Cheka urefushe maisha yako!

Embu tucheke kidogo, wahenga walisema ‘simtukane Mamba kabla huja vuka mto’! Sasa wenzetu wana msemo mmoja ambao maana yake ni kuwa usimcheke mtu kwa hali yake aliyokuwa nayo leo maana huwenda wewe ukawa ndio yeye huko mbeleni! ….Sasa mtu ameamua kumcheka Bill Gates ili nayeye aje kuwa kama yeye siku za usoni ?? …..Ngachoka mie!

Leave a Reply