Happy belated birthday muke ya Michuzi

Happy belated birthday muke ya uncle Michuzi! Asante sana kwa kumtunza uncle wetu anatupatia habari za huwakika. Mungu akuzidishie uhai ukaishi maisha marefu yenye afya njema. Happy birthday auntie ake! Btw, uncle Michuzi hivi unajua mkeo ni aunt yake mwanangu? ??? mtaalamu wa kujikomba nimeanza ?? Honestly, Ainde ni shangazi kabisa wa mtoto wangu, mama Ainde a.k a mama Ai ni bibi wa mwanangu  muulize aunt Teddy wa Atlanta. Plus tulikuwa neighbors  (kwa Mai) na wakina Ainde before they moved to Botswana.........haya mkikutana na mimi msinikatae kuwa hamnijui ??

Leave a Reply