Happy Nyerere Day kwa Watanzania ulimwenguni kote!

Nawatakieni kheri ya siku ya kumbukumbu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa Watanzania wote ulimwenguni! Wale ambao bado wanabeba passport yenye logo ya Tanzania ndio ninao watakia kheri katika hii siku! Mimi ni mmoja wao, Tanzania for life babyyy!! Feel so proud to be Tanzanian! Hapa ☝️nilikuwa kwenye makumbusho ya Mwl. Nyerere huko Butiama mwanzoni mwa mwaka huu! Ni baraka kubwa Mungu alitupatia kua na marehemu Baba wa Taifa kama  kiongozi muhasisi wa taifa letu! Daima tutamkumbuka kwani vita vizuri amevipiga! Aendelee kupumzika kwa amani ya Bwana! Hili ni gari ambalo Mwalimu Nyerere alikuwa analitumia mpaka mauti ilipo mfika. Ndio ilikuwa gari yake siku zote. …….kama hujawahi fika Butiama basi nakusihi upange siku moja uwende! There are so much to learn about history ya Baba wa Taifa na ukumbozi wa nchi yetu!

Leave a Reply