Don’t ever, ever, ever give up! #UsikateTamaa

img_20160921_075301Kaza kamba! Usikate tamaa kwasababu maisha yako ni duni kwani kuna sababu kwanini maisha yako ni duni ! Mungu peke yake ndiyo anajua sababu! Wewe anza safari ya kufikia ndoto zako hivyo hivyo mdogo mdogo  utafika tu na Mungu atakufunulia sababu ya kwanini ulipitia hayo maisha!……. Hata Rome haikujengwa kwa siku moja! Ilichorwa kwanza kabla ya kujengwa! Na naamini huo mchoro wa ramani yake kuna mahali walikosea wakafuta na kuanza upya!! #Usikate Tamaa

Leave a Reply