Category Archives: Giving back to the community

AMETIMIZA MOJA YA NDOTO ZAKE!

Mercy akiwa na Dr Kapesa

Siku ya leo tarehe 08/16/2021 majira ya mchana masaa ya Africa Mashariki, mwanangu katimiza moja ya shahuku yake kubwa au nawezasema moja ya ndoto yake!

Amekutana na mmoja wa madaktari walio nihudumia na kuhakikisha anaingia katika dunia hii akiwa salama! 😍😍 Marehemu Dr Amood alikuwa ndio my primary Dr lakini alinikabidhi kwa Dr. Kapesa na Dr Kaisi kama mbadala wake pindi yeye anapokuwa na majukumu mengine. Siku ya kujifungua Dr Kaisi ndio aliyekuwepo zamu, Dr Amood aliitwa na alipofika Mercy alikuwa teyari kazaliwa! 😍😍

Mungu azidi wabariki wote Dr Kapesa na Dr Kaisi! Bahatimbaya Dr Kaisi alipatwa na stroke (kiharusi) hivyo kwasasa amepumzika kufanya kazi za utabibu aliyosomea.

BTW, nilikuwa natibiwa Tanzania Maternity Service ambapo madaktari hawa wote walikuwa business partners!

Jacqueline Mengi: The day @drntuyabaliwe_foundation will be able to put up libraries in all regions and hopefully all districts of Tanzania will be the peak of my happiness

Regrann from @j_n_mengi - There’s so much joy in seeing a dream become a reality,and how that dream can change other peoples lives.I can’t even put in words how lucky and blessed I feel to be able to fulfill my dream of encouraging and enabling kids to develop the habit of reading. The day @drntuyabaliwe_foundation will be able to put up libraries in all regions and hopefully all districts of Tanzania will be the peak of my happiness. - #regrann 

Make someone smile today!

A poorest street beggar who had no teeth in her mouth, showing a smile of life time, soon after coming from a dental theatre, where she got all her 32 artificial teeth done, under sponsorship of a good Samaritan (name will not be mentioned). Happened earlier today in Dar es salaam, Tanzania….. The simple things that make a difference! Be kind today! Make someone smile today!

#God is good!

#MakeSomeoneSmileToday

#GivingBackToTheCommunity

#Picture taken at Utegi Tech office

Hongera sana Dr Ntuyabaliwe Foundation

Hongera sana Dr. Ntuyabaliwe Foundation kwa kazi nzuri sana ya kujali elimu kwa watoto wanaosoma katika mazingira duni. Hakuna kitu ambacho cha furaha ambacho hata Mungu anafurahia kama mtu anayetoa sehemu ya jasho lake na kuwapa watu ambao hawawezi kumlipa na bila kuhitaji fadhila yoyote ile toka kwao. Mrs Mengi SIYO mkazi wa  wilaya ya Temeke, wala SIYO mwanasiasa kusema labda ipo siku ataomba kura. Na wala haitakaa hata siku moja watoto wake wasome katika wilaya ya Temeke! Hello!! Can we talk? Am keeping it real! Hata kama wakifirisika leo sana sana wataishia kusoma labda South Africa au India 😃😃 No shade people! Kwa mfano my feature babies nani alikwambia watasoma Bongoland?! Subutuuu! Watasoma hapa hapa kwa Trump Bongoland wataenda kutembea tu 😍😍 anyway back to our story…. Ninachotaka kusema ni kwamba Jacqueline kwa kupitia mfuko wa Dr. Ntuyabaliwe Foundation hawakuwa na ulazima wa kukanyaga wilaya ya Temeke, hivyo kwa wao kuifikiria wilaya hiyo ambayo hawana faida nayo yoyote inaonyesha jinsi gani wanaguswa na maisha ya Mtanzania wa hali ya chini bila kujali wanatoka sehemu gani!! Kwamaana hiyo, watu wa Wilaya ya Temeke ambao mpo jirani na shule ya Muungano ikifika siku ya Ijumaa mjitokeze kwa wingi kuwashukuru na kuwaomba waendelee kuikumbuka wilaya hiyo! Wapi Juma Nature na wanaume TMK?! 😍 Please show some love to Dr. Ntuyabaliwe Foundation on Friday! “Today in celebrating Universal Children’s Day I had the pleasure of visiting Muungano Primary School as the chairman of @drntuyabaliwe_foundation and got a chance to talk with the children there. I was happy to see how confident and smart these kids were and can’t wait for Friday when we will launch a new library and donate books to them.” Jacqueline N. Mengi