Category Archives: Picha nzuri zaidi

Father and son moment

screenshot_2016-11-06-08-36-18-1

Picha iliyonivutia zaidi

screenshot_2016-11-04-11-56-15-1Hoyce Temu kapendeza na vazi la Kiarabu ?……….

Picha niliyopenda siku ya leo!

fb_img_1478134237959Very cute, lovely couple……….. Wamependeza sana

Picha iliyo nivutia zaidi

screenshot_2016-10-25-23-40-53-1Very true!…….I’m very happy for you Mwaju. Mbarikiwe sana

Picha zilizo nivutia zaidi

fb_img_1477003515125 The Makondas! Wamenogaje! Jamani mwanamke mwenye furaha toka moyoni utamuona tu kwenye macho yake! hata tabasamu lake litaonyesha! Ee Mungu linda ndoa hii na uzidi wabaraki siku zote ?fb_img_1477003475339The Obamas! Jamani, tuta wa-miss hawa love Bird ?? Dah! But after last night debate I’m prepared to see the First Female President of United States of America ? Mungu awajalie mema yote ?…………… “First Lady of the United States @MichelleObama is flawless in a custom-made, rose gold #AtelierVersace gown.”~~~~~ maneno yake FIrst daughter Sasha Obama

Picha iliyonivutia zaidi

fb_img_1476854205588isn’t she pretty! Tiffah mwana wa Diamond. Mjukuu wa bi Sandra kazurije sasa. Mungu akulinde ka little star wetu! ??

Picha iliyonivutia zaidi

fb_img_1476668464039Mr and Mrs Tesha from Dallas, TX……….. Pendeza sanaaaa kama kawaida yao ❤❤❤❤

Picha iliyonivutia zaidi

screenshot_2016-09-30-05-11-57-1To God be the glory! GOR-GEO-US!!screenshot_2016-09-30-05-11-07-1Kapendeza mno!

Picha iliyonivutia zaidi

screenshot_2016-09-29-14-54-51-1MadamBoss! Akothee Akothee! Siku nyingi sijamuweka humu huyu shosti wangu ?? kapendeza kinyumbani zaidi ❤❤

Picha iliyonivutia zaidi!

fb_img_1475097554927Jackline Ntuyabaliwe a.k.a mama twins! Kapendeza sana……… I love the way she dresses ❤❤

Picha iliyonivutia zaidi!

screenshot_2016-09-23-05-26-10-1Mshonaji kaipatia sana na mvaaji kaitendea haki! Beautiful!

Picha iliyonivutia zaidi

fb_img_1474455701369-1Simfahamu lakini nimependa sana jinsi alivyo vaa!

Picha iliyonivutia zaidi!

fb_img_1474287930985fb_img_1472436063790Mama wa LB! A.K.A Kichuna cha Kizaramo! Muke ya Mali Kimesera katika ubora wake! Kapendeza sana akiwa amevalia nguo ya ubunifu wake katika moja ya matukio maarufu huko ATL! …… hongera sana

Picha iliyo nivutia zaidi

fb_img_1474033203811Beautiful!

Picha iliyo nivutia zaidi!

Screenshot_2016-09-07-08-14-28-1This is my hot pic of the day! Beautiful!…..keep that smile alive!

Picha iliyonivutia zaidi

fb_img_1473624835763Jacqueline Mengi ndiyo my hot pic of the day………….cute!

Picha iliyo nivutia zaidi

Screenshot_2016-09-08-10-40-36-1FB_IMG_1472436063790Ka baby haka nimekapenda sana. Mzurije sasa! Picha zake ndio zimenivutia zaidi siku ya leo……….Not sure kama yeye ndiyo anaitwa Kourtney au mama yake, Mungu amlinde na kumjalia mema yote ya hii dunia?? Screenshot_2016-09-08-10-39-57-1Screenshot_2016-09-08-10-42-13-1Screenshot_2016-09-08-10-41-02-1Screenshot_2016-09-08-10-41-24-1…….Glory and honor be to God!

Picha iliyo nivutia zaidi

Screenshot_2016-09-05-21-27-59-1Hon. Shy-Rose Bhanji ………..Kapendeza sana