alphaigogo.com
Don’t ever, ever, ever give up! #UsikateTamaa - alphaigogo.com
Kaza kamba! Usikate tamaa kwasababu maisha yako ni duni kwani kuna sababu kwanini maisha yako ni duni ! Mungu peke yake ndiyo anajua sababu! Wewe anza safari ya kufikia ndoto zako hivyo hivyo mdogo mdogo utafika tu na Mungu atakufunulia sababu ya kwanini ulipitia hayo maisha!....... Hata Rome haikujengwa kwa siku moja! Ilichorwa kwanza kabla ya kujengwa! Na naamini huo
Alpha Igogo