#FBF #2010BongoStarSearch

Since its Friday, let us flash-back some memories ?  Hapa ilikuwa Bongo Star Search ya 2010 behind the scene. Huyo binti ni mwanangu akiwa na Diamond Plutnumz, TMK-Wanaume, na Marlow. Yuko wapi Marlow siku hizi?!  Anyway natumaini baadhi ya hizi picha  zitakupa faraja na natumaini wewe uliyekata tamaa.!  Muwe na weekend njema. Mbarikiwe wote

Leave a Reply