Category Archives: Lifestyle!

Mother and daughter moment

Katika wazazi ambao nawahurumia pia na mu-admire sana ni mama yake Wema Sepetu! Ni mmoja wa wazazi ambao wanapitia changamoto nyingi sana katika maisha ya kila siku kutokana na maisha ambayo binti yake ameamua kuishi; hivyo kahilo namuhurumia sana! Lakini kama nilivyowai kusema huko nyuma (somahapa) kuwa ni mama ambaye ananifurahisha sana na jinsi anavyo simama bega kwa bega na binti yake, katika mabaya na mazuri! Kwa wazazi wa Kiafrika ni ngumu sana! Wachache mno wanaweza fanya afanyavyo mama Sepetu! Na kwasababu hiyo anakua mfano mzuri sana wa kuigwa! Mtoto wako ni mzigo wako mpaka kifo. Huwezi mkana au mkataa mtoto wako eti kwasababu tu haendani na maisha utakayo! Big up mama Wema!

 

Mother and son moment

Penny na kijana wake wakifurahia weekend. Wamependeza sana! Mwaju na first born wake. Wamependeza sana! The smile tells it all!

Je, upo tayari?! Couple yangu ya pili -2016

Are you ready!!! Hii ndio ilikuwa couple yangu ya pili kuichagua. Mpaka sasa sijajutia kuichagua. Yani couple zote bado zipo kwenye mahaba mazito sana!! Nawaombea Mungu ndoa zao zidumu milele na awatangulie katika kila jambo! Kama ulipitwa soma HottestAndBestCouple-2016 …….. Je, upo tayari kwa 2017?!! Stay tuned!

je, upo tayari?! Couple yangu ya kwanza -2015

Nilipo anza ku-blog ilikuwa ni mwezi wa Pili mwaka 2015. Na hii ndio ilikuwa couple yangu ya kwanza kabisa kuichagua kama Hottest and Best Couple of the yr kwa mwaka huo! Nikitu niliamua kufanya kila tarehe 14/2 ya mwaka (siku ya Valentine day) nitatangaza couple moja iliyonivutia ambayo pia naona kuwa ni mfano mzuri wa kuigwa katika jamii! Kama ulipitwa na tangazo hilo tazama hapa ? HottestAndBestCouple-2015

Je, upo tayari kwa mwaka huu?? Stay tuned!!

If you sign up for a “sex only” relationship in the beginning…..! Don’t ask him to wait if you can’t!

Ujumbe huu unajieleza wazi kabisa! Kama wewe nia yako ni kuwa na mume basi usitafute boyfriend kwani nia ya malengo yako hayata timia! Kama nia yako ni kuwa na mtu wa ku share naye mapenzi maisha yako yote basi usikubali tittle ya “my lover au mwanamke wangu” kwani hivyo ndivyo utakavyo ishia! Respect is earned not given!…………. Na usimwambie mwanaume ngoja mpaka tufunge ndoa wakati wewe si bikira! 😉 😉 ……….. Happy early Valentine to you all!

Womanhood!

TAIFA LA JANA, LEO NA KESHO…. na Peter Sarungi

Imeandikwa….

1. Baba bora ni yule anayelinda na kutetea familia yake, anaye tengeneza urithi mzuri kwa watoto, wajukuu hadi vitukuu na anaye hashimu familia yake.

2. Mke mwema ni yule anaye jenga familia yake bila kuharibu kwa mikono yake, anaye lea watoto katika maadili mema na anaye simama imara na mumewe katika hali ya hatari, dhiki, shida, raha, hofu, furaha, matatizo kama ya siasa, umasikini, chuki, wakati wa ujana na uzee, wakati wa afya na magonjwa.

3. Mtoto bora ni yule anaye heshimu wazazi wake na kujifunza maadili na maarifa kutoka kwa walio mtangulia. Ambaye anapenda kuwa kichwa na si mkia. 

Na Peter Sarungi (Next Speaker)

#MyTake.

Vijana ambao wamefika umri wa kujenga familia wachukue hatua kufanya hivyo, wasisubiri harusi na madoido ya kifahari maana kuna maisha ya ndoa baada ya kupata sifa za harusi.

??Fidel Pilato alikuwa akiangalia post zangu  za nyuma huku akijaribu kuuliza maswali katika lugha nisiyo tambua.???…Hao ndio watu wazima wadogo, Taifa la kesho. NIWATAKIE MWANZO MZURI WA WIKI………MUNGU BARIKI KAZI YA MIKONO/AKILI ZENU.

Wametugusa sana; watakumbukwa daima!

Rais Obama anaweza asiwe the best President in American history. Lakini ni ukweli usio pingika kuwa they were the best 1st family ever!!……..Wamegusa miyoyo yetu, wamebadilisha mitizamo ya familia nyingi kwa kuonyesha jinsi gani family should look like! Mr and Mrs Obama wameonyesha mfano bora wa jinsi gani couple  should respect and support each other for the goodness of the family and your country! Wamekuwa mfano mwema wa wazazi jinsi ya kulea humble children pamoja na kuwa na access to everything they wanted! Wamegusa nafsi za watu wengi sana na kuacha their own legacy kwenye hii dunia! Tutawakumbuka siku zote, Mungu azidi wabariki!

Foster Collection

Mwavionaje viwalo hivyo?!,Kwakweli vimekwenda shule sana! Mimi nimevipenda vyote japo naona hiyo ya yellow imevutia macho yangu zaidi!……Haya basi viangalie vizuri nawe uige kupendeza kama Foster. Halafu, siyo tu unashangaa picha hapana! Piga “chabo” kwenye mambo ya bustani ili ujifunze kitu, pia mambo ya upambaji na mpangilio wa nyumba. Pamoja na urembo wa mwili!…..soon nitawaambia ni wapi Foster huwa anakwenda kusafishwa na kufanyiwa massage ! Si unajua yale mambo ya SPA? Muhimu kwa mwili!

Womanhood!

Vita ya drugs inatakiwa kuanza na sisi wenyewe majumbani mwetu- Lemutuz

Katika kuitafuta furaha usimuumize mtu mwingine ili wewe uwe na furaha- Dina Marios

Katika kuitafuta furaha usimuumize mtu mwingine ili wewe uwe na furaha.Kila lililopangwa kuja kwako litakuja tu kama Mungu amelipanga kuja.  Huwa nayatazama maua yakiwa bustanini.Ni maua ya aina tofauti lakini hupokezana kuchanua.Hili litakaa miezi hata tisa bila kuchanua lakini siku likichanua linapendeza kweli kweli,lingine huwa limechanua mara zote,lingine huitaji jua kali ili lichanue na kupendeza.Ndivyo hata sisi tulivyo hatufanani na kila mmoja ana wakati wake wa kuchanua…wakati wake wa kufanikiwa.Sidhani kama yale maua huwa yanaoneana wivu mbona yule kachanua mimi sijachanua?Usiitazame furaha ya mwenzako ukateseka nayo,mafanikio yake ukateseka nayo na wewe ukaitaka pengine na yeye ni kama lile ua linalokaa miezi tisa ndio lichanue.Itazame safari yako na wewe wakati wako ukifika utachanua Utang’ara.

Katika  kuitafuta furaha na mafanikio njiani usimkanyage mtu,usimuumize mtu.Unaweza kufanikiwa leo lakini sio milele.Kufumba na kufumbua mambo yanaweza kubadilika.Unaweza kuwa kwenye nguvu na control leo lakini huwezi kuushinda muda…muda hubadilika….Good morning!

Womanhood!

Christmas moment: The Kimesera!

Wow! Mama na binti zake Kama kawaida yao kupendeza na kucheka ipo ndani ya damu ❤️❤️Mr Mali na timu yake wakiwa wenye nyuso za furaha kabisa …. kwakweli hii familia ni familia babkubwa sana mie penda wao sana
Linda na binti zake pamoja  na rafiki yake hapo wapili kutoka kulia ❤️❤️❤️ Nawatakieni Mwaka Mpya mwema sana!

The best pic of the week: Baba na Mama Wawili!

screenshot_2016-12-14-22-50-26-1Awiiiiii! We Jakilini Jakilini wee ee! ngoja niimbe kidogo ???? Wana meremeta wana waka-waka aa! ??  huo naona haunogi ngoja niimbe huu ? ndo  wenyewe wa ukweli ????

Wenye wivu wajinyonge tu kwakweli maana hamna namna ?? Na idumu milele hiyo asali ya moyo wako ???

The art of confidence by Lemutuz

screenshot_2016-12-12-09-19-16-1screenshot_2016-12-12-09-19-32-1screenshot_2016-12-12-09-19-44-1Asante Lemutuz kwa kuongea ukweli bila chenga! Mimi si mpenzi wa muziki ya rap! Si maanishi ni mibaya hapa my brain doesn’t comply with them lol! Honestly, I have selective mind problem hivyo kuna vitu siwezi sikiliza au tazama yani brain yangu ikigoma haivitaki basi mie huwa I keep a distance from them! Mfano mmoja lilishawahi toa huko nyuma kuwa mie sipendi strong bright colors  huwa napata headache kabisa!……….Anyway, turudi kwenye mada!……Binafsi hili swala la watu kutafuta “Kiki” kwa kutumia scandals zisizo na kichwa wala mguu lina nikera na nalichukia mno! Actually I’m a victim of hawa watu wanao tafuta #Kiki!! Watu wameondokewa na hofu ya Mungu kabisa!! Wanacheza na Mungu kama walivyo mchezea mzee Kikwete!!! The devil has corrupted people’s mind mpaka inaogopesha!!………. Huwezi amini kuna watu wapo teyari kucheza na ndoa walizo kula kiapo kanisani / Msikitini mbele za Mungu  ili kutafuta umaharufu!! Hivi ndoa Siniagano takatifu???!!! Watu wamepewa dhamana ya kutumikia wana nchi lakini wapo teyari kucheza na kazi na vyeo walivyopewa kutumikia wana nchi ili kupata stupid attention??! Wasichana na wanawake wazima wanakubali kudhalalishwa ili kupata umaharufu??!!! Tena wengine wanadai wao ni “Wachungaji” lakini matendo yao yatakuacha hoi!! Hiyo yote wanatafuta umaharufu! mmmh! Eeh Mungu tusaidie! Its sad!  This needs to end kwakweli! Naamini katika uongozi huu wa baba yangu Dr Magufuli hawa watu watanyooshwa tuu ?? Sorry Shingongo tafuta biashara nyingine ?? Enough is enough!!

Hongera sana kaka #Darassacmg kwa mfano mzuri wa kuigwa katika jamii yetu!   #Inawezekana  #ItBeginsWithYou

“Aidha tunapenda udaku kuliko mambo ya muhimu kuhusu our lives au hatujui what should be our priorities”-Lemutuz

screenshot_2016-11-25-16-00-39-1

Love in the air! Is this our new shemeji?

screenshot_2016-11-25-10-16-29-1 rumor has hit in the streets of social media that the man in the picture is our new shemeji?!
screenshot_2016-11-25-10-14-43-1 If this is true not kutafuta #kik za mujini basi mimi ninafuraha sana moyoni ??  Nasikia kitu ni #InternationalMachineGun ???? yani hana rafiki mujini wala Kiswahili hajui ?? Jide amejuaje kuwakomesha wambea ?? salute to you Jide ?? screenshot_2016-11-25-10-16-55-1Wacha wee ??screenshot_2016-11-25-10-14-30-1he! he! he! kama namuona mtu mzima Ruge na loser wake macho yamewatoka waki kodoa kodo ?? #Salome You go Jide enjoy your chocolate candy bar #JotoHasira #WanaumeKamaMabinti

“none of them will share the grave with you , collect your pieces & move on life is full of choices”- Akothee Akothee

fb_img_1480095284347Goodmorning people, it’s only the fear of the unknown that hinder us from having a peace of mind , anything that cost your peace is already too expensive, be it relatives blood sister/ brother ,friends , baby daddy , Ex factor , none of them will share the grave with you , collect your pieces & move on life is full of choices . If you weren’t a bitch before, they should think twice on why you are bitching now HUMAN BEINGS ARE VERY SELFISH & INSENSITIVE , (mudho kik wuondi Ila e ot) (translation) God bless your decisions

Womanhood!

img_20161122_202126binti Malaika katika moja ya nguo zake…….please mtembelee kwa Instagram yake kwa jina la @bintimalaika screenshot_2016-11-22-16-07-33-1-1 screenshot_2016-11-22-03-05-15-1fb_img_1479753397075-1 screenshot_2016-11-22-11-50-55-1