Hello there…….!

Alpha Igogo- blogger

Hello wapendwa! Natumaini wote wazima wa afya njema. Ni muda sasa tangu niiweke sura yangu humu, imebidi leo “nijirushe”  bila kupenda maana wengine hamkawii kusahau sura yangu ?? Nawageni ndio wanazidi kuongezeka siku hadi siku, karibuni sana! ……Mimi naitwa Alpha Igogo ndio mmiliki wa hii blog! Wenyewe na lugha zao wanasema “Owner and C.E.O” aha! Mie niite Alpha inatosha kabisa! C.E.O bila pesa hainogi hata kidogo ?? Huyu mrembo niliyepiganae picha ni binti yangu, mwanangu wa pekee kwasasa! Nimesema “kwasasa” lakini pia usisahu nimesema wa “pekee” hivyo hakuna ajuaye ya kesho huwenda hayo maneno yote yakabadilika au yakabaki jinsi yalivyo! Well, I’m a woman I am allowed to change my mind (in Wendy Williams voice) ?? ……..though niko very curious kuona kama nikizaa na “Mzungu” mtoto wangu atafananaje ??? Yani niliwaza tu, je atatokea mweusi kama mimi au atakuwa wa light chocolate? Au atakuwa mzungu kama baba yake? Nywele zake je zitakuwa kama mzungu au kipili pili kama zangu? Atachukua shepu ya “Kibantu” au atakuwa kama mzungu? Honestly, nipo so curious ?? Nilimwambia mwanangu hili wazo langu, akasema “something must be seriously wrong with your brain” ?? …….Je! watakajua kama nikiongeza mtoto mwingine atakuwa na baba mzungu au muafrica?! Basi endelea kutembelea blog hii bila kuchoka na jibu lako utalipata hapa hapa ?? Haya jamani kibonge mie, nawatakieni siku njema. Tuonane wakati mwingine!

Leave a Reply