Finally, Bill Cosby will stand for trial! Possibly 30 yrs in prison!

Hatimaye a long awaited moment for many of us has come! Kwakweli swala hili lilipoanza nilihuzunishwa sana lakini sikushangazwa nalo kama wengine kwani nimeshaona matukio mengi ya hawa wanaume wanaotafuta power ya kuaminika katika jamii au katika familia wanafanya mambo ya ajabu including mauwaji na kama watu sio makini they may get away with it!. Bill Cosby hivi karibuni mambo yalikuwa magumu akawekwa underoath kwa kwenye case ya mwanamke mmoja (back in 2005) ambayo hakawa hana ujanja but to admit to drug women for sex! #SMH

Kumbuka zaidi ya wanawake 50 walijitokeza mmoja baada ya mwingine na ku demand justice lakini statue of limitation ikawa inawabana! Sasa wengine wakajitokea ambao walikuwa ni underage teenagers some of them walikuwa waki act kwenye ile show ya The Bill Cosby show!……… 1141117_1280x720Wazazi kueni karibu na watoto wenu ili waweze kukuelezeeni mambo yote bila uwoga wala aibu! Usiamini mtu yoyote!…….. Halafu haya maswala ya sexual or any kind of abuse mimi nafikiri yanachangiwa sana na wanawake wanaopenda “fake na cheap” life! Hawa watu ndo wana pretend everything is good nakuwapa hawa wanaume stupid force testimony about them ili tu wasaidiwe kitu fulani au ku maintain lifestyle fulani! Nimeshuhudia na wala sito ona aibu kusema! Hii tabia ndio inafanya hawa wanaume waendelee ku abuse wanawake na kuwafanya washindwe sema kwenye public kwasababu kuna stupid women somewhere wako radhi kutumika ili kuwafichia hawa wanaume mambo yao. Tena watatumia hela zao na power walio nayo kum victimize more the victim (s)! Nashukuru kuwa kuna wanaume kama President Obama ambao wako teyari kusimamia haki na ulinzi wa wanawake! Msikilize ?

Its so sad as the world was forced to believe this man is an icon when comes to “family hood” as he was a family man, husband and father figure. Kumbe yeye ndio  abuser wakutupwa! Wanasema kama akiwa convicted ataenda jela kwa miaka zaidi ya 30! Sasa hivi anamiaka 78 inamaana atatoka akiwa na miaka 108! Judge aliyepangiwa hii case ni mwana mama can’t wait to see what will happen!……….? Sikiliza zaidi kuhusu hili sakata ?

Mwaka jana nilishawahi kuandika story kama hii bonyeza ?    “Subway guy”  au nyingine ni ? “Double life”  or ? Parents!

3 thoughts on “Finally, Bill Cosby will stand for trial! Possibly 30 yrs in prison!”

Leave a Reply