Family feud: The Kimambi

Regrann from @mangekimambi_  - letter to my brother Anil..... Since baba amefariki in 2004 I have tried to be the best big sister I can be.Siku zote nimewaweka nyinyi mbele yangu mimi.
Nimejaribu kufikiria kama you thought everything through kabla ya kwenda kwa Bashite. Remember hiyo mansion(nyumba) mnayoishi 25%  ni yangu.Kumbuka hoteli inayowapa kula 25% ni yangu. Na sio yangu kwa maneno ila kwa judgement ya mahakama kuu. Judgement imetoka since 2006 na mpaka leo sijawasumbua muuze chochote mnipe changu.

Since 2004 baba alivyofariki sijawahi kudai wala kupokea hata shingi 10 ya mapato ya hotelini  sababu niliwaza nyinyi mnahitaji hizo pesa more than me.Nilitaka msim-miss sana baba sababu aliwaacha nyinyi wadogo sana. Nikaona nibusara niwaachie na share yangu ya hotel. For 14 years hamjawahi kunipa hata sumni. That’s how much I love you. Nahangaika kivyangu marekani ila hata siku moja sijawahi kuwaambia muanze kunipa asilimia 25 yangu ya mapato ya hoteli. Leo hii nikisema niwadai share yangu ya mapato ya hotel since 2004 mtakuwa na hali gani?? Au nikisema uzeni nyumba mnilipe changu mtaenda kuishi wapi? Na mmezoea kuishi kwenye mansion?  Mnadhani sihitaji hizo pesa zangu ? Nazihitaji ili na mimi ninunue japo apartment hapa marekani ila sitaki kuharibu undugu sababu ya mali. Ila wewe umekubali undugu wetu kuharibu? 3 months ago mmeuza lile eneo la machimbo ya kokoto pale Tegeta kwa milioni 400 hamjanipa hata senti, hata kuniambia kama mmeuza hamjaniambia.Nafanya kuhadisiwa na mliowauzia. Mmegawana  wenyewe wawili na mama enu. I’m sure mtapata shock kuwa najua hili. Na hata kuwauliza sijawauliza sababu nalinda undugu. Na nnalinda undugu sababu hakuna kitu baba alikuwa ananisihi kukifanya kama kuhakikisha hatufarakani. Kila siku aliniambia wewe ndio mkubwa, wewe ukiwapenda wadogo zako hamtokaa kutengana. Wewe ndio wakuwaunganisha. Niliwaachia mali ili kumuenzi baba yetu.Nikaona bora nyinyi muishi like kings mimi niishi kawaida.

Mpaka hati zangu za shamba langu la Mbweni nilikubali mkazichue kwa  lawyer wangu although jaji alinikabidhi mwenyewe. Kama isingekuwa  Mama Tenga  kukataa kuwapata bila mimi kuwepo leo mngekuwa nazo. that’s how much I don’t care abou mali but undugu. 
Nilikuwa tayari niishi vibaya ila nyinyi muishi vizuri ndio maana sikuwasumbua na mali za baba yetu.

Nna uwezo wa kurudi mahakamani na kumwambia jaji yule yule alieamua kesi yetu ya mirathi in 2006 kuwa miezi mitatu iliyopita mmeuza machimbo ya kokoto ya Tegeta kwa milioni 400 bila kunitaarifu na mkagawana nyinyi wawili na mama yenu bila kunipa milioni 100 yangu au hata senti moja na hatua kali zikachukuliwa kwa kunitapeli, labda your new friend Bashite atakusaidia huko mahakamani 🤣🤣 You have a big connection now 🙄🙄
Share yangu ya machimbo ya kokoto mliouza muanze  kunitafutia. Mlidhani sijui? Kweli mnadhani naweza kupewa habari nyeti za serikalini ila nisipewe habari za nyinyi kuuza machimbo yetu ya kokoto? Nilikuwa najua Ila niliamuwa kukaa kimya sababu nawapenda na bila nyinyi kwenye maisha yangu nahisigi siwezi kuishi ila labda nahitaji kujifunza kuishi bila nyinyi. Niliona kama ningewauliza kuhusu hayo machimbo tungegombana nikaona bora nisamehe hizo milioni 100 kuliko kupoteza ndugu zangu ila nyinyi hamnithamini 😭. Mapenzi yangu kwenu yanafanya mnaniona zoba. I have tried my best to keep our family together.

Na hayo machimbo mmeuza wa bei ya njaa sana, eti milioni 400 wakati yana thamani ya karibia 1 billion.Si mngesubiri mpaka uchumi u-pickup ndio tuuze?
Anil, I just wanted to remind you of how easily I can fuck you guys over but I havent.Ila wewe leo you decided to fuck me over. Ukoo mzima unanishangaa how come sijachukua changu hadi leo, miaka 12 toka jaji ametugawanyishe in 2006. Ndugu wengi wanadhani mmeniloga nisichukue hata mauzo ya hotelini. Naamini hamjaniloga ila ni mapenzi yangu kwenu tu.

Sorry guys, ilibidi nitoe hili kifuani ili niweze kuendelea na mambo mengine. Nisingemwambia ingeniuma zaidi. Haki leo Bashite kaniumiza.Yani leo Bashite kaniweza.But the struggle continues 💪. I promise not to address this issue again. Kwahili mniombee maana limeniumiza haswa, worse than pain ya ndoa yangu kuvunjika.Na nimeumia kwasababu moja tu, my dad must be very disappointed huko aliko. I have failed him. Finally tumefarakana 😭😩

**PS: Mnaoniambia nifute hizi posti nambloku. Mnataka nife na maumivu? I feel a little better now.  - #regrann

Leave a Reply