Category Archives: Kutoka Facebook

Repost: women over 40!

Nimeipata hii article kwenye Facebook nikaona siyo mbaya ku share nanyi hapa. Mtaniwia radhi kwa wale msioelewa lugha hii ……..Picha zangu hazihusiani na hii story lakini mwakani itakuwa 41 so get your life 🤣🤣  #TBT “Ladies and gentleman, this is a must read!!! THIS HAS BEEN WRITTEN BY A MAN……….This is for all you girls 40 years and over….. and for those who are turning 40, and for those who are scared of moving into their 40’s…AND for guys who are scared of girls over 40!!!!…. This was written by Andy Rooney from CBS 60 Minutes.  

Andy Rooney says: As I grow in age, I value women who are over 40 most of all. Here are just a few reasons why: A woman over 40 will never wake you in the middle of the night to ask, “What are you thinking?” She doesn’t care what you think. If a woman over 40 doesn’t want to watch the game, she doesn’t sit around whining about it. She does something she wants to do. And, it’s usually something more interesting.

A woman over 40 knows herself well enough to be assured in who she is, what she is, what she wants and from whom. Few women past the age of 40 don’t give a damn about what you might think about her or what she’s doing. Women over 40 are dignified. They seldom have a screaming match with you at the opera or in the middle of an expensive restaurant. Of course, if you deserve it, they won’t hesitate to shoot you, if they think they can get away with it. Older women are generous with praise, often undeserved. They know what it’s like to be unappreciated.

A woman over 40 has the self-assurance to introduce you to her women friends. A younger woman with a man will often ignore even her best friend because she doesn’t trust the guy with other women. Women over 40 couldn’t care less if you’re attracted to her friends because she knows her friends won’t betray her.

Women get psychic as they age. You never have to confess your sins to a woman over 40. They Always Know.  A woman over 40 looks good wearing bright red lipstick. This is not true of younger women. Once you get past a wrinkle or two, a woman over 40 is far sexier than her younger counterpart. Older women are forthright and honest. They’ll tell you right off if you are a Jerk if you are acting like one! You don’t ever have to wonder where you stand with her.

Yes, we praise women over 40 for a multitude of reasons. Unfortunately, it’s not reciprocal. For every stunning, smart, well-coiffed hot woman of 40+, there is a bald, paunchy relic in yellow pants making a fool of himself with some 22-year-old waitress. Ladies, I apologize. For all those men who say, “Why buy the cow when you can get the milk for free”. Here’s an update for you. Nowadays 80% of women are against marriage, why? Because women realize it’s not worth buying an entire Pig, just to get a little sausage!

Wametengeneza historia kwetu!

Kama maelezo ya picha zao yanavyo someka. Hawa wajukuu wa Chief Sarungi Igogo wametengeneza historia ndani ya ukoo wetu kwa mwaka huu! Mnamo tarehe 11 mwezi wa Kumi; Maria Sarungi-Tsehai alikuwa mmoja wa watu walioalikwa kutembelea WhiteHouse ya Marekani chini ya group lijulikanalo Kama Eisenhower Fellowship ambapo walipokelewa na mwenyeji wao Rais Baraka Obama ••••••• Vile vile wiki hii siku ya tarehe 28 Dec  Janeth Igogo-Nyagilo alibahatika kumtembelea na kuzungumza kidogo na bibi yake  Rais wa Marekani-Baraka Obama huko Kogelo, Kenya ambako bibi huyo anaishi. Janeth yupo huko Kagan, Kenya kwa mapumziko ya Christmas na familia yake. Mumewe Janeth ni mzaliwa wa kijiji cha Kagan, Kenya •••••• 🤝 Haya hongereni kwa kuweka historia hiyo kwenye ukoo wetu kwa kuwa watu wakwanza kufanya hivyo 🙌🏾🙌🏾

Christmas moment: The Kimesera!

Wow! Mama na binti zake Kama kawaida yao kupendeza na kucheka ipo ndani ya damu ❤️❤️Mr Mali na timu yake wakiwa wenye nyuso za furaha kabisa …. kwakweli hii familia ni familia babkubwa sana mie penda wao sana
Linda na binti zake pamoja  na rafiki yake hapo wapili kutoka kulia ❤️❤️❤️ Nawatakieni Mwaka Mpya mwema sana!

Picha zilizo zipenda

screenshot_2016-11-02-13-36-50-1Huyu dada nafikiri anaitwa Anneth 🙈🙈 sijui jina lake lakini napenda picha zake, ni mrembo pia. magreth-igogo-20161028_115818 Babysister, Magreth kapendeza sana bella-ayugi-20161028_115908Bella, napendaga sana uzuri wa ngozi yake 👌

Picha nilizo zipenda siku ya leo

screenshot_2016-10-27-18-03-22-1 Simfahamu but I love her pic! She is pretty!screenshot_2016-10-26-13-12-02-1Lemutuz na International super model Tausi Likokola……. Wamependeza sanascreenshot_2016-10-26-13-11-29-1Hoyce Temu akiwa kikazi Zanzibar………kapendeza sana

Picha nilizopenda siku ya leo

fb_img_1477240353145-1 Monica muke ya Masanja Mkandamizaji! Kapendeza sana na kipara chake……natural beauty on point👌👌fb_img_1477254539531-1 East West home is best! Mh. ShyRose Bhanji akichuma maembe huko Butiama alipokwenda kwenye sherehe za Nyerere Dayfb_img_1477254324665Huyu dada nimesahau jina lake la kwanza ila nakumbuka last name ni Mwaipaja! Nimeona picha yake huko Facebook nikapenda jinsi alivyo simple na kapendeza pia her skin texture is just amazing!fb_img_1477240421717Teddy Sakaya muke ya Engineer Evans Mashimi pendeza sana in a casual look!Naona mazoezi yanalipa sasa, hongera sana

Picha nilizopenda siku ya leo

fb_img_1476668909192 Eva (Bongoland) Kapendeza na rasta zakefb_img_1476668384485-1My sister inlaw Annie (Bongoland) Kapendeza na uzuri wake wa asilifb_img_1476668170556Ashura (U.S.A) Kapendeza sana…….

Picha iliyo nivutia zaidi

fb_img_1476637992851Nimependa sana hii picha ya Madaraka Nyerere na hawa watoto huko Butiama siku maadhimisho ya Nyerere Day! So cute!

:Picha shukran kwa Mh. ShyRose Bhanji

Picha nilizopenda siku ya leo

img-20161012-wa0001Janet Jackson with her first pregnancy at age 50!…… looking great!nyasungu-20161010_054044babysister Magreth looking great

Picha nilizopenda siku ya leo

screenshot_2016-10-02-16-19-47-1-1Mr and Mrs Paul Makonda! Wamenoga sana ❤❤fb_img_1475606827242Dr Mengi na #SALOME wake 😂😂😂 🙈🙈🙈 wamenoga sana ❤❤

Picha nilizopenda siku ya leo

fb_img_1475251271539-1Jokate Mwegelo #Kidoti. ……… Kapendeza sana screenshot_2016-09-30-10-57-09-1The Luo lady that’s making headlines in America and around the world! Lupita Nyongo…..looking confident and beautiful as usual! screenshot_2016-09-28-16-48-35-1Aunty Ezekiel and The Bosslady………..Walipendeza sana

Picha nilizopenda siku ya leo

screenshot_2016-09-28-16-46-48-1 The #Chibus katika ubora wao! Wamependeza sanafb_img_1474830700016 Ukishikwa sharti ushikamane 😂 Ben Nyitambe na waridi lake…….. Pendeza sanafb_img_1474830651151Mwajuma na mupenzi wake ……… Wamependeza sanascreenshot_2016-09-26-10-48-14-1Beautiful!

Picha nilizopenda siku ya leo

img_20160925_135710My sister Esther Kachare……….kapendeza sana ❤❤fb_img_1474806992131Dr. Nai Kisyombe siku ya engagement party yake. Alipendeza mno! ❤❤fb_img_1474835879987-1My babysister is cuter kuzidi wako lol! Beauty runs in our blood 🙈🙈 May Igogo looking great as usual ❤❤img_20160925_074431Mr and Mrs Chibu Simba Mnyama Dangote ……..hapo juzi kati walipokuwa kwenye birthday ya Zari huko Zanzibar ❤❤

Picha nilizopenda siku ya leo

fb_img_1474470178398 Jackline Ntuyabaliwe……..kapendeza sanafb_img_1474469799741 Veneranda Mwita……..my wifi umependeza sanafb_img_1474469715852Mwajuma and her friend………japo walikuwa kwenye tukio la msiba lakini nimependa walivyo vaa……poleni sana

Picha nilizopenda siku ya leo

screenshot_2016-09-19-11-18-40-1-1-1 Miss Winfrey akiwa na TD Jakes…………. Wamependeza sanascreenshot_2016-09-19-16-29-19-1 Huyu dada simfahamu lakini nimependa alivyo vaa……… Picha nimetoa kwa Wema Sepetuscreenshot_2016-09-19-16-23-37-1Zari muke ya Chibu,  mama yake na Queen Latifa kapendeza sana

Picha nilizopenda siku ya leo!

bella-ayugi-20160913_234259Nimependa hii picha ya Bella Ayugi-Twakyoondo nafikiri hii milima itakuwa alikuwa Tanga! Mtu kwao ati! Ukipenda boga sharti upende na ua lake! Beautiful! nyasungu-20160914_201123Magreth, kapendeza sana fb_img_1474047761803Hawa Gwao, kinyumbani zaidi! Kapendeza sana

Picha nilizopenda siku ya leo!

fb_img_1473861467144Urafiki unanoga sana kama ukipata rafiki muaminifu! ……….May Igogo (kushoto) pamoja na rafiki yake. Wamependeza sana fb_img_1473861412745Wadada wa nguvu! Hawa ni marafiki toka wakiwa secondary hadi leo hii ambapo kila mmoja anakwake lakini bado wameshibana! Nice!

Picha niliyoipenda siku ya leo!

fb_img_1473683493674Mtani wangu akiwa na niece wake……Kapendeza sana! Mbarikiwe wote

Picha nilizopenda siku ya leo

fb_img_1473625757997Joyce Kiria mama wa #Mwanamke piga kazi……… Kapendeza sana lakini mimi nimependa zaidi gauni lake ni zuri n limemkaa vizuri sana! img-20160911-wa0000-1-1Susan Igogo author wa kitabu cha “The flowers of true love”……….. Kapendeza sana

Picha nilizopenda siku ya leo

Screenshot_2016-09-09-08-04-34-1FB_IMG_1472436063790Msanja Mkandamizaji na mkewe wakiwa huko Dubai baada ya ibada. Nimeona Masanja amesema ibada zote ndani ya Dubai huwa zinafanywa siku ya Ijumaa! Sina huwakika na hilo kwani kuna Wasabato ambao wanaishi Dubai na wanaishi huko sijui kama na wao wana sali siku ya Ijumaa FB_IMG_1473427969984Mr and Mrs Stephen Mndalila kutoka U S.A…….. Wamependeza sana