alphaigogo.com
Faraja Nyalandu: Nikifeli au nikiharibu shuleni hakuongea na mimi kwa ukali, aliongea na mimi kwa uchungu - alphaigogo.com
Regrann from @farajanyalandu - Baba yangu alikuwa ni rafiki yangu. Mimi ni wale wanaoitwa daddy's girl. Ukilelewa huku una dhana ya kupenda na kupendwa inakujengea imani na ujasiri kwasababu unakua ukijua unastahili kutoa na kupokea. Una thamani. Unastahili. Nikifeli au nikiharibu shuleni hakuongea na mimi kwa ukali, aliongea na mimi kwa uchungu. Ilikuwa ni balance nzuri kwasababu nikikosea
Alpha Igogo