Category Archives: Ijumaa greetings

Muwe na weekend njema!

Nawatakieni weekend njema. Sorround yourself with true love!…. Nimependa hii picha ya Chibu’s family na video yao ndio maana nime share nanyi!

Ijumaa Kareem!

Nawatakieni Ramadan njema, Ijumaa njema kwa Waislamu wote! Na pia nawatakieni maandalizi mema ya Sabato na Sabato njema kwa Wasabato wenzangu popote pale ulimwenguni! Na kwa wengine muwe na JumaPili njema! Sorround yourself with LOVE ?❤

Ijumaa Kareem na Ramadhani njema!

FBF, Kalamazoo, Michigan, 2013 in the comfort zone of my bathroom 🙂

Muwe na weekend njema kwenu wote! Ijumaa Kareem, Sabato njema, na JumaPili njema! ?

Ramadhani Kareem!

Nawatakieni Ramadan njema / Ijumaa takatifu kwa Waislamu wote! Na pia nawatakieni maandalizi mema ya Sabato na Sabato njema kwa Wasabato wenzangu popote pale ulimwenguni! Na kwa wengine muwe na JumaPili / weekend njema! Sorround yourself with LOVE! ? ❤ ❤

Muwe na weekend njema!

fb_img_1475072956542

Muwe na weekend njema!

fb_img_1475072956542

Muwe na weeked njema!

fb_img_1475072956542With one ❤❤❤❤??

“Kumbuka kupanda mti mapema kabla ya Sabato kuingia”-Mama Igogo

screenshot_2016-09-30-09-06-38-1fb_img_1472436063790Kwa Wasabato wenzangu mlioko Tanzania, mnajua kesho ni October1st siku ya kupanda miti Tanzania nzima. Kwabahati mbaya siku hiyo itakuwa siku ya Sabato na wengi wenu mtakua kanisani au nyumbani mkiitunza Sabato. Hivyo mtumishi mwenzenu mama Igogo anawakumbusha kupanda mti wako kabla ya Sabato kuingia ili utekeleze majukumu yako kwa nchi yako kama raiya wa hii dunia na wa taifa lako!…,,,,,,Kutii maagizo ya viongozi wako ni sehemu ya ukristo wako! Happy Sabbath to all Seventh Day Adventist believers around the world! ??

Ramadhan Kareem!

FB_IMG_1467398207985Ramadhan kareem to all Muslims………..Happy Sabbath to my fellow believers…………Praise the Lord…….Sorround yourself with LOVE!

Ijumaa Mubarak

IMG-20160617-WA0018Ijumaa Mubarak! Mtukumbuke kwenye swala zenu. Napia Ramadhan Kareem! …….. Muwe na siku njema ya maandalizi ya Sabato kwa Wasabato wote ulimwenguni na pia nawatakieni Sabato njema…….Tumsifu Yesu Kristo! Love yourself enough to sorround only with goodness ❤❤❤