alphaigogo.com
Hakuna ubaya kumkumbusha mtu kitu au kumpa mtu tahadhari. Tatizo ni jinsi unavyo sema na mahala unapo semea ndiyo huleta shida! - alphaigogo.com
Kwanini unamkatisha mwenzio tamaa? Wewe Kama haukubaliani na ndoto za mtu mwingine, basi pale anapo amua ku share na wewe badala ya kumkatisha tamaa ni vyema ukanyamaza’ If you don’t have any positive thing to say to someone just “shut your front door!” Tujifunze kupenda kubariki wengine nasi tutabarikiwa tena zaidi. Mtu anapo share na wewe mawazo yake au mipango yake inamaana amekuamini, kama
Alpha Igogo