Category Archives: When it’s family

Tafadhai, tuendelee kumkumbuka mama yake Zari katika maombi yetu!

While mummy is away she is our responsibility. we gat you tee @princess_tiffah
Nilikuwa nimekwenda kuchungulia Instagram kidogo nikakutana na hii picha ya watoto zake Zari, the Bosslady. Nikaipenda laki i caption yake imeniuma sana. Tafadhali tuendelee kumkumbuka mama yake Zari ambaye amekuwa mgonjwa toka wiki iliyopita hivyo Zari yupo Uganda kwa sasa akimuuguza mama yake. Pia tuwakumbuke hawa watoto ambao nao bado wanapitia kipindi kigumu cha majonzi ya kufiwa na baba yao. Tuombee wagonjwa wote na wenye shida mbalimbali hapa dunia. Ee Mungu Mwenyezi sikia sala na dua zetu katika jina la Yesu amina!

Wema Sepetu na bibi yake

Wow! Kumbe Wema ni copy & paste ya bibi yake! Sina huwakika kuwa ni bibi upande upi lakini nadhani ni bibi upande wa mama maana naona rangi ya ngozi zimefanana sana. Unajua inaleta raha sana kama tunakuwa tunapata nafasi ya kuona the other side of family’s ya the so called “stars” wa Bongoland! Sio kula bata tuu au kuweka picha na mashoga wa mujini!………..Mnajua nani natamani kumuona ?? mama yake mzazi Jackqueline Mengi! For some reason I’m curious to see how she looks like and maybe hear her voice!…..anyway Wema kapendeza sana na bibi!

My people! #WhenItsFamily

TAIFA LA JANA, LEO NA KESHO…. na Peter Sarungi

Imeandikwa….

1. Baba bora ni yule anayelinda na kutetea familia yake, anaye tengeneza urithi mzuri kwa watoto, wajukuu hadi vitukuu na anaye hashimu familia yake.

2. Mke mwema ni yule anaye jenga familia yake bila kuharibu kwa mikono yake, anaye lea watoto katika maadili mema na anaye simama imara na mumewe katika hali ya hatari, dhiki, shida, raha, hofu, furaha, matatizo kama ya siasa, umasikini, chuki, wakati wa ujana na uzee, wakati wa afya na magonjwa.

3. Mtoto bora ni yule anaye heshimu wazazi wake na kujifunza maadili na maarifa kutoka kwa walio mtangulia. Ambaye anapenda kuwa kichwa na si mkia. 

Na Peter Sarungi (Next Speaker)

#MyTake.

Vijana ambao wamefika umri wa kujenga familia wachukue hatua kufanya hivyo, wasisubiri harusi na madoido ya kifahari maana kuna maisha ya ndoa baada ya kupata sifa za harusi.

??Fidel Pilato alikuwa akiangalia post zangu  za nyuma huku akijaribu kuuliza maswali katika lugha nisiyo tambua.???…Hao ndio watu wazima wadogo, Taifa la kesho. NIWATAKIE MWANZO MZURI WA WIKI………MUNGU BARIKI KAZI YA MIKONO/AKILI ZENU.

Matukio katika picha: Jesse 11th birthday

Kheri ya siku ya kuzaliwa mwanetu Jesse! Mungu azidi kukulinda, akuongoze, na azidi kukubariku katika ukuaji wako! Ukawe mtoto mwema sana Wapendwa, naomba niseme kidogo kuhusu undugu wangu Jesse……..Bibi yake Jesse mzaa baba ni mtoto wa pili kuzaliwa kwa familia ya mama yangu (familia ya marehemu mzee Cornel Awiti); hivyo Jesse ni mpwa wangu! Siku ya tarehe January 16, 2017 Jesse alitimiza miaka kumi na moja tangu kuzaliwa kwake! Alisherekea na wazazi wake Dr. Joseph Obure, mama yake Venny Mwita, na mdogo wake Jason!  Jesse na wazazi wake wana ishi huko North Carolina, U.S.A Mama na birthday boy!  Lovely! Happy 11th birthday Jesse!

Christmas moment: The Kimesera!

Wow! Mama na binti zake Kama kawaida yao kupendeza na kucheka ipo ndani ya damu ❤️❤️Mr Mali na timu yake wakiwa wenye nyuso za furaha kabisa …. kwakweli hii familia ni familia babkubwa sana mie penda wao sana
Linda na binti zake pamoja  na rafiki yake hapo wapili kutoka kulia ❤️❤️❤️ Nawatakieni Mwaka Mpya mwema sana!

Kumbe mama Mkamba ni mama mkwe wangu eeh!

Poleni sana wapendwa roho yake bibi iyendelee kupumzika kwa amani!……. Nimefurahi kuona kuwa mama Makamba ni mama mkwe wangu ?? watanijua Mjaluo mie hata kama hawataki ?? Tutafungulia Tanga kwa Mzee Yusuph Makamba halafu tunafungia Kyaka kwa mama Makamba wenye wivu wajinyonge tu maana hamna namna ??……… R.I.P Omukare Ma Eugenia!

Mtu na wifi yake!

screenshot_2016-12-08-11-38-53-1Mwanamke wifi jamani eeh ?? Raha sana wifi yako ndio akiwa best yani kaka mbona atakomaaa! Halafu wifi kafanana sana na binti Makamba utadhani dada wa damu vile! Anyway happy belated birthday to her.  mbarikiwe sana.

“May we never take our families for granted”- Foster Mbuna Mkapa

fb_img_1479844571865

Familia ya Mbuna. Mama na wanae

…..#Family…..

fb_img_1479853764517
Familia ya Kalanje. Huko kwa wajomba zake Foster upande wa mama

Katika pita pita yangu huko Facebook nilikwenda kuchungulia kwa Foster nikakutana na huu ujumbe juu ya #Family. Ukanigusa sana nikaona ni share nanyi. Nilishawahi sema huko nyuma kuwa mimi ni muumini wa philosophy inayosema ‘There’s no perfect family on this earth’! Nafurahi kuona Foster naye ni mmoja wa waumini wa hii philosophy. Kila familia ina matatizo yake, na hakuna njia iliyo sahihi ya kutatua migogoro ya familia ambayo inaweza tumika katika familia zote nudiani kwani kila family ni Unique! Hivyo matatizo yaliopo ndani ya familia yatatatuliwa na wanafamilia husika. #WhenIt’sFamily screenshot_2016-11-22-13-32-08-1fb_img_1479844431318-1When it’s family you forgive them for they know not what they do
fb_img_1479844446589-1When it’s family you trust them and your heart’s an open doorfb_img_1479844459682When it’s family there’s a mirror of the worst and best in youfb_img_1479844405327Some are fighters, others faint!……fb_img_1479867387267Winners, Lossers, Sinners, Saints it’s all  family fb_img_1479844388482But not a one is turned away when it’s family fb_img_1479867240351-1And just pray to God to do the rest when it’s familyfb_img_1479867060975-1Foster, please accept my sincere appreciation for allowing me to use your personal and family pictures without any problem, indeed free of charge! In all  honestly I have used your pictures in so many occasions and at times I felt guilty; ? but you never made me feel that way. You gave me the freedom to pick and choose as I pleased! You made me feel like I’m one of your #Family!! My dear Foster,  mimi Alpha sina cha kukulipa bali nakuombea kheri na baraka tele katika maisha yako na familia yako yote!

fb_img_1479867352986May you all (the Mkapas’, Mbunas’, Kalanjes’, and others) have a  very happy holidays, with all the blessings and love from God! ??❤❤ #WhenIt’sFamily