Happy 56th birthday Tanganyika!

Idriss Sultan
"Uhuru ni kama daftari lisilo na maandishi, babu zetu walipigania daftari hilo na wakatupa tuendelee kulitunza na kuandika historia zetu, kwa ukweli uliopo ni kwamba kuna baadhi wanaojiita wazawa ila ni wasaliti na tunauza page moja moja ya daftari hilo kwa wale tuliopigana waturudishie daftari letu. Ningependa kuwapongeza wazalendo wa kweli kwa kuhakikisha wanalinda daftari letu kwa miaka 56. Mungu ibariki hii nchi nzuri sana. Hatuwezi kuwa na vyote na bado tukawa nchi yenye majonzi duniani. Tuangalie tulipotoka na tushukuru tumefika pamoja kwa amani. Naomba ibaki hivyo na kila mmoja wetu ana kipisi chake cha hii nchi basi ajue atakifanyia nini. God bless ?? ? #TanganyikaIndependece @getinsta.official #picoftheday #instagood #UhuruTanganyika" ... Idriss Sultan

Leave a Reply