Haya wale wadada wa “fursa” kamateni fursa hiyo …..!

Pale mzee wa kuonyesha fursa anapogeuka kuwa fursa ??? Haya wadada wa mujini waini fursa hiyo msitoane roho tu, he is officially Back in the Market and Ready to Mingle ??…………. Ruge! Ruge! Ruge! What are we gonna do with you? Hivi unajua mwanamke alipewa uwezo na Mungu ambao anaweza akamfanya mwanaume aonekane kuwa shujaa (hero) katika macho ya jamii au akamshusha na kuonekana the biggest loser!?! Sasa wewe juzi tulikuona shujaa lakini sasa? Dah!!  Tatizo lenu nyie Wahaya mmezowea kuweka wanawake zenu “vimada” hivyo mnafikiri kila mwanamke ni Muhaya! Hamjui kutofautisha wanawake wa kuwachezea na ambao wanafaa kuoa! Sasa Zamaradi kakutia adabu!………Wewe watoto wawili umetoa “advance” kwao halafu kuoa uowi? Shame on you! Nasikia wewe ni kama shirika la UMMA, yani nikufananishe na DAWASCO unasambaza maji kila kona ya jiji la Dar ?? Yani wewe huko kwenye Media umeenda kwenye wrong field kwakweli ?? ………Haki kabisa nilikuwa nimepani nikuchambe sana (hata Muhaya mwenzako nilimwambia kuwa nitakuchamba sana…….nayeye zamu yake inakuja)  sema huruma ikaniingia then I started to look at it in a different angle! Inaelekea watu wengi ambao wako very talented like you huwa hawa settle down, yani family life kwao ni tatizo kubwa! Mfano, Simon Cowell, Ryan Seacrest, late Michael Jackson n.k

Eti! Hawezi taja idadi ya watoto wake ni swala personal!?! Sasa mbona amemtaja Juhjuh na Shubi? ??…….R.I.P Mr Hugh Hefner your legacy will forever live hasa kwa Wahaya ???????………..But sincerely, from the bottom of my heart I feel bad for you! Pole sana mtani wangu!

Leave a Reply