Hata mwenye mkoa wake kasema “save the date”!

Mbiu ikilia ujue kuna jambo kwani  hata mwenye mkoa wake kasema “save the date”! Rais wa Mkoa wa Dar es salaam, Mh RC Paul Makonda naye kwa kupitia Instagram page yake ameweka tangazo  la Tanzania’s Sweetheart kuwa tarehe 30 mwezi wa Sita mwaka huu siyo siku ya kukosa!! Iwe umealikwa kushuhudia LIVE, au utatizama kwa runinga, au utakuwa ukichungulia live coverage kwa social media  vyovyote vile haijalishi ila panga mambo yako vizuri ili siku hiyo uiache wazi kwa kumuangalia huyu “Peacock wa Tanzania”! Siyo siku ya kukosa!!……… Mimi naonaombeni kaka yangu Paul Makonda mnikumbuke kwenye zile offer za bure za ticket ya ndege??? jamani nami niwepo nishuhudie  LiVe mambo ya kusubiria Millard Ayo TV inahusu ??? Jamani, SAVE THE DATE! Mwambie na jirani yako ??

Leave a Reply