Category Archives: Tanzia

Tanzia: Pumzika kwa amani mama Guka

Kwamasikitiko kwa niaba ya familia ya mzee Otieno Igogo tunatoa pole kwa mtoto / mdogo wetu Guka Otieno Igogo na familia ya mama yake kwa kufikwa na msiba mzito sana wa mama yao mzazi. Kama familia naomba mtambue kuwa tumeguswa sana ma msiba huu na dua na sala zetu zipo pamoja nanyi siku zote haswa wakati huu wa maombolezo. Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe milele zote. Kwafaida ya wasomaji wangu, marehemu ni mama yake na mdogo wangu Guka (pichani hapo akiwa na mimi kwa nyuma). Tumawaombea faraja toka kwa Mungu wakati huu wa msiba na siku zote. 🙏🏾

Rais Magufuli: Nimeviagiza vyombo vya dola kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua za kisheria

In God we trust!  R.I.P Aquilina  🙏🙏

Jokate Mwegelo: Hukustahili kufa kwa namna ulivyouawa

Regrann from @jokatemwegelo - Such a beautiful innocent young woman. 🙏🏾❤ Aquilina Akwilini Baftaha, umefariki ukiwa kijana mdogo sana, kwa wakati ambao ndiyo haswa unatakiwa katika Jamii. Kifo chako kimetushtua na kimetugusa. Inawezekana tumeguswa kwa sababu mbali mbali na tofauti, ila tu uhakika ni kuwa imetuuma. Wengi tulikuwa hatukufahamu, lakini leo hii unawakilisha kundi kubwa la vijana wadogo kama wewe walio chuoni, na katika mioyo yetu tunajua inavyouma kumpoteza mtu wa hivyo. Haswa kwa namna ambayo umepoteza maisha kama mshumaa uliozimwa ghafla. Hukustahili kufa kwa namna ulivyouawa. Mwenyezi Mungu awape nguvu, imani na amani ndugu na jamaa wako wa karibu na kila aliyeguswa kwa kifo hiki cha kusikitisha. 
R.I.P Aqualina ❤ - #regrann

Aquilina, pumzika kwa amani ya Bwana Mungu!

Nashindwa niandikaje kwa jinsi nilivyo umizwa na kifo cha huyu binti! This is too painful, inhumanity, and wrong in all levels!! Siwezi kunyamaza kwani mimi ni Mtanzania! Siwezi kunyamaza kwani mimi ni mama! Siwezi kunyamaza kwani mimi ni mwanamke!! Nimekataa kunyamaza kwa hili!!!  Baba yangu Dr John Pombe Magufuli nakuomba ukemee huu unyama hadharani!!!   This has everything to do with humanity  and leadership. As a leader of our country you should condemn these kind of acts!! As a father of many, this beautiful, precious soul could have been one of yours!! You need to take action ASAP!! This should have never happened, it's scary that it is a fact its happening in Tanzania right in front our very own eyes!! That is not the Tanzania we want!! Mambo kama haya siyo ya kuyanyamazia hata kidogo!! .... Rest in eternal peace Aquilina, justice we surely be done!!

Mpaka kifo kitakapo tutenganisha!…….. R.I.P Mr and Mrs Ngombale Mwiru!

 Pichani hapo juu ni sura ambazo naamini zinafahamika na watu wengi kwenye jamii ya taifa la Tanzania. Ni  marehemu mzee Kinguge Ngombale Mwiru na mkewe marehemu Peras Ngombale Mwiru! Wanandoa hawa walianza maisha ya ndoa wakiwa vijana na wamedumu kwenye ndoa yao mpaka kifo kilipo watenganisha kwa jumla ya siku 28! Sasa wote wapo kaburini wamelala usingizi wa mauti! What a journey! What a lovely love story to tell! Naamini hawa wazee wetu walifunga ndoa ya serikali kwani watu wanao wafahamu wanasema mzee Kinguge Ngombale Mwiru alikuwa hana dini! Sina huwakika kama alikua ANAAMINI MUNGU!? Kuna watu wanaamini Mungu yupo lakini hawana dini! Sasa Sina huwakika na hilo, japo mama yeye inaelekea alikuwa muumini mzuri wa dini ya Kikristu wa thehebu la Katoliki! ....... Natamani tungekuwa na video ambazo hawa wazee wanatueleza maisha yao ya ndoa yalikuaje, na nini walifanya  kuhakikisha ndoa yao inadumu haswa ukizingatia mmoja alikuwa hana dini napia mwanasiasa! Wakati mama yeye ni muumini wa Katoliki na ameishi maisha yake pretty much privately! ...... Yani tungetamani  kujua when things got heated in the house what did they do?! Walipiga magoti wakasali, au walimuita mganga wa kienyeji, au walitafuta cancellers?! ......... Hapa ndipo wenzetu wa nchi zilizoendelea  walipo tupiga bao! Wazee kama hawa wenye vitu fulani ambavyo jamii ingeweza kujionea na kujifunza toka kwao wangekuwa wamesha fanyiwa interviews kibao kuhusu maisha yao ya ndoa na familia mbali na siasa ili jamii inufaike! Marehemu naamini walibahatika kupata mtoto moja aitwae Kinjekitile kama mnavyo waona hapo pichani! ........ Poleni sana wanafamilia na wafiwa wote! Poleni sana Watanzania!  Bwana alitoa na Bwana ametwaa sifa na utukufu ni zake milele zote, Amen!

R.I.P Leo Mapunda Mwakitalu

screenshot_2016-12-05-09-05-05-1screenshot_2016-12-05-09-09-33-1screenshot_2016-12-05-09-09-44-1

Naomba niungane na Watanzania wote waishio Marekani na nyumbani Tanzania katika kuomboleza kifo cha ndugu yetu Leo Mapunda Mwakitalu. Binafsi sikubahatika kumfahamu marehemu wala kumuona lakini pamoja na hayo naomba nitoe pole zangu za dhati kabisa kwa familia ya marehemu, ndugu wote, marafiki, jamaa, na Watanzania wote……….Bwana ametoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe milele zote. R.I.P Leo!

R.I.P Fidel Castrol!

screenshot_2016-11-27-08-41-49-1May your soul R.I.P comrade, your good deeds will forever live!🙏

Pumzika kwa amani Mzee Samwel Sitta!

screenshot_2016-11-07-09-01-56-1Mchango wako kama Mtanzania mzalendo na kiongozi hauta futika kamwe kwenye historia ya taifa la Tanzania!……Enenda kwa amani ya Bwana wetu. Poleni sana wafiwa wote; familia ya marehemu, ndugu, marafiki, na taifa la Tanzania kwa ujumla!…….. Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe siku zote 🙏🙏

Pumzika kwa amani ya Bwana mpendwa Juliana

screenshot_2016-11-03-17-13-01-1Jamani what a sad story!!! Nimesikitika sanaaaa! What a loss! Jamani binti mdogo hivi watu wanamtenda unyama huu jamani! Ee Mungu tusaidie hii dunia imejaa laana isiyo elezeka! screenshot_2016-11-03-17-07-26-1Halafu hapa sikujua kuwa ni Mtanzania, nilifikiri ni South Africa! Nimeguswa sana na kifo chake. So painful!……… Wazazi wako wapi taifa linawalilia!! Watoto wanalelewa bila maadili wala upendo, shetani ameshika roho za wazazi kuzaa siku hizi ni FASHION SHOW tu! Wazazi wengi hawana muda wa kulea watoto wao matokeo yake watoto wanalelewa na TV and social media!! And all they can see, hear, and learn is nothing but violence!! ……… Where are the fathers jamani!!! Fathers are supposed to be PROTECTORS for their girls where are they??? Watoto wakike wanalia kwa uchungu lakini baba zao wahajali!!! watoto wakike wanajiona hawana thamani!! Wanatafuta baba zao kwenye vitanda na wanaume wengine! They are crying out for help but their fathers have turned def!! they care less about them!! This is too painful! Oo’good Lord hear our humble cry!………Enenda kwa amani ya Bwana mpendwa wetu Juliana, tutaonaa katika hasubuhi ile ya fahari!!……. Now #Salome is no longer fun to watch, gosh!! What a  talent! What a loss! R.I.P

Dr. Magufuli baba unatumbua majipu mpaka kwenye misiba?!

fb_img_1472436063790Mmmh! “Amefunga ndoa na Janet Massaburi”, Okay! Yes!  “Na ameacha wajane”? Uncle Foo! Are you okay! Hao wajane ni wakina nani, kwanini hukuwataja watu wakawasikia?? Na idadi yao!! Mbona mnafanya mambo ya aibu namna hii!….. Hata nyie wenyewe dhamira zinawasuta! Nampenda sana aunt Janet Massaburi lakini ukweli ni kwamba Ashura Massaburi ndio mke mkubwa wa marehemu! Kila mtu analijua hilo hata marehemu anajua hivyo! Yes! Alifunga ndoa na aunt Janet but tell people the truth the Real story behind hiyo ndoa ya kanisani! Mmh! Hapana, msifanye hivyo siyo vizuri kabisa!

c5Rais akiwa na mkewe wakati akitoa pole kwa wake za marehemu. Hapo kwa upande wa kulia ni mke mkubwa wa marehemu Ashura Massaburi a.k.a NyarKigoma (maana yake ni binti wa Kigoma), na kushoto ni Janet Massaburi a.k.a NyarMajita (binti kutoka Majita) ambaye ni mke wa tatu!

fb_img_1472436063790Dr Magufuli baba umenichekeshaje?! Unatumbua “majipu” mpaka msibani 🙈🙈🙈 But huo ndio ukweli wenyewe!…………. Kwa kweli mimi sitaki ongea mengi kwa leo ngoja niwaache ndugu zangu waomboleze kwa amani! Lakini haya mambo ya kuoa wake wengi mmh! Nishida tupu! Mnatesa watoto na ndugu wa karibu bila sababu ya msingi! Mambo ya ukewenza yalikuwa zamani hizooo! siku hizi ni matatizo tu haswa pale unapokuta the so called “step mother” ana roho ya kichawi halafu unalazimishwa undugu naye 😷😷 Ngoja ninyamaze mie 🙈🙈 …………. Mimi naona kama watu mmechokana ni bora kila mtu achukue hamsini zake kuliko hii fedheha!…….. Anyway, hekima na upendo wa Mungu ukawatawale na shetani asipate nafasi! 🙏🙏c2 Wake za marehemu Dr Didas Massaburi wakiwa wamekaa mstari wa mbele. c1Rais Maagufuli akitoa neno, pembeni yake mwenye suti ya dark maroon ni mzee O.O Igogo

Picha zote nimetoa kwa 👉 Michuzi

Kwa picha zaidi 👉 Vijimambo

“Yusta wangu, rafiki yangu hivi ni kweli umetuacha au naota” Janeth O.O Igogo

screenshot_2016-10-14-15-36-54-1R.I.P Yusta!

“Nimepokea habari za kifo cha ndugu yetu Dkt Masaburi kwa mshtuko na masikitiko sana” Mh. ShyRose Bhanji

screenshot_2016-10-14-15-38-53-1

Pumzika kwa amani dada Yusta Msoka!

screenshot_2016-10-13-10-17-48-1Too young, too beautiful to departure at this age; but who knows the best time more than our Creator! May your lovely soul Rest In Peace!fb_img_1476371988149 Mungu awape uvumilivu katika kipindi hichi kigumu watoto wa marehemu, wazazi, na wana familia wotefb_img_1476371873526I’ve never met you but very touched by your death!You will surely be missed by so many…….Till we meet again, R.I.P Yusta.

“Rest In Peace Comrade” -Lemutuz

screenshot_2016-10-12-18-39-37-1

“ENENDA KWA AMANI BOSS D.J. MASSABURI, MUNGU AKUPE PUMZIKO LA AMANI.”- Peter Sarungi

Na Peter Sarungi (Next Speaker, Baba Pilato)
 Peter Sarungi (Next Speaker, Baba Pilato)

Kwa mara nyingine tena ndani ya mwaka, moyo wangu unapata sikitiko na jaribu kwa kuondokewa na Bossi wangu niliefanya naye kazi Chuo cha IPS.

Nimesikitika sana kwa jinsi nilivyomfahamu na kuishi naye kwa miaka 5 ya ajira. Kwa kweli Dunia, Afrika Mashariki, Tanzani, Taaluma ya Procurement, wana Mara, Ukoo wa Ojambi pamoja na ndugu jamaa na marafiki tumepata pigo na pengo ambalo halitazibika kamwe.

Binafsi nimepata kujifunza Ujasiri, Uthubutu, Umakini, Uwezo wa kujenga na kutete hoja kutoka kwake. Nakuombea Heri na naamini muda utafika na sisi tutakufuata huko ulikokwenda.

Pole sana Familia ya Massaburi na Mungu awape nguvu kwa kipindi hiki kigumu cha huzuni.fb_img_1476313349851Pumzika kwa Amani baba. Amen

R.I.P Dr. Didas Massaburi!

fb_img_1476302681585fb_img_1472436063790Pumzika katika amani ya Bwana my uncle Dr. Didas Massaburi. You will greatly be missed by many!……Poleni sana ndugu zangu wote, watoto wa marehemu na wake za marehemu aunt Janeth Massaburi, mama mdogo NyarKigoma, NyarTanga, na NyarKowak……Bwana ametoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe milele zote 🙏

Kwa faida ya wasomaji wangu: Naomba nieleze kwa kifupi kuwa marehemu ni cousin-brother wa baba yangu. Mama mzazi wa marehemu, pamoja na marehemu bibi yangu mzaa baba, na mama yake Dr. Makongoro Mahanga ni blood sisters!