Happy birthday Joyce Kiria!

Kheri ya kuzaliwa Joyce Kiria a.k.a Super Woman. Mwenyezi Mungu aendelee kukubariki na kukutumia kuwa sauti ya wanawake wanyonge siyo tu ndani ya Tanzania bali Africa na dunia kwa ujumla. Happy birthday beautiful  ?❤ @Regranned from @wanawakelivetz - @Regrann from @joycekiriasuperwoman - Asante Yesu kwa kunipa umri huu 37 nikiwa na Afya tele na nikiwa najivunia mafanikio makubwa sana katika maisha yangu, asante kwa kuniwezesha kufika hapa nilipo ni pakubwa mnooo siamini, asante Kwa familia yangu ya nguvu mume wangu na watoto wangu, asante kwa ndugu zangu wote Mama yangu na wadogo zangu na jamaa zangu was wote, asante kwa biashara zangu, asante kwa wafanyakazi wenzangu, asante kwa washirika wangu wa biashara /wadhamini, asante kwa wadau wote wanaoniunga mkono kwa njia ya Tv na mitandaoni. *

Leave a Reply