alphaigogo.com
“ENENDA KWA AMANI BOSS D.J. MASSABURI, MUNGU AKUPE PUMZIKO LA AMANI.”- Peter Sarungi - alphaigogo.com
Kwa mara nyingine tena ndani ya mwaka, moyo wangu unapata sikitiko na jaribu kwa kuondokewa na Bossi wangu niliefanya naye kazi Chuo cha IPS. Nimesikitika sana kwa jinsi nilivyomfahamu na kuishi naye kwa miaka 5 ya ajira. Kwa kweli Dunia, Afrika Mashariki, Tanzani, Taaluma ya Procurement, wana Mara, Ukoo wa Ojambi pamoja na ndugu jamaa na marafiki tumepata pigo na pengo
Alpha Igogo