Category Archives: Keeping Up with Blessing

Keeping up with Blessing!

Future Bosslady doing what she knows best 😍 Mdogo wangu ni mtu mwenye akili sana ma ana vibaji vingi sana, na mbunifu. Jioni ya leo (masaa ya Tz) katoa maji kwenye chupa na kutengeneza viatu 😍 Mawazo ya mtoto yoyote yule yanajengwa na wazazi au jamii inayo mzunguka. Ukimuacha mtoto akawa anaishi na kuzungukwa na watu ambao mawazo yao ni hasi basi usitegemee mema kutoka kwa huyo mtoto kwani ubongo wake utakuwa umejazwa vitu ambavyo sio sahihi na itakuwa ngumu sana kumbadilisha mtu kama huyo. Β Wazazi ni vyema kuruhusu na kuwajengea mazingira huru watoto ili waweze kutoa mawazo yao katika njia mbali mbali inasaidia kujua talent zao mapema. Β Here she’s in Indian attire, beautifulΒ Okay, let keep keeping up with her 😍😍

“Wanasema eti Tanzania hatuna demokrasia lakini hawasemi wanatulinganisha na nani?”-Hoyce Temu

screenshot_2016-12-09-10-05-52-1screenshot_2016-12-09-10-01-55-1screenshot_2016-12-09-10-02-06-1πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ’ͺπŸ’ͺ

Keeping up with Blessing!

img-20161123-wa0002Someone is ready to wear dad’s jacket and assume all the responsibilities 😍  just remember me on that payroll list 😁😁img-20161123-wa0001 img-20161123-wa0000 Mwe! Some are just lucky siye wengine we set on the floor nyakati kama hizi πŸ™ˆπŸ™ˆΒ nashukuru sana kwa walimu wetu walio tufundisha kwa upendo na kujiona wa thamani sana Mwl. Jane, na Mwl. Masamu will always love you!img-20161104-wa0011Friends we make along the way are the soul of our precious journey called LIFE !

Keeping Up with Blessing!

img-20161019-wa0006fb_img_1475868161992

Keeping up with Blessing

img-20161017-wa0003Wacha wee! Hapana chezea Blessing! Watoto wa DotCom wanazaliwa na swag za picha 😍😍 pendeza sana

Haya mdogo wangu kazana hivyo hivyo mdogo mdogo utafika tu! Hata Mbuyu ulianza kama mchicha!