alphaigogo.com
Happy Father’s Day to this great father and grandfather to our children! - alphaigogo.com
Hatuna la kusema zaidi ya Asante kwako na asante kwa Mungu Baba aliyekuchagua wewe kuwa baba yetu na babu wa watoto zetu! Unaweza usionekana kama baba bora mbele ya macho ya watu wengine, hiyo ni sawa tu kwani hata aliyekuumba anajua hakuna aliyekamilika lakini siku zote fahamu ukamili kwetu sisi watoto zako na wajukuu zako! God created
Alpha Igogo