alphaigogo.com
Cookie Moses Iyobo nionee huruma mwenzio! - alphaigogo.com
Jamani Cookie binti wa Moses Iyobo na aunty Ezekiel ni nini unanifanyia mwenzio! Embu nionee huruma my darling, wewe hujasikia wenzio ndoa zinavunjika hawataki kuzaa kwa uchumi huu wa Babu yako Trump na Dr. Magufuli ?? maisha magumu mwanetu ??. Tatizo ni jinsi wewe ulivyo mzuri yani mpaka unanitia katika vishawishi mwanangu wee! Nitakuwa mgeni wa nani mie maisha yenyewe
Alpha Igogo