Category Archives: Matangazo

Hakikisha hili halikupiti- Miaka 15 ya Saida Karoli!

 #Miaka15yaSaidaKaroli: #PowerBreakfast kuanzia saa 1-4 asubuhi @barbarahassan1 @masoudkipanya @fredwaatz @pjpauljames @cza255 watakukutanisha na #MalkiaWaNguvu @saidakarolitz . Ambae alinyanyuka, Ulimwengu ukamtambua. Baadae alianguka, Ulimwengu ukabaki tungo zake wakati yeye akitaabika na maisha. SASA ANASIMAMA TENA. . Alhamisi hii, njoo #Escape1 Mikocheni Usimame na #SaidaKaroli15 | Kiingilio 20, 000 kawaida na VIP ni 50,000. #KunyanyukaKuangukaNaKusimamaTena : @saidakarolitz
Kupata tiketi kwa ajili ya #SaidaKaroli15, fika katika vituo vifuatavyo : • Clouds Mikocheni • Samaki Samaki(Mlimani City) • Samaki Samaki Masaki • Mac Juice ( Afrika Sana ) • Shea illusion(Mlimani city) • Tusiime School • Shishi Fast Food • Imalaseko(Dar Free Market) • Nandy African Prints – Tabata . . #KunyanyukaKuangukaNaKusimamaTena | Kiingilio 20, 000 kawaida na #VIP ni 50, 000. Cc: @choicefm_tz @cloudstv @cloudsfmtz @efmtanzania @timesfmtz @magicfm929

Kwa wazazi mlioko Dar tafadhali usikose #Mtoto Day Out

EVENT:    Mtoto Day Out..

TAREHE: 9/7/2017 

MAHALI: Msasani Beach Club (kawe jeshini)

UMRI:         1_13
MUDA:    Saa nne asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni. 

KIINGILIO: Mtoto Tsh 5,000 mzazi bure.
Imedhamimiwa na @nmbtanzania kupitia mtoto akaunti.
Imeandaliwa na Dina Marios kupitia Mtoto Events.
Mtoto day out………Ni bonge la outing kwa mtoto wako.Michezo mbalimbali ya watoto,zawadi mbalimbali zitatolewa kwa watoto,mashindano ya kuchora,kupaka rangi,kucheza,kujibu maswali,mpira wa miguu wa beach,volley ball,kuvuta kamba n.k
#MtotoDayOut #MtotoEvents
#mtotoakaunti #mtotomagazine

Mtaarifu na mwingine baba, mama na mlezi.

Mtoto Day Out

“Mtoto Day Out…..itakuwa tarehe 9/7/2017 siku ya jumapili.

Mpendwa mzazi,Mlezi hifadhi hiyo tarehe.Kama unavyoendaga wewe kwenye matamasha mbalimbali basi hili ni maalum kwa mtoto wako hakikisha unamtendea haki…asikose!

Basi hapo unawaza kiingilio kitakuwaje????yaani naona hata aibu kukitaja maana utaona huyu Dina Vipi mbona kiingilio kidogo hivyo???Wazazi itakuwa buree ila utamlipia mtoto wako.

NMB Tanzania wametuwezesha nitakusimulia mengi ya muhimu kutoka kwao.

Kwanza nikuulize umesikia kuhusu Nmb mtoto akaunti?je unafahamu unaweza kumfungulia mtoto wako akaunti toka apozaliwa?je mwanao anayo akaunti uliyomfungulia?Je unafahamu kwa tsh 5,000 tu unaweza kumfungulia mtoto wako akaunti na kila mwezi ukawa unaweka tsh 5000 kama ndio uwezo wako na zaidi kama upo vizuri???
#MtotoDayOut #MtotoEvents
#mtotoakaunti #mtotomagazine”~~~~~~~Dina Marios

The BET AWARDS: Tafadhali piga kura ulete ushindi nyumbani!

Tanzania, Kwa mara nyingi tena kijana wetu katajwa kwenye BET AWARDS! Tafadhali piga kura. ulete ushindi nyumbani! Mpigie Ray Vann wetu kama umesahau sauti yake basi tazama hizi video umsikie! Yani hadi Wamarekani wamemkubali sio mimi tu! Haya hima leta ushindi huu nyumbani!

Molocaho by Amorette

Haya furniture nzuri sanaaaaaa zinatengenezwa ndani ya Tanzania. Ni vitu vyenye viwango vya kimataifa, Molocaho by Amorette! Vimeshika nafasi ya juu sana katika ubora wa furniture za ndani huko Dubai na East Africa katika maonyesho ya biashara yalio fanyika mwaka huu! Tafadhali tuweke uzalendo kwa kupenda vyakwetu kwanza haswa kama vikiwa vimekidhi viwango vya kimataifa!! Yani kama wewe bado unaagiza furniture kutoka nje ya nchi basi wewe ni bonge la mshamba!! Yani hujui Molocaho furnitures?! Wao wapo Village mall!… …..Kama budget hairuhusu leo kununua Molocaho toka Amorette basi waweza fika pale ALUTech, nao ni watengenezaji wa furniture nzuri sanaaaaaa kwa watu wa hali ya chini na kati pia wanafanya interior design kwa nyumba na office! ALUTech wanapatikana pale Mivinjeni, Kurasini bara bara ya Kilwa! Weka uzalendo mbele kwa kupenda vya kwenu kwanza! Kumbuka mkataa kwao ni mtumwa!!

Don’t miss! Its free!

Haya kwa sichana wote ambao wapo chuoni na unaojiona kuwa umebarikiwa kuwa na mawazo chanya ya jinsi ya kusaidia wasichana wengine ila haujajua ni jinsi gani uweze kuweka haya mawazo yako katika vitendo basi event si ya kukosa. Haina kiingilio ni bure kabisa tarehe 16 May, 2017 hapo COSTECH Kijitonyama kuanzia saa kumi jioni mpaka kumi na mbili.

 

Tanzania Diaspora Easter Investment Forum April 11-12, 2017

I got my ticket ready! What about you?! Please order it today!

Women to women event, dare not to miss it!

My mama is supporting #Halotel

Look what my mama is wearing! #Halotel T-shirt @Home, Kigamboni!……. Tafadhali endelea kuunga mkono Halotel ili kuanzia mwakani nao waanze kutoa sponsors kubwa kubwa kwa vitu vya maana kwa jamii yetu! Halotel, together for the better!

Jokate naye atakuwepo! ……Dare not to miss it!

screenshot_2016-12-13-14-59-40-1screenshot_2016-12-13-15-00-34-1Mrembo wetu naye kasema atakuwepo! Jamani hii event siyo yakukosa kabisa! Please buy your ticket now!

Dare not to miss it!…….Hii si yakukosa!

screenshot_2016-12-11-11-13-41-2Awiii! Hii?!! Aaah! Ukipitwa basi wewe 2017 itakuwa imekula kwako sanaaaaa! Yani fanya juu chini usipitwe na hii event! Nunua ticket yako sasa. Si mmemuona “Wifi” yangu Saida Karoli ndani ya mjengo!! Basi usikubali  kupitwa hata chembe!……..Nyie Wahaya hakikisheni mnaniwekea VIP seat na parking space ?? Sasa mnafikiri watajuaje “Mjaluo” nipoooo??!! Mkipenda vya Ujaluoni sharti mjue kuzichanga hizo $$, Ujaluo gharama ????

Nunua Kidoti school bags kwa mabegi yenye ubora na viwango!

screenshot_2016-12-10-20-47-40-1screenshot_2016-12-10-20-47-26-1screenshot_2016-12-10-21-00-09-1screenshot_2016-12-10-20-46-55-1

Nunua #Kidoti School bags kwa mabegi yenye ubora na viwango!

screenshot_2016-12-08-11-39-45-1

The Indepence Eve Bash!….. Don’t miss it!

screenshot_2016-12-08-09-12-27-1screenshot_2016-12-08-09-12-18-1Hongera

Save the date! Nywele natural beauty expo!

screenshot_2016-11-29-10-44-12-1screenshot_2016-11-29-10-44-04-1

Please vote for our Queen / tafadhali mpigie kura Malkia wetu!

screenshot_2016-11-28-06-24-39-1 screenshot_2016-11-28-06-25-29-1 screenshot_2016-11-28-06-25-36-1Please go and vote! Tafadhali piga kura!

Jipatie furniture za huwakika toka Amorette

screenshot_2016-11-25-16-08-59-1 screenshot_2016-11-25-16-09-09-1

The best place to shop in Dar #Divas2006

screenshot_2016-11-24-11-30-02-1Jamani mie Dar siijui vizuri lakini mrembo wetu Jokate katuhakikishia kuwa Divas2006 boutique ndio mambo yote!! Haya wakina dada mnao taka kuvaa vitu vya maana vile vyenye hadhi ya kimataifa basi hapa Divas2006 si pakukosa kwenda! Mie pia nipo jiani kwenda nikachague mbili tatu za kuringa navyo mjini ?? Karibuni wote

Please Vote for Dr. Magufuli

screenshot_2016-10-25-22-22-12-1

Haya twende sasa tuka VOTE! Mimi nimesha vote kama inavyo onekana hapo chini ? Na mpaka sasa Dr. John Pombe Magufuli anaongoza kwa 81% ……….haya basi tufanye kazi ya kupiga kura tulete ushindi nyumbani ?img_20161025_231937