Category Archives: Relationship

Mama Diamond amsifia mkwewe!

Pale mama mkwe anapokuwa msemaji wa penzi lako! Well!! Inakufanya ujisikie vizuri lakini bado huwalisia utabaki pale pale! Kama mwanaume hakupendi kwa dhati nawala hakuheshimu hata mama mkwe akupende vipi haitobadili kitu! Heshima na mapenzi yako kutoka kwa mumeo ni lazima mumeo haonyeshe mwenyewe nasio mama mkwe wala wifi zako au ndugu wa mumeo! …..anyway, yangoswe hayo ngoja tumuachie ngoswe mwenyewe!

Tamar Braxton amekwenda mahakamani kuomba talaka!

Nashindwa kuelewa ni kitu gani huwa kinatokea, ndani ya miezi michache watu wanakataa kabisa kuwa ndoa yao ipo sawa na hizo rumors ni maneno tu yamtaani!! Wanathubutu hata kumtaja Mungu!! Halafu hamjakaa sawa mnasikia wame file for divorce kuwa wameshindwana! Sasa najiuliza why lying!?! Kama ndoa inamatatizo si unasema tu, kuwa ndoa yetu haipo sawa lakini we are working on it, just pray for us!! Kuliko kudanganya!! Kama hapo 👇kwenye video Tamar na mumewe walivyo jieleza kwenye Wendy Williams show mwezi wa tatu mwaka huu embu wasikilize

Kana kwamba hiyo haitoshi hata mwezi uliopita alipo ulizwa akasema yupo teyari kufanya chochote kile kulinda ndoa yake. Na hivyo kitu chakwanza ambacho anafanya ili kuokoa ndoa yake ni kuachana na "showbiz business" ataacha kutengeneza album za nyimbo mpya! Sasa within 30 days inakuwaje mtu huyo huyo ndio anakuwa wakwanza kudai talaka 🙉🙉  I don't get it!.......

Lakini ukiangalia kwaundani utagundua huyu Tamar kuacha kuimba siyo kwasababu alikuwa anataka kuokoa ndoa yake bali ni njia ya kumuondoa mumewe kuwa Manager na producer wake. Kama mnakumbuka how Lady JayDee alivyo mfanyia Captain Garnder Habash 🙈🙈 smart lady huh! .......Jamani let your husband be your husband! Mambo ya mumeo kuwa Manager wako kwakweli naona ndoa nyingi zinavunjika ni wachache mno wamefanikiwa. Labda kama huyo mumeo hachukui pesa yoyote kwenye hiyo production yako. Your husband / wife is your business partner and advicer but not someone to manage you everyday, no no! You can only meet at the board meetings or kwenye weekly business meeting. Lakini kila mtu awe na ofisi yake na wafanyakazi wake nafikiri kwa njia hii itapunguza tension fulani zisizo na ulazima!

Halafu pia kitu ambacho nimeona wanandoa wengi ambao wako kwenye the same industry ndoa zao hazidumu au zinakuwa na matatizo sana. Kwamfano, hapa Tamar ni muimbaji na reality TV star wakati mume wake ni producer mkubwa kwenye music na TV show hivyo wote wapo kwenye spotlight na mzunguko wa watu hao hao kila wakati! Lazima wanandoa wawe makini sana mnapokuwa kwenye maswala ya business ili ndoa yenu iwe na amani.  Sasa Tamar na Vince walipo owana hawakupeana "prenuptial agreements" kwani walikubaliana kuwa divorce is NOT an option! Sasa pale divorce inapokuwa ni the only option sijui itakuwaje kwani Tamar anataka full custody ya mtoto wao na pia anasema Vince asipewe spouse support. Kumbuka wakati Tamar anaolewa na Vince, Vince ndio alikuwa anatengeneza pesa nyingi lakini baadaye Tamar akawa super star na kutengeneza pesa nyingi zaidi ya Vince hivyo sasa itabidi Tamar amlipe Vince pesa za kujikimu baada ya divorce..... Vince ni yatima na kwao alizaliwa mwenyewe hivyo hana ndugu wa tumbo moja wala wazazi! So sad!

Couple nyingine ambayo imeshangaza watu ni ya huyu mwanadada wa The Real talk show 👆👆 Jeanie Mai na mumewe Fredy! Hapa mwanamke ndiye aliyesema kuwa yeye hataki kuwa na watoto kwani haoni kama atakuwa mama mzuri kwani kulea kiumbe kingine na kumfanya awe ni kiumbe bora is a tough job ambayo yeye hawezi. Pia kwasasa yupo busy na "carrier" yake wakati mumewe anataka wazae watoto kitu ambacho hawezi fanya. Kutokana na history yake ya kutoka kwenye familia duni wazazi wake waliangaika sana wakaja Marekani kutafuta maisha bora haswa kwa watoto wao. Hivyo kuwa na watoto kuta slow down dream zake ambazo yeye na wazazi wake wameteseka sana kuzipata. Nabado kuna watu masikini kwenye familia yake ambao anaona kuwa anawajibu wa kuwasaidia hivyo kuleta watoto duniani itakuwa ni mzigo mwingine wa watu wanao mtegemea! Hayo ni maisha ya Marekani kule kwetu Africa masikini ndio wanazaa zaidi ya matajiri wanajua mjomba/ baba mdogo au shangazi atawalea tu bila shida 🙆🙆

Hivi, mimi nashindwa kuelewa hivi dunia hii kunawatu wanaowana bila kujadili kama wanataka watoto au hapana!! Hivi si vitu vinajadiliwa kabla hata ya kuchumbiana au mie ndio sijui 🙈🙈 nielewesheni 😆😆 mie I would love to know what am I signing up for, sorry naogopa sana kujifunga kitanzi mwenyewe! Naogopa surprises .........Kumbuka Tamar Braxton alikuwa kwenye show hii kabla ya ufukuzwa mwaka jana!

 

Mpende akupendae…….!

Mpende akupendae asiyekupenda achana naye! Acheni wenye ndoa zao halali wajishaue babu! Kwa raha zao 😍💗

“Nitakulinda nitakupenda na kukuombea pia hiyo ndio kazi yangu.” ~~~Mrs Paul Makonda

“Nitakulinda nitakupenda na kukuombea pia hiyo ndio kazi yangu.Mengine tumwachie yeye aliye juu ayatimize kwa wakati usiogope Mimi ndio askari wa Mungu niko kazini 💪❤️❤️❤️❤️❤️🙏  ” ~~~~~~ Mrs Paul Makonda

Jamani!! Huyu wifi yangu siyo wa dunia hii kwakweli!! Hivi anawezaje kusimama strong na kutembea bila woga wakati shetani na majeshi yake yanamuandama kila kona!!! Kweli Mungu ni muweza wa yote!! Such a phenomenal woman! Great role model to many of us!! May Almighty God richly keep blessing you. 😘❤

Mh. Paul Makonda: Endelea kuniombea na kunielekeza pale ninapokosea kwani mimi ndiye mwanao wa kwanza hapa duniani.

Namtukuza Mungu kwakunipa Maria, umefanyika baraka na furaha ktk kila nyakati nilizopitia,hadi kufikisha leo miaka 6 ya Ndoa.hujawahi hata siku moja kukata tamaa pale ambapo Dunia ilikata tamaa, hujawahi kusahau upendo wangu hata pale ulipokuwa mbali na familia yako. Umekuwa mnyenyekevu, mpole na mpenda Amani. Mwisho wa yote umenivumilia Kwa nyakati zote huku ukiniombea Kwa machozi na kufunga ili Mungu aendelee kuonekana katika majukumu yangu. Hakika sinachakukulipa zaidi ya kusema asante Kwa Mungu kwakunipa wewe katika maisha yangu. Bado ahadi yangu niliyoitoa tareh 23/10/2011 bado iko palepale. Endelea kuniombea na kunielekeza pale ninapokosea kwani mimi ndiye mwanao wa kwanza hapa duniani.

***Soma ujumbe wa Mr Paul Makonda kwenye 5th anniversary yao hapa 👉👉 (MrAndMrsMakonda)***

Winny Edwin Kihore: Living in love

                                      LIVING IN LOVE
 I once heard about a husband and wife who were so upset after a big argument that they refused to speak to each other. That night, not wanting to be first to break the awkward silence, the man left a note on his wife's side of the bed that read, "wake me up at 6 o'clock in the morning ". The next morning, by the time the husband woke up, it was already 8 o'clock. Furious, he roared, "where is she?" and was about to chew out his wife when he found a note on his side of the bed : "lt's six o'clock; wake up." If we're going to live in love, we have to learn to forgive one another. The Bible says, "Do not let the sun go down on your anger, but instead, forgive. And above all things, put on love. " EPHESIANS 3:17- That we would be "rooted and established in love so that we would have power together with all the saints " when we choose to walk in love, we have the power of God in our lives, as well as healthier relationships. We should always look for the best in each other. That's one of the things l love my husband Edwin Kihore. I used to think that he didn't see the things that l did wrong. Then l realized: it's not that he doesn't see them ; he choose not to focus on them. Let 's learn to walk in love and see the best in everyone. A house divided will fall. That's why it's so important to keep peace in your home. Be the first to apologize. Be quick to forgive. You need to remind yourself that God has put that person in your life, and He's got good things in store. If you will do your part by being kind, respecting one another, treating each other the way you want to be treated, God will do his part, and you can live in love!

Jacqueline Mengi: Apendwae akajua haachi kujishauwa!

If the only prayer you said in your whole life was “thank you” that would suffice. Meister Eckhart

Nimekwenda kwenye Instagram page ya Jacqueline Mengi nikakuta ame post msemo huu “Apendwae akajua haachi kujishaua”!………… Kwakweli hata mimi nakubaliana na huo msemo! Raha sana kupendwa na mtu anayekupenda kwa right reasons and in a right way!! Kuna watu wanaweza kukupenda in a wrong way kama Bobby  Brown na Whitney Houston! Bobby Brown alikiri kuwa alimpenda Whitney Houston but he didn’t love her in a right way!! Sikiliza sehemu ya hiyo interview hapa 👇👇

Hapo ni vile mtu anakupenda lakini anashindwa kukukataza au kukuzuia kwenda kwenye njia mbaya badala yake na yeye ana support njia zako mbovu in the name of “LOVE” halafau wote mnaangamia. Sasa kwa hawa aliye salimika ni Bobby peke yake Whitney na binti ya ke BobbiChristina wakafariki kwa drugs….. Mtu anyekupenda katika njia sahihi na kwa sababu zilizo sahii siku zote ata wish to see the best of you! Mtu huyo atapigana mchana na usiku kuwakikisha hauingii gizani na kupotea. ………Hivyo ukimpata mtu wa namna hiyo huna budi kushukuru Mungu na kama binadamu basi kujishaua lazima!…….. Wewe jishaue tu Mrs Billionaire, acha wenye wivu wajinyonge tu 😂😂😂 kama hawana kamba tutawanunulia waseme tu 🙈🙈🙈

“BlackLoveDoc”

Wapendwa kama mjuavyo mimi ni TV addict but stupidity never entertained me!! Yani huwa na penda show zenye kunielimisha kimwili na kiroho, pia za kunifurahisha lakini siyo show zenye mambo ambayo hayana mana. Sasa mwezi uliopita kwenye OWN channel Oprah akatangaza hii show mpya inaitwa “BlackLoveDoc” ambapo wapenzi/ wanandoa wenye asili ya watu weusi (blacks couple) wanaelezea their love story, parenthood, na challenge walizopitia na how they overcome them. Inahusisha celebrities na watu wakawaida.  Yani I literally said to myself, huyu Oprah is reading my mind or what? Kwasababu hiyo ndio nilianzia hapa kwa blog yangu na kila mwaka on Valentine’s day huwa nataja couple of the year!………. Anyway, show ni nzuri sanaaaa! Nimeipenda mno,

Wenye mapenzi ya kweli utawaona tu toka mwanzo, wewe saa kumi asubuhi mtu anapiga simu Kwasababu kasikia kuna Earthquake? Ndugu zangu mliopigwa na Hurricane Harvey mlipokea hata text za pole 😂😂  wahenga walisema kuwa uyaone 🙈🙈

Show inapatikana kwa YouTube unaweza angalia katika muda wako. 

Je, Zari ataweza kubeba “bendera” za nchi mbili!?!

  Katika Biblia kuna maneno yanasema ‘hakuna mtu awezae kutumikia mabwana wawili’! Yani kiufupi lazima mmoja utampendelea na mwingine utamuonea kwa mapenzi ya uwongo! Sasa, wote tumeshuhudia maisha ya Zari na Ivan mpaka kuachana kwao. Lakini pamoja na hayo Ivan bado hakuona mtu mwingine ambaye angefaa kulinda mali zake, watoto wake, na kuhakikisha kuwa his Legacy forever lives zaidi ya Zari. Na Zari mwenyewe kwa mdomo wake alitamka mbele ya kadamnasi siku ya mazishi ya Ivan Ssemwanga  (SomaHapa) kua atavaa viatu vya Ivan Ssemwanga, kwani yupo tayari, anaona kama she was prepared enough for it!!  Na kwamba she will do it for his boys, his family, friends, and his legacy!  Swali ambalo ninajiuliza will Zari be able to be a “flag bearer” for the two men from different countries?!  Can she honestly, sincerely, and lovingly serve the “two masters”! ……..Personally, I’m not sure but very curious to see how will this go down considering one of her “men” is still living and 100%  involving in her life!………Will Zari disappoint many or will she continue to shine and come-out as a shero? Will this be Zari’s downfall as she may lose some sort of “respect” from Ugandans who are / were hardcore fans of the “Rich Gang” particularly  The Don- Ivan Ssemwanga?! Will Watanzania accept Zari and give her 100%  support to carry their flag as Diamond’s wife especially after his bizarre behaviors of abusing and disrespecting women!?! Remember “The B**** is dying for fame”  and “the baby is not mine”! And finally, the boys are growing up, one day they will have bunch of questions to ask! How will her children feel? Will they feel a sense of betrayal from their own mother; the only living parent?! Can’t get any better than this!! I will surely keep up with the story. And You be the judge!

 

“Naamini bado nina nafasi kwenye moyo wako please usiniangushe”!

Umeshawi kumpenda mtu asiyekupenda? Well, naamini wengi tu imeshawatokea. Pengine utakuta kama ni mwanamke basi anakubali hata kuwekwa kimada miaka nenda rudi basi tu mlimradi naye aseme nipo kwenye “relationship” au “married” 😅😅 hiyo yote nikupenda asiye kupenda. Nawengine ndio wanakuwa na ujasiri zaidi kama huyu mrembo Teddy!  Jamani hii siyo hadithi ya kutunga, ni kitu cha kweli kabisa. Teddy Lacoste ni binti mzuri sana, na mchakarikaji. Kwakweli ametokea kumpenda kijana Tuma. Kwa bahati mbaya Tuma anampenda Teddy kama rafiki tu / kama dada. Lakini Teddy anaona kuwa yeye na Tuma ni “soul mate” match made from Heaven! Hivyo amekuwa akimbembeleza Tuma wawe pamoja naikiwezekana waoane wawe mke na mume wazae watoto! Ameshakuwa akimbembeleza Tuma kwa zaidi ya miaka 2 sasa kwa kutumia lugha zote za mapenzi, in private lakini ikashindikana. Sasa akaamua kuja public kwa social media. Yani ni anapost picha na status za kumuomba Tuma amkubali #Live lakini Tuma kagoma!!   Tuma ni kama mdogo wangu, age mate na wadogo zangu, amekuwa nikimuona pale mtaani kwetu KJ. Hivyo amenizoea ananiita dada. Sasa, mwaka jana mie nikaona Relationship status ya Teddy kwa Facebook kuwa “engaged to Tuma” na picha ya pete. Halafu na Tuma aka “Like” hiyo status. Basi mie nisifurahi  nikaja ipost humu (somahapa) si ndio Tuma anakuja niambia kuwa it’s not true haja mu-engaged ni vituko vya Teddy 🙉🙉 mbona yalinishuka, nami nikagoma kuiondoa kwani yeye Tuma huwa ana “LIKE” hizo status za Teddy!  Sasa jana nikamwambia Tuma kuwa leo nakuja kuanika hii story yao kwa blog ili watu wengine watoe ushauri wao. Kwani mie hiyo kesi ilinishinda pale Teddy alipoileta kwangu mwaka jana. Nilimwambia mapenzi ya kutongozewa au kulazimisha mtu hayanaga mema mengi! Nimeona wengi huwa hawana furaha ya kweli. Ni shida. Hivyo yeye mwenyewe ndo itabidi aendelee kum #Seduce Tuma mpaka aukubali wimbo 😅😅 Though moyoni natamani kama wangekuwa pamoja. I love both of them 🙈🙈 ……. Haya wewe una ushauri gani kwa Teddy na Tuma?

“Wanawake FAITHFUL hapa Tanzania wako 16 tu….!”

WANAUME huwa tunatamani sana kupata WIFE MATERIAL lakini cha ajabu tukiwapata tunawatafutia visa vya ajabu visivyoeleweka wakati tuliwatafuta wenyewe............
Ukiona Mwanamke ana WIVU NA WEWE, anakufuatilia mambo yako, uko wapi, umekula, umekula nini, umekula saa ngapi, kwanini hujalala, kwanini umepiga picha na mdada asiyemjua, kwanini hujamtafuta nusu saa, kwanini uko Online Whatsapp lakini haumtext, TUNAANZA KULALAMIKA, "Oh huyu Mwanamke ana wivu sana mi siwezi"
Mwanamke mwenye Wivu SHE IS IN LOVE........SHE IS LOYAL........SHE IS FAITHFUL
Hawa makurumbembe tunaowapenda kisa hawatusumbui wote WEZI NA WAONGO TU, they are after something, Kwao Mapenzi ni rahisi kama kuagiza RED BULL BARIDI Wanawake FAITHFUL hapa Tanzania wako 16 tu, kama umempata mmoja kati ya hawa MSHIKILIE, NA MPENDE SANA, USIMTIBUE.......Akiondoka huyo utapata Bata la Uswahilini, hata uuchune SIKU 2 na yeye hakutafuti, utabakia na Majuto while She is Gone na amempata aliyeona thamani yake........
WANAUME HATA HATUELEWEKI TUNATAKA NINI SOMETIMES, Hata mnune mpige mawe UKWELI NDIO HUU!》》》》》by Chastic Chastic

He said, ‘You are asking a lot. She replied, “I’m worth a lot!”

"In a brief conversation, a man asked a woman he was pursuing the question: 'What kind of man are you looking for?' She sat quietly for a moment before looking him in the eye & asking, 'Do you really want to know?' Reluctantly, he said, 'Yes. She began to expound, 'As a woman in this day & age, I am in a position to ask a man what can you do for me that I can't do for myself? I pay my own bills. I take care of my household without the help of any man... or woman for that matter. I am in the position to ask, 'What can you bring to the table?' The man looked at her. Clearly he thought that she was referring to money. She quickly corrected his thought & stated, 'I am not referring to money. I need something more. I need a man who is striving for excellence in every aspect of life. He sat back on the couch, folded his arms, & asked her to explain. She said, 'I need someone who is striving for excellence mentally because I need conversation & mental stimulation. I don't need a simple-minded man. I need someone who is striving for excellence spiritually because I don't need to be unequally yoked...believers mixed with unbelievers is a recipe for disaster. I need a man who is striving for excellence financially because I don't need a financial burden. I need someone who is sensitive enough to understand what I go through as a woman, but strong enough to keep me grounded. I need someone who has integrity in dealing with relationships. Lies and game-playing are not my idea of a strong man. I need a man who is family-oriented. One who can be the leader, priest and provider to the lives entrusted to him by God. I need someone whom I can respect. In order to be submissive, I must respect him. I cannot be submissive to a man who isn't taking care of his business. I have no problem being submissive...he just has to be worthy. And by the way, I am not looking for him...He will find me. He will recognize himself in me. He may not be able to explain the connection, but he will always be drawn to me. God made woman to be a help-mate for man. I can't help a man if he can't help himself. When she finished her spill, she looked at him. He unfolded his arms and sat there with a puzzled look on his face. He said, 'You are asking a lot. She replied, "I'm worth a lot!" >>>>> Bishop Larry Boyd

 

Wamenoga eeh……!

This is your week, Love…..Mimi na Mke Wangu.#wahenga #familiabora #mamboyapwani #mamaazizah

Wamependeza eeh! Inavutia kuona kaka zetu wakionyesha mahaba LIVE kwani “credibility” ya wakaka wa Kibongo sio nzuri sana 🙆🙆 Hivyo vitu kama hivi vinatia moyo!

“He picked me up from baby daddies cave”-Akothee Akothee

Akothee Akothee back in 2013

He picked me up from baby daddies cave , asked me to throw away my jacket which looked cheap for him , alas,  that was my sunday best! So he gave me his own jacket,  I had piecings on my nose, my cheek & many other places 😂😂😂 he asked me to take them out. I asked why & so many whys? He said (you are a natual beauty,  you don’t need any additional metals on your dark flowless skin,  &, I want to have a lady on my table) 🙈🙈, He  immidiately  took me to a shopping center & changed my wardrobe before he introduced me to his friends. He held my hands & walked into some exclusive restaurant where his friends were , with his head high in the sky, he said;  meet my sweetheart Esther Akoth! So with all these imistakes from my dress code to pieciengs this guy still insisted on dating me,  why do you think he was patient with me till he found the lady he wanted in me? Was he walking with a microscope to see the inner beauty? I still make so many mistakes till todate he has never given up on me! I call him Dr. K . his patience is unlimited, he is waiting for me to drop music so we can get married….. Dr. k , its soon dont worry;  I love you very much 😍😍😍😍 you try tell him anything negative about Esther he deletes your contact & thats the end of your relationship 😷😷😷 #TB2013

****Please note, this msg is #TB2013, Akothee has been married to her man at least for 3yrs now! May their ❤ forever live ****

Soma maoni ya watu / fans:  

“Asante mume wangu kwa kunipenda na kunijali….!” Mrs. Maria Makonda

Wiki iliyopita niliwaelezea sakata la mke wa  TV icon and comedian Mrs Bill Cosby a.k.a Camille Cosby jinsi alivyojitokeza saa za mwisho bega kwa bega na mumewe huku aki-smile kwa raha zake! Kama ulipitwa basi soma 👉👉 MrsBillCosby

Basi leo tena na waletea maneno aliyo andika Mke wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mrs Maria Makonda au kwa jina maharufu ni “Mrs Daudi Bashite” 😀😀 hizi social media ni shidaaa! Btw, kabla sijaendelea naomba ieleweke kuwa sina chuki na Makonda wala familia yake japo simuungi mkono kwa mambo aliyo yafanya kama kiongozi! Hata hivyo mimi sio mwana siasa wala sio mwanaharakati wa siasa hivyo hayo ninawaachia wataalamu wa mambo hayo ku-deal nayo! Hii blog is all about love, spirituality, family, friendship, relationships, sisterhood, brotherhood, parenthood, empowerment, na mambo mengine kama hayo ambayo yana inspire jamii! Kama kuna mtu anataka siasa tafadhali usisite kwenda  kwa Mange Kimambi, Peter Sarungi,  na Lemutuz! Haya back to our topic! ……….. Juzi kati kwa kupitia account yake ya Instagram Mrs Makonda aliandika maneno haya “Asante sana mume wangu kwa kunipenda na kunijali. Mungu akutunze”! 👇👇 Haya maneno anayaandika baada ya scandals zote ambazo zimemuandama mumewe kuanzia sakata la vyeti feki, vita feki ya madawa ya kulevya, na mengine mengi bila kusahau kuhusishwa na scandal za kuwa na mahusiano ya kimapenzi na muigizaji Kajala Masanja pamoja na Agnes Masogange! …….. Mimi nasema waacheni watu na ndoa zao kwani hakuna mtu anaejua sababu haswa zinazowafanya wanawake wengi wasimame na waume zao hata pale ambapo watu wengi wanaona ni wakati wa kumuacha “high and dry”! Sijui ni kwasababu ya kiapo #Kitakatifu. au mapenzi au ni huruma tu ambayo mwanamke ameumbwa nayo! Simnaona hata mimi hapa bado nimesimama kidedea na my Muhaya yani hapa ni Kigoma mwisho wa reli  😀😀😀  kama nawaona wapika majungu sura zao zinavyo pooza 😷😷 Haachwi mtu hapa poleni sana mtahachika nyie na ndoa zenu fake za Facebook 🙆🙆 #StandByYourMan #GodHelpUs

Camille Cosby hatimaye bega kwa bega na mumewe!

Mimi naamini kuzaliwa “mwanamke” ni mtihani tosha, lakini kuwa mke unayebeba jukumu lako la kuwa mke kikamilifu ni mtihani mgumu na mzito zaidi! Ukiwa umekula kiapo kile “KITAKATIFU” kuwa KATIKA TABU NA RAHA yani utakuwa unajifikiria mara mbili mbili na kujikuta unasimama hata pale usipo taka! Haya ndio yalio mkuta Mrs Bill Cosby a.k.a Camille Cosby! Baada ya ukimya na kujificha kwa takribani miaka 3, finally amejitokeza saa za mwisho bega kwa bega na mumewe ambaye anashitakiwa kwa makosa ya ku-drug wanawake na kufanya nao mapenzi bila hidhini yao ( sex assault).  As I said before being a woman is not a joke but I can only imagine how hard it is to be a fully committed wife!!

Sidhani kama Camille Cosby angekuwa na uwezo wa kujificha forever asinge fanya hivyo kwani aibu na fedhea ambayo mumewe amempa ni kubwa mnooooo! Angesema akaye pembeni society bado ingemuhukumu kwa kutokuwa “woman enough” kusimama na mumewe!! Shame! As Bill Cosby’s lawyer said in the court room kuwa the real victim here is a long  suffering Camille Cosby! Which in somehow nakubaliana naye kwani huyu ni mke walio owana kwa miaka 53, amemjua mume wake kama; mume muaminifu, baba na mwanaume ambaye siku zote analinda na kuheshimu wanawake. Akajenga “image” hiyo katika dunia kuwa yeye ni “Family man” na mkewe na watoto wake wakawa very proud of him! Sasa leo hii mbele ya uso wa dunia anatakiwa afute hiyo “image” aliyo wajengea na kuwaaminisha watu kuwa Nope! That ain’t him! Ni ngumu kueleweka na fedheha kubwa sana kwa mkewe na watoto wake wakike! Naamini sababu kuu ya Mrs Cosby kukwepa kuwepo mahakamani wakati victim wakitoa ushahidi ni kwasababu hakutaka kuweka mambo yatakayo semwa mahakamani kwenye akili yake ambayo yangemfanya aanze kutafakari na kumuangalia mumewe katika sura mpya! I believe she wants to continue to remember her husband the way she knows / knew him and not otherwise! Maana zile testimony ukizisikiliza unaweza file for Divorce bila kutaka! I truly feel sorry for her! Mungu amsaidie! Hata hivyo yeye si wakwanza kusimama bega kwa bega na mumewe katika scandal kubwa na za kufedhehesha namna hii! Wapo wanawake wengi wamefanya hivyo kama Hillary Clinton wakati mumewe anakesi ya kufanya mapenzi ndani ya moja ya office za WhiteHouse na secretary wake Monica Lewinsky!……… It’s hard to be a woman but it’s more harder to be a fully committed wife!! #StandByYourMan #GodHelpUs!

Alijisemeaga Oprah Winfrey kuwa labda hizo vows zingebadilishwa huwenda angefunga ndoa cause yeye haelewi wanaposema “katika shida na raha” what do they real mean?! 🙉🙉 Wenyewe wanasemaga hivi “if you can’t stand the heat better stay out of the ktchen” 😀😀😀 bora yeye kajisemea ukweli lol!………..Huko nyuma niliandika hivi 👉👉  TheBillCosbyTrial

 

Are they allowed to date?

The O.O Igogo’s daughters! #Sisterhood

Nimekutana na hii topic huko kwa Instagram as usual huko ndipo vituko vyote vipo 😆……..Sasa swali ni kwamba; eti umemkaribisha rafiki yako ukamtambulisha kwa ndugu yako halafu wakapendana, je ni sawa hiyo na ungefanyaje? Binafsi sipendi kabisa! Hila sina huwakika kama ni sawa au si sawa japo hii tabia ipo sana Ujaluoni! Yani unaweza kukutana familia imeoa / kuolewa  kwenye mji mmoja. Naposema mji mmoja namaanisha familia ya baba na mama mmoja au baba mkubwa na mdogo. Utakuta dada na mdogo wake wameolewa kwenye familia moja.  Sasa hao wanaoowa kwenye ukoo mmoja ndio usiseme nikitu cha kawaida sana!………..Tatizo kubwa ambalo naliona hapa ni kama ukoo /familia ina magonjwa ya kurithi basi kuna uwezekano mkubwa wa watoto wenu wote wakarithi hayo magonjwa! Otherwise, mmh! Ila wanasemaga “mapenzi hayana macho”! Hata hivyo huo usemi mie sina huwakika nao kwani macho yangu yamemuona Muhaya 😅😅……….. 

Baba na mama wawili katika ubora wao!

“Nilikupenda, nakupenda na nitazidi kukupenda……Mpaka kifo”…….hayo ni maneno yake mke mwema ambayo aliambatanisha na hii picha!

Alpha Igogo-blogger

Jamani, mama wawili alisha semaga na bado anasema ni mpaka KIFO! Kwa mahaba hayo, nini tena Mungu akupe! Tulia mama tulele #Bilionea  wetu, aje aone watoto wake wakiingia college na hata kuwa na miji yao ati!!………Kila siku baba na mama wawili wanazidi kunoga! Kupendana raha sana! Nimesema Kupendana siyo kupenda! Kupenda mtu asiye thamini penzi lenu ni Majanga! Utateseka mpaka basi! Lakini mkipendana kwa dhati kama Dr Mengi na Jackie wake aaah! Mbona raha sana dunia yote unaona ipo kwenye kiganja cha mkono wako 😍😍   Wenyewe wako zao vacation na watoto wao huko Britain! I’m jealous kwakweli, can’t wait kwenda vacation na Muhaya wangu na mimi nikaige mapozi haya 😅😅 ……..nimependa sanaaaaaa!

Mr and Mrs Obama katika ubora wao!

Wow!! Mr and Mrs Obama katika ubora wao 😍😍 Michelle is looking hot 🔥🔥……wenyewe wana enjoy weekend kwa raha zao! ……..unajua kuna watu wengi haswa Wabongo wana “act” mapenzi yao kama Barack na Michelle bila kujua kuwa hawa hawakuanzia kwenye kula bata na kuvaa nguo ambazo rangi zinaendana NOPE! Walichafuka vumbi kwanza kujijenga financially na kutengeneza “brand” yao! Yes! They knew what they wanted, Obama alijua ndoto yake kubwa ni kuwa kiongozi wa juu wa hii inchi  (U.S.A) na Michelle alikuwa anajua anataka a man who will spoil her like crazzzy! Ndio maana katika kumsaidia mumewe ku-achieve his dream Michelle akaacha one of the most highly pay job na kuamua kufanya community work ili kumtengenezea njia mumewe!! Sasa ndoto zilipotimia Mr “lover man” naye akatimiza ahadi yake. He’s spoiling her like crazy and I’m sure he loves it as you can see his ego through his body language 😍😍  Girl it doesn’t come that easily! You have to give all your energy  / invest in what you want!! …….I just love them!……….Eti nyie wenzangu mnataka wanaume wa kuanza kuvaa sare ili mpige picha za kuweka kwa social medias wakati bank account inasomeka  (-50) ?!! Mapenzi bila pesa hayanogi jamani!! I ain’t a gold-digger but can’t stand a broken lazy nigger!…..just saying!

Happy belated birthday Dr. Mengi!

” happy birthday to the best hubby in the whole world. You have been all I could have asked for in a husband and then some. I love you” JNM

Happy belated birthday to Dr Mengi a.k.a mume ake na Jakiline a.k.a baba twins! Mungu akujalie afya njema na amani tele! Ubarikiwe sana.! ……..wamenoga eeh! Mimi penda wao sanaaa!