merry Christmas to you! 

 

Merry Christmas from mama Mbuna and family!

"Merry Christmas from Mama EvalyneMbuna's home to yours. For the first time Christmas without Sam Mbuna , Eriq Mbuna and 9th Christmas without Dad! No matter what we still give Glory, Honour, Praise and Thanks to God Almighty for taking us thus far! We are more than conquerors through Christ who Strengthens us. Once again Merry Christmas"   

Muwe na weekend njema!

Nawatakieni weekend njema. Sorround yourself with true love!…. Nimependa hii picha ya Chibu’s family na video yao ndio maana nime share nanyi!

The Mengi’s!

The Mengi’s sss baby! The Billionaire himself with his little billionaires and Mrs billionaire katika ubora wao just enjoying some quality time together as a family!! These people smell M-O-N-E-Y all over O’yes! I can smell them through the picture all the way to U.S.A even their skin can testify  😍😍  Pendeza sana wapendwa. Mbarikiwe Halafu hapo utakuta mume mwingine anakwambia yupo busy na business hata muda na familia hana. Nyie wanaume wa Kibongo embu mchukue somo hapo kutoka kwa Dr Mengi. Humbleness never got out of fashion people!! Be humble!! Be kind!! Be loving!!