Category Archives: Jokate being Jokate #Kidoti

Jojo! Katika ubora wake!

Need I say more! My girl Jojo looking A-maz-ing as always! Unajua siku zote hakikisha you look intelligent than “sexy” utaheshimika sana! Looking sexy is okay but its just not right!   My Jojo looks beautiful, elegant, and intelligent 💗 it!

Hongera sanaaaaaa Jokate!

“Nafurahi kutajwa na jarida la Forbes na pia kupamba ukurasa wao wa juu kama mmoja kati ya vijana 30 Afrika wanaofanya vyema katika ujasiriamali na kutengeneza uchumi unaohamasisha mabadiliko chanya kwenye jamii zetu. Mungu yu Mwema. Tunaendelea kupambana mpaka kieleweke.” Hongera sana Jokate! Uzidi kwenda mbele na ubarikiwe sanaaaaaa zaidi ya hapo! 😍😍

Jojo and the Carters’!

Awwwih! Umesoma hiyo caption?! Isn’t that something! Nilisema last year around October or November kuwa Jokate is our “Princes Diana” she is going to be big kuliko unavyo fikiria and conquer the unconquerable! Keep on shining Jojo vijana wa Tanzania na Africa wanakutegemea sana. Show them the way!  We love you!Wow! Mungu ajalie kheri tu kwani tunawakaribisha kwa mikono miwili!