alphaigogo.com
“Don’t make marriage a jail”~~~ChrisMauki - alphaigogo.com
Enyi waume, wake zenu pia ni wanadamu, they are social beings, walikuwa na marafiki kabla hamjawaoa, usidhani wewe ndio ulikuwa binadamu wakwanza kwenye maisha yake. Kasoma kuanzia shule ya awali hadi chuo kote ana marafiki au hatakama hajasoma lakini ana marafiki wa mtaani na ujanani. Iweje leo kaolewa na wewe ndio unajifanya kumfungia kila mwanya wa kuonana na marafiki zake
Alpha Igogo