Category Archives: Motherhood

Mother and daughter moment

Pretty-pretty-pretty! Such a lovely priceless moment, mama Cookie na Cookie wake! 😍😍😍....... Jamani Valentine's moments unaweza ukachagua mtu yoyote umpendaye  uka dedicate mwaka huu kwake! Anaweza akawa mama yako mzazi, baba, dada, mtoto wako n.k! Yoyote yule amabye yupo karibu na ndani ya roho yako! Ila kama ni mume / Mke lazima awe amehalalishwa na mamlaka husika kama serikali, kanisa, au msikitini!  

Hakuna “bibi kizee” anaye weza kukunja miguu namna hii!

Najua-najua! It's holidays season, lakini si vibaya kula ubuyu kidogo kiaina, wanasema wataalamu wa afya kuwa kusoma gossiping kidogo  kidogo ni nzuri kwa afya yako 😀😀  Sasa huwa nasomaga baadhi ya watu wakisema kuwa Zari ni "bibi kizee" jamani labda mie sijatembea sana embu mniambie kama kuna "bibi kizee" yoyote ambaye anaweza kukunja miguu akiwa kitandani kama Zari alivyofanya?!🤔🤔 I know they always say life is very difficult for the blinds lakini jaribuni kumuogopa Mungu nyie watu!! Mimi sijawahi ona, hivyo naamini hakuna bibi kizee yoyote yule hapa duniani anaye weza kukunja miguu namna hii!........ Beautiful picture, priceless!

Mama na wanawe! …..The Mashimi!

Mama na wanawe, the Mashimis’ katika ubora wao. Honestly nilikuwa napenda sana kupost family moments kama hizi because I strongly believe in family institution. Lakini wapika majungu na kamati ya ufitina wakaanza kupika majungu nakuwajaza watu hofu kiasi kwamba watu wakawa hawataki kuweka picha zao kwa hii blog. Hivyo siku hizi naweka only picha za watu ambao najua hawatakuja kusema “toa picha zangu kwenye blog yako”! Unless wewe mwenyewe uniruhusu, sito weka picha za watu humu. Ni za familia yangu na watu ambao najua they won’t bring drama to me!! Sitaki drama mimi I am too old for that crap!…….Anyway, nimependa hii picha, ni the Mashimis’ from Atlanta, Georgia. Wamependeza sana na ninawapenda 😗❤