Category Archives: Kutoka Facebook

Picha nilizopenda siku ya leo

Screenshot_2016-09-05-21-29-05-1Jide (Bongoland)……….. Katoka kikomandoo kama anavyo penda kujiita! Kapendeza sana Screenshot_2016-09-07-08-31-18-1Linda Bezuidenhount mama wa LB, kichuna cha Kizaramo katika ubora wake! (Atlanta, Georgia)……… Hapa kiwa busy huko New York kwenye photo shoot ya new clothing line yake na Karen King ijulikanayo kama ID’EAL…….! Kitu kingine kulicho nivutia ni huo ujumbe ?? FB_IMG_1473108715690Mwajuma (London)…………….. Kapendeza sana

Picha nilizopenda siku ya leo

FB_IMG_1473118148043 Oumar and Roug (U.K) Wamependeza sana mtu na dada yakeScreenshot_2016-09-02-15-34-28-1Queen Latifa mwana wa Chibu Dangote
Screenshot_2016-09-03-14-55-27-1Hawa watoto siwafahamu nimekutana na picha zao huko kwa IG…….how lovely do they look! Too cute!………..Mungu awabariki na kuwalinda watoto wote